Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,181
- 29,915
Sas hivi ni kujipanga kuuza kazi kwa wachina.Inasikitisha sana
Hao walowapa kazi wachina waliongea na kuelewana kwa lugha ipi?Kanunue kamusi ya Kichina uwe mkalimani, upite na fursa.
Kawaulize.Hao walowapa kazi wachina waliongea na kuelewana kwa lugha ipi?
Wanawake wajitahidi kuwapa mbunye ili wapatikane wabongo wenye high thinking capacity kama wachina waje waitoe tz kwenye umasikini
kwa hiyo wanarithi sura na langi tu akili za kibongoMkuranga (kuanzia Kongowe mpaka Mkiu) yote kumejaa watoto sura za kichina ila akili za mama zao.
Hilo linaweza kuwa suluhisho, maanana Awamu ya sita imewasaliti makandarasi wazawa.Kwamba wenyeji wafutiwe lesen sio
Kuna waziri kajenga hapo Mwenge, ghorofa kutokana na kickback za wachina.Selfishness ya
Viongozi inaharibu Nchi
Huyo kapata wachina wake, tunaona madudu barabarani.Kuna waziri kajenga hapo Mwenge, ghorofa kutokana na kickback za wachina.
Hilo linaweza kuwa suluhisho, maanana Awamu ya sita imewasaliti makandarasi wazawa.
Wazawa kwishney.Wachina wanatafuta kampuni za kununua za ujenzi
Daah!Mkuranga (kuanzia Kongowe mpaka Mkiu) yote kumejaa watoto sura za kichina ila akili za mama zao.
Ni sawaKuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.
Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.
Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".
Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu haijaiharibu kabisa.
Mbaya zaidi TANROADS ndio inakufa, Road Fund inachotwa kama watu hawana akili nzuri.
Awamu ya sita na wachina ni damu damu.
Na Tanzania itajengwa na wachina.
Mkuu huoni irony ya sera zetu?Ni sawa
Kwani kuna ubaya ?
Hoja yako nini hapa Mkuu Jidu?