Tanzania katika TV series kali duniani

Tanzania katika TV series kali duniani

Mbona hata marehemu Kanumba kaitaja sana TZ au mumesahau ( jus 4 kidin)
 
Kwenye scandal season 4 episode ya 1.
Olivia pope na jack wanaonyeshwa wapo zanzibar na pia kuna episode tanzania inatajwa tena.
 
Nchi yetu kumbe inatambulika na kukubalika duniani. Nimefarijika kuona jina LA Nchi yetu linatajwa katika T.V SERIES kali kama ARROW na AGENTS OF THE S.H.I.E L.D. Bila shaka siku moja tutapata actors na actresses washiriki kwenye hizi series.

Mbona zipo nyingi ?! Just ntumie pm vocha ya buku ya Vodacom ya bundle nianze kukutajia. Zipo muvi na series kama 10000 hivi zote zmetaja tz and zanzibar
 
Kuna series inaitwa SIX askari wa seal team walitua uwanja wa ndege tanzania na ...Tanzania imeongelewa sana
 
Back
Top Bottom