Tanzania kuipa Comoro Msaada wa Ndege

Tanzania kuipa Comoro Msaada wa Ndege

Kiukweli ni kwamba Watanzania tuna nafasi kubwa mno ya kuwa super power kiuchumi na kijeshi katika ukanda huu. Ukiaacha Afrika Kusini, sisi ndo tulipaswa kuwa wa pili. Lakini kwa sababu ya udhaifu wa viongozi wetu, Tanzania imebaki kuwa nchi isiyojiamini na ndio maana wachangiaji hapa wanaonyesha kutokuwa na hakika kama kweli Tanzania inaweza kuisaidia Comoro usafiri wa ndege. Juzi tu tulikuwa Comoro pamoja na wafanyabiashara 200 kutoka Tanzania. Kuna fursa nyingi za kiuchumi ndani ya Comoro. Ni suala la sisi kuamsha akili tu na kuacha woga.
 
Kama hii habari ina ukweli, itakuwa maajabu kama ya kipofu kumwongoza kipofu mwenzie.!!
 
Ni suala la sisi kuamsha akili tu na kuacha woga.

  1. Je kuna miundominu ya kuhakikisha "akili zikiamka" tutatengeneza pesa?
  2. Je Index ya easiness ya kufanya biashara Tanzania ikoje kulinganisha na nchi jirani?
  3. Je tatizo ni kuamsha akili au tatizo ni "Management-Uongozi-serikali" mbovu?
  4. Je ,kwa mienendo yetu toka uhuru ...tunaweza kweli kuwa na Confidence?
 
Kaimu Mkurugenzi wa TCAA na Waziri hawajui wanachosema. TCAA inahusika vipi na kusaidia kutatua swala la Usafiri Comoro? Angeongea na operators kama fastjet, precision, etc. we have a long way to go! Hatujui tulifanyalo at that crucial levels.

SERIKALI ya Comoro imeiomba Serikali ya Tanzania iisaidie kutatua changamoto ya uhaba wa ndege zinazotua nchini humo hali iliyosababishwa na kusitishwa kwa huduma za safari za shirika la ndege la Yemen.

Akizungumza na waandishi wa habari jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Waziri wa Uchukuzi wa Comoro, Bahia Masoundi, alisema Shirika la Ndege la Yemen lilisitisha huduma zake kufuatia machafuko yanayoendelea nchini Yemen.

“Mchafuko ya nchini Yemen yalipelekea shirika lao la ndege kusitisha huduma zake na kutokana na kwamba ndilo shirika tulilokuwa tukilitegemea kwa kiasi kikubwa ndio maana uhaba umejitokeza baada ya kufunga huduma zao,” alisema Massoundi.

Alisema kwa sasa kuna mashirika manne tu yanayofanya kazi nchini humo na ndege zinazotua ni chache na kwamba serikali ya nchi hiyo haimiliki shirika hata moja hivyo kulazimika kuomba msaada nchini Tanzania.

Naye Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA), Charles Chacha alisema waziri huyo amefanya mazungumzo na waziri wa Uchukuzi nchini, Samweli Sitta ambaye ametoa maagizo kwa TCAA ili ifanye utaratibu wa kuisaidia nchi hiyo.

“Tayari tumepokea maagizo ya Waziri mwenye dhamana na sisi kama mamlaka inayosimamia safari za anga tunaanza mara moja kuangalia namna ya kuisaidia Comoro kwasababu ni nchi ambayo ina makubaliano ya kusaidiana na Tanzania,” alisema Chacha.

Alisema kwa sasa ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) hufanya safari zake mara nne kwa wiki nchini Comoro lakini bado kuna tatizo la mrundikano wa abiria wanaotaka kusafiri kwenda au kuja nchini kwa shughuli za biashara, utalii au kufuata huduma.

Aliongeza kutokana na uwezo mdogo wa ATCL atakutana na uongozi wa mashirika yenye uwezo yanayofanya kazi nchini yaweze kufanya safari nchini Comoro pamoja na kutoa kibali maalumu kwa shirika la ndege la Ethiopia ili ndege zake ziende nchini humo baada ya kutua Tanzania.

Chanzo: Mpekuzi blog
 
  1. Je kuna miundominu ya kuhakikisha "akili zikiamka" tutatengeneza pesa?
  2. Je Index ya easiness ya kufanya biashara Tanzania ikoje kulinganisha na nchi jirani?
  3. Je tatizo ni kuamsha akili au tatizo ni "Management-Uongozi-serikali" mbovu?
  4. Je ,kwa mienendo yetu toka uhuru ...tunaweza kweli kuwa na Confidence?

Umehoji. Una kiu ya kupata majibu. Jambo moja muhimu ni kwamba kulijua tatizo ni sehemu ya kulitatua. Kuamsha akili ni pamoja na kuwa na utashi wa viongozi wa aina gani tunawahitaji mwaka huu wa 2015 ili watuongoze kuondokana na unyonge huu wa kifikra na kutojiamini. Naamini kuna Watanzania makini wanaoweza kuliongoza taifa letu na kuwajengea uwezo wa jeuri ya kujiamini na uthubutu. Jiandikishe kwenye BVR sasa.
 
Asante mkuu kwa mtazamo wako,

Matatizo makuu matatu ya nchi yetu ni;

  1. MANAGEMENT
  2. MANAGEMENT
  3. MANAGEMENT
 
Tanzania is facing a serious demand for air transport.
Boastful of rich tourist attractions in Africa, Tanzania ranks fourth among countries south of Sahara with good opportunities in domestic air transport, but lacking reliable airlines to fly in and out its airspace.
Airline and aviation reports put Tanzania in a good position to utilize its airspace, because of its open skies policy that allows competition between airline companies within and outside its borders.
Aviation experts are looking forward to see smooth growth in airline business, but worried over the current situation which makes Tanzania go without a vibrant airline company or a national flag carrier after its national airline failed to perform profitably.

source:eTurboNews (eTN) | Original and unique global international news with a focus on travel and tourism
 
Kiukweli ni kwamba Watanzania tuna nafasi kubwa mno ya kuwa super power kiuchumi na kijeshi katika ukanda huu. Ukiaacha Afrika Kusini, sisi ndo tulipaswa kuwa wa pili. Lakini kwa sababu ya udhaifu wa viongozi wetu, Tanzania imebaki kuwa nchi isiyojiamini na ndio maana wachangiaji hapa wanaonyesha kutokuwa na hakika kama kweli Tanzania inaweza kuisaidia Comoro usafiri wa ndege. Juzi tu tulikuwa Comoro pamoja na wafanyabiashara 200 kutoka Tanzania. Kuna fursa nyingi za kiuchumi ndani ya Comoro. Ni suala la sisi kuamsha akili tu na kuacha woga.

Ulichosema ni kweli lakini kwa utashi wa kuamua kufanya haya mambo ya kuwa "giant economically" hayaji kwa staili ya corrupt Politics and bureaucratic procedures zilizojaa kila sekta hata zile nyeti nchini, mazingira yepi tumewekeza kuweza Ku explore those potential opportunities?
Resources zetu tutajitapa lakini bado hazijaweza kuwa utilized kutokana na mazingira yaliyopo, ukianzia na watendaji wakuu wa hili sleeping giant hadi kwa mwananchi mmojammoja....we still have a long way to go through kumeet hata matakwa ya tittle ya hii post ya mdau
 
Nilidhani ni Watanzania pekee tusiofanya utafiti kumbe kuna na wajinga wenzetu wengine!
Ina maana hawa Comoro hawawezi hata kugoogle na kujua kuwa Tanzania hatuna ndege!!!
 
SERIKALI ya Comoro imeiomba Serikali ya Tanzania iisaidie kutatua changamoto ya uhaba wa ndege zinazotua nchini humo hali iliyosababishwa na kusitishwa kwa huduma za safari za shirika la ndege la Yemen.

Akizungumza na waandishi wa habari jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Waziri wa Uchukuzi wa Comoro, Bahia Masoundi, alisema Shirika la Ndege la Yemen lilisitisha huduma zake kufuatia machafuko yanayoendelea nchini Yemen.

“Mchafuko ya nchini Yemen yalipelekea shirika lao la ndege kusitisha huduma zake na kutokana na kwamba ndilo shirika tulilokuwa tukilitegemea kwa kiasi kikubwa ndio maana uhaba umejitokeza baada ya kufunga huduma zao,” alisema Massoundi.

Alisema kwa sasa kuna mashirika manne tu yanayofanya kazi nchini humo na ndege zinazotua ni chache na kwamba serikali ya nchi hiyo haimiliki shirika hata moja hivyo kulazimika kuomba msaada nchini Tanzania.

Naye Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA), Charles Chacha alisema waziri huyo amefanya mazungumzo na waziri wa Uchukuzi nchini, Samweli Sitta ambaye ametoa maagizo kwa TCAA ili ifanye utaratibu wa kuisaidia nchi hiyo.

“Tayari tumepokea maagizo ya Waziri mwenye dhamana na sisi kama mamlaka inayosimamia safari za anga tunaanza mara moja kuangalia namna ya kuisaidia Comoro kwasababu ni nchi ambayo ina makubaliano ya kusaidiana na Tanzania,” alisema Chacha.

Alisema kwa sasa ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) hufanya safari zake mara nne kwa wiki nchini Comoro lakini bado kuna tatizo la mrundikano wa abiria wanaotaka kusafiri kwenda au kuja nchini kwa shughuli za biashara, utalii au kufuata huduma.

Aliongeza kutokana na uwezo mdogo wa ATCL atakutana na uongozi wa mashirika yenye uwezo yanayofanya kazi nchini yaweze kufanya safari nchini Comoro pamoja na kutoa kibali maalumu kwa shirika la ndege la Ethiopia ili ndege zake ziende nchini humo baada ya kutua Tanzania.

Chanzo: Mpekuzi blog

Hahahahaaaa jamaa wameamua kwenda kuomba jamvi kwenye msiba.
 
Umehoji. Una kiu ya kupata majibu. Jambo moja muhimu ni kwamba kulijua tatizo ni sehemu ya kulitatua. Kuamsha akili ni pamoja na kuwa na utashi wa viongozi wa aina gani tunawahitaji mwaka huu wa 2015 ili watuongoze kuondokana na unyonge huu wa kifikra na kutojiamini. Naamini kuna Watanzania makini wanaoweza kuliongoza taifa letu na kuwajengea uwezo wa jeuri ya kujiamini na uthubutu. Jiandikishe kwenye BVR sasa.
Fursa maana yake sio kwenda Comoro na kuwahakikishia watu wa huko kwamba tunalima pamba hivyo tunaweza kuwauzia nguo lakini wakati wa delivery unanunua mzigo kutoka China na kuupeleka huko! Kuzifanyia kazi fursa kunahitaji juhudi na maarifa na sio ubabaishaji, unadhani TBS inayoshindwa kudhibiti bidhaa zinaingia nchini itaweza kuhakikisha ubora wa bidhaa ziendazo nje!?
Siasa safi na Uongozi bora utatusaidia kuliteka eneo hili la Africa kiuchumi kama zilivyosaidia kulikomboa hapo awali!

Tanzania is facing a serious demand for air transport.
Boastful of rich tourist attractions in Africa, Tanzania ranks fourth among countries south of Sahara with good opportunities in domestic air transport, but lacking reliable airlines to fly in and out its airspace.
Airline and aviation reports put Tanzania in a good position to utilize its airspace, because of its open skies policy that allows competition between airline companies within and outside its borders.
Aviation experts are looking forward to see smooth growth in airline business, but worried over the current situation which makes Tanzania go without a vibrant airline company or a national flag carrier after its national airline failed to perform profitably.

source:eTurboNews (eTN) | Original and unique global international news with a focus on travel and tourism

Hii iwafikie wa Comoro wote waliokuja na hilo ombi...
 
Hii ni sawana Matonya wa Dar kwenda kuomba msaada kwa Matonya wa Dodoma
 
Kama ss tunaombwa ndege ..duh .....au sizan ..yaaan huyo wazir wa comoro hana taarifa zozote za uchukuz za Tanzania? Au alikuwa anataka tu kuongea as part of diplomatic relation anyway..... Ukiomba kitu lazima ufanye tafit kama kipo ..ili unapoomba usije kujidhalilisha in international political system...na tunaoombwa na ss tujiulize maswal hata kumi tu ....
 
Nilidhani ni Watanzania pekee tusiofanya utafiti kumbe kuna na wajinga wenzetu wengine!
Ina maana hawa Comoro hawawezi hata kugoogle na kujua kuwa Tanzania hatuna ndege!!!

Nimeipenda hiyo mkuu!
Sijui tunaongozwa na watu gani?
They couldn't do the basics.
Yani kuna mambo mengine nahisi viongozi wanaongea wakiwa na mvinyo kichwani!
 
haahahahahahahahahahahahahahahahahahahah

Usicheke mkuu ..inatia huzuni mno kama Taifa, hii nchi ina WATU ( skilled and unskilled), ARDHI ( na rasilimali zote juu na chini) SIASA NA UONGOZI BORA ( hapa ndo tupo tumeshindwa kuvuka kumwezesha huyu Sleeping Economic giant kunyanyuka)
Hii nchi haitopata maendeleo kwa kutekeleza Sera za kwenda kukopi kila siku sehemu na kufanya Editing ya neno mathalani Malaysia unaweka Tanzania ukidhani utaendelea na kumtegemea Mjomba wa ulaya for grants, aids and loans for development...
Sisi ni moja ya nchi zilizopokea misaada mingi huku Sub Saharan Africa lakini kila sekta tunatambaa kwa tumbo mithili ya nyoka
 
Mh jamani taarifa hii ya kweli jamnii..Tanzania sisi shirika letu bdo halijakaa sawa nasi tunaisaidia comoro..i doubt jamani..ni mawazo yangu tuu
 
Back
Top Bottom