Tanzania (Kilimanjaro Stars) vs Zimbabwe

Hivi nyie mnaomlaumu kocha kwamba kapanga wachezaji wa simba mbona wachezaji wa simba walikuwa watano tu na hao wengine tisa hamujaona kama ni wa timu zingine, au mchezaji gani aliyeachwa nje angeingia angeweza kuisaidia timu? Nyie watu wa Yanga hamfai kabisa, ndo maana mtangazaji alisema shame on you Yanga fans, yanashabikia Zimbabwe kwa sababu wamevaa njano, kwa kweli njano imewatawala sana, siku wakivaa nyekundu sijui mtaendelea kuwashangilia.
 
Tanzania kabebwa eti ni best looser no2,atacheza na malawi juma4,na zenj atacheza na rwanda j3,wote watatolewa hakuna timu kabisa si bara wala zenj wote wabovu.

nibembeleze nibebe hizi hadi zinakera.....kiwango hatuna na bado cecafa kwa njaa zao za viingilio na of course kujipendekeza politically 50 years of independence...inakera sana wakuu
 
Bora simba na kocha wao chiriku wamefungws midomo walikuwa wanachonga sana.

MIMI NAMLAUMU SANA jurio. jurio ni SIMBA NA ALIKUWA KOCHA WA SIMBA. yeye kwa akili UJINGA wake analeta mambo ya usimba kwenye mambo ya TAIFA. Yeye kila timu anayo iongoza lazima alete usimba na uccm. kipindi kile cha KOMBE LA TAIFA alikua anaifundisha Ilala.Ilala iliposhinda akasema eti ushindi ule ni zawadi ya mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tz. Mala yanga haoni mchezaji wa kuchukua. Mia
 
Duh kumbe tumepita! julio atajifunza kitu kuwa kuwapanga wachezaji wa simba ni noma! hakuna kitu hao simba.
Mkuu uwanjani umewaona wachezaji wa Simba tu, Said Maulid, Hussein Javu, Thomas Ulimwengu, Taita, Nurdin Bakari, Ramadhan Chombo, Mrisho Ngasa na Erasto Nyoni wote Simba hao du Simba ina wachezaji wengi kweli, bado na wengine nje kina Mgosi, Boban, Samata, Kado walikuwa nje. Na muda wote anasemwa Julio wakati yeye ni kocha msaidizi na Mkwasa sijui kwa nini hamtaki kumtaja?
 
MIMI NAMLAUMU SANA jurio. jurio ni SIMBA NA ALIKUWA KOCHA WA SIMBA. yeye kwa akili UJINGA wake analeta mambo ya usimba kwenye mambo ya TAIFA. Yeye kila timu anayo iongoza lazima alete usimba na uccm. kipindi kile cha KOMBE LA TAIFA alikua anaifundisha Ilala.Ilala iliposhinda akasema eti ushindi ule ni zawadi ya mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tz. Mala yanga haoni mchezaji wa kuchukua. Mia
Mkuu Julio ni kocha msaidizi na kama timu imejazwa na wachezaji wa simba ambao mnaona hawafai wa kulaumiwa ni kocha mkuu Mkwasa, mbona hamtaki kuongelea goli ambalo Said Maulid alijifunga au kwa sababu aliwahi kuchezea Yanga?
 
Watanzania mpira hamna mdomo mwingi tu nashangaa mashabiki wa simba na yanga mnavyobishana hapa kelele nyingi mpira sifuri
 
Poleni sana Wabongo kwa KIPIGO, msikate tamaa tumekufa kiume, tumejitahidi na kutolewa mashindanoni kwa taabu tena kocha aliwapendelea wageni!
 
hivi ina maana bado hamjazoea tu????.........hii sio timu ya kushinda, jengeni hayo mazoea jamani, mtapata presha za bure....
 
Charles Boniface na Jamhuri Kiwelu wasipewe Tena Timu ya Taifa

Wagonjwa hao kuondoa wazoefu sio majaribio ni Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wetu
 
Wewe ukitaka kufa na pressure shangilia mitimu ya hapa bongo,maana homa zao hupanda nakushuka bila utaratibu sijui ni typhod!mburaaah!
 
Charles Boniface na Jamhuri Kiwelu wasipewe Tena Timu ya Taifa

Wagonjwa hao kuondoa wazoefu sio majaribio ni Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wetu

waliposhinda goli 3 Jurio alisema sasa ndo wanaanza kucheza mpira. na lile ndo onyo kwa timi zinazofuata lakini leo hajaongea. amemuachia mic mkwasa. hahahaaaa...!!. mia
 
upo nchi gani kaka?

Niko Iran na natazama uchonganishi wa nchi za magharibi kwa umakini mkubwa sana. Arab league is no more, huko nyumbani na hasa pale Sumbawanga nina kiwanja maeneo ya Kasisiwe nina uhakika wa kurudi salama na kuishi kwa mema yote.
UNA JIPYA?
 
nasikia boban leo kafanya kituko kingine baada ya kutolewa akaenda vyumbani moja kwa moja, alipouzwa kwanini unaondoka kabla ya mechi kuisha akasema 'timu hii inazingua'..
 
MIMI NAMLAUMU SANA jurio. jurio ni SIMBA NA ALIKUWA KOCHA WA SIMBA. yeye kwa akili UJINGA wake analeta mambo ya usimba kwenye mambo ya TAIFA. Yeye kila timu anayo iongoza lazima alete usimba na uccm. kipindi kile cha KOMBE LA TAIFA alikua anaifundisha Ilala.Ilala iliposhinda akasema eti ushindi ule ni zawadi ya mwenyekiti wa ccm na Rais wa Tz. Mala yanga haoni mchezaji wa kuchukua. Mia

Kwa hiyo siku hizi Simba ni Taifa lenye uhuru kamili na Yanga ni Taifa pia. Mi nijuavyo Simba na Yanga zote ni za Tanzganyika na wanaocheza pia ni waTanganyika. Hata ikiwa wangepangwa Simba wote bado ni waTanganyika hakuna tatizo.
 
Watanganyika mulikuwa mnaibeza sana ZNZ HEROES. Lakini bora hao HEROES Kuliku Kilimanjaro. VIVA ZNZ. VIVA JF.
 
Bora simba na kocha wao chiriku wamefungws midomo walikuwa wanachonga sana.

Taita, Nurdini Bakari, Ngasa,Saidi Maulid, Mwaipopo, Yusuph Rashid na Javu ni Simba imewasajiri lini????? au unaongea tu kwavile hakuna mipaka iliyowekwa au unafikili tuko kwenye jukwaa la Jokes/Utani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom