Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,847
- 17,503
Nimeona video kiongozi wa kikundi Cha uasi Cha kutetea raia akitoa tamko dhidi ya serikali haramu ya tanzania hususani kwawataja sana polisi aisee kumeanza kuchangamka ni moto hii ni screenshot video ipo kwenye hiyo page Instagram ni moto kiongozi ameomba wananchi wakipokee Kwa mikono miwili na kinaitwa Tanzania freedom fighters (Tff) NB: moderator naomba msifute huu Uzi sababu nilichopost ni Cha ukweli 100%