Tanzania ivunje uhusiano wa kibalozi na Uingereza na Marekani, mabalozi wapewe saa 24 waondoke. Wanaingilia mambo ya ndani ya nchi yetu

NB: akili yangu ikifikia kuchoka kama yamleta mada basi naomba nichinjwe hadharani
 
Najua mabalozi hawa hawawezi kufanya walichofanya bila kupata kibali cha Mawaziri wao wa Mambo ya Kigeni.

Lakini sasa imetosha,haya mataifa yanaingilia sana mambo ya ndani ya Tanzania,tena bila kukoma.

Walishapewa maelekezo kwamba kama wana hoja wawasiliane na Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, bado wanakiuka.

Kama kuna watu wanaonewa, hao watu si watanzania na wanashindwa nini kwenda mahakamani.

Nashauri Balozi za Uingereza na Marekani zifungwe, mabalozi wapewe saa 24 waondoke
Thubutuuuu!
 
Kaimu Balozi wa Marekani Virginia Blaser: Tanzania Njia Panda
Mwaka 2017 June 1, ubalozi wa Marekani ulitoa tamko la iliiona Tanzania inaelekea kusipo na hivyo kutoa tamko la 'Tanzania katika Njia Panda'.

Source : usembassytz

Mwaka huu August 9, 2019 tamko la pamoja la USA na UK inakumbushia yale kaimu Balozi aliyosema lakini Tanzania sasa badala ya kuwa njia panda imeamua kufuata njia gandamizi kidemokrasia, kuvunja katiba na haki za msingi za kibinaadamu.

Hakika hali ya kisiasa Tanzania sasa ni wazi utawala wa awamu ya 5 imeamua kupuuza wasiwasi wa wadau wetu wa maendeleo na inapoelekea kutakuwa na mkwamo mkubwa kidiplomasia baina ya wadau wa maendeleo na Tanzania.
 
Hii inaitwa unatishia kujamba wakati unaharisha. Huo ubavu hamna maana ukijamba utaharisha.
Thubutu tugundue mboga mpya za majani.
 
Mngemfatilia mtoa mada msingemtukana namna hiyo,huyu ndo chinembe.mtu wa ushauri tata...nafatilia tu comment za nzi wa kijani hapa
 
Usishange kuona tamko la waziri wa mambo ya ndani kusema Kabendera amekamatwa kinyume na sheria hivyo aachiwe mara moja. Rejea sakata la ushoga bashite alivyorukwa mita Mia.
 
Vifurushi vya Bei Nafuu Kutoka Mitandao ya Simu
Vifurushi vya muda wa maongezi, Internet pamoja na SMS

karibu ujionee mwenyewe
Whatsapp 0620434182
 
Najua mabalozi hawa hawawezi kufanya walichofanya bila kupata kibali cha Mawaziri wao wa Mambo ya Kigeni.

Lakini sasa imetosha,haya mataifa yanaingilia sana mambo ya ndani ya Tanzania,tena bila kukoma.

Walishapewa maelekezo kwamba kama wana hoja wawasiliane na Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, bado wanakiuka.

Kama kuna watu wanaonewa, hao watu si watanzania na wanashindwa nini kwenda mahakamani.

Nashauri Balozi za Uingereza na Marekani zifungwe, mabalozi wapewe saa 24 waondoke
Hahahah najua hauko serious. You are just joking.
 
Bavicha wanaitana makamanda lakini ni waoga kweli kweli wa njaa yaani wapo tayari kuuza utu kwa kubadilishana na chakula.
 
Mkuu stroke samahani, je unauonaje ushauri wa mkuu chinembe wenye hoja ya kuwafukuza mabalozi wa nchi ya UK na US? Nasubiri maoni yako mkuu.
Bavicha wanaitana makamanda lakini ni waoga kweli kweli wa njaa yaani wapo tayari kuuza utu kwa kubadilishana na chakula.
 
Najua mabalozi hawa hawawezi kufanya walichofanya bila kupata kibali cha Mawaziri wao wa Mambo ya Kigeni.

Lakini sasa imetosha,haya mataifa yanaingilia sana mambo ya ndani ya Tanzania,tena bila kukoma.

Walishapewa maelekezo kwamba kama wana hoja wawasiliane na Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, bado wanakiuka.

Kama kuna watu wanaonewa, hao watu si watanzania na wanashindwa nini kwenda mahakamani.

Nashauri Balozi za Uingereza na Marekani zifungwe, mabalozi wapewe saa 24 waondoke
Unafikiri ni rahisi kama unavyofikiri?Tanzania haina ujanja huo kwani hao watu bado tunawahitaji sana
 
USA ikikukemea heri ukae kimya. Wale watu wapo mbali sana karibia na Mungu na shetani pia, yaani si wa dunia hii. Waliwahi kumchukua raisi wa nchi fulani ndani ya ikulu yake na kwenda kumchapa bakora gerezeni USA.

Ok ngoja tusubiri macho makali ya Kabudi
 
Najua mabalozi hawa hawawezi kufanya walichofanya bila kupata kibali cha Mawaziri wao wa Mambo ya Kigeni.

Lakini sasa imetosha,haya mataifa yanaingilia sana mambo ya ndani ya Tanzania,tena bila kukoma.

Walishapewa maelekezo kwamba kama wana hoja wawasiliane na Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, bado wanakiuka.

Kama kuna watu wanaonewa, hao watu si watanzania na wanashindwa nini kwenda mahakamani.

Nashauri Balozi za Uingereza na Marekani zifungwe, mabalozi wapewe saa 24 waondoke
Common sense is not common.
 
Back
Top Bottom