mkuu kama mnaamua kupanua miji lazima mkubali huduma zitangulie kwanza sasa mnataka watu watangulie halafu huduma zifute
Kama.selikali inahamia dodoma lazima na huduma ziwe kama ilivyo kuwa kwa dar
umesema ukweli ila ninacho kiamini ni kuwa dodoma inakuwa na inahitaji uwekezaji wa vitu na ili watu waje wawekeze lazima baadhi ya vitu serikali iviweke kama vivutio kwa wawekezajiUlichokisema ni kweli lakini jiji la dar lina watu zaidi ya million 5 na huko dodoma sidhani watu wanaoishi mule na ukijumlisha watakaohamia kama watafika hata milioni tatu anytime soon.
Sasa suala ni lile lile je, projects zipelekwe dodoma kwa sababu ni mji mkuu au wapeleke sehemu nyingine ambazo zinaweza kuleta manufaa zaidi (kama zipo)
Yaingia akilini Morocco kuwajengea Tanzania uwanja wa kwanza Afrika kwa ukubwa Kama zawadi? Yani usaidiwe kumpita alokufadhili? Mh!!😇Wananchi wanasahau kuwa mfalme wa morroco alipokuja alitoa ahadi ya kujenga, leo lawama kwa serikali ya Magufuri mmh!, kweli kuwa kiongozi ili ujue raha ya uongozi 😷!
Kwan Dar ilikuwa na Idadi hiyo ya watu toka enzi? , hata Dodoma baada ya muda fulan namba ya watu itaongezeka kwa sanaUlichokisema ni kweli lakini jiji la dar lina watu zaidi ya million 5 na huko dodoma sidhani watu wanaoishi mule na ukijumlisha watakaohamia kama watafika hata milioni tatu anytime soon.
Sasa suala ni lile lile je, projects zipelekwe dodoma kwa sababu ni mji mkuu au wapeleke sehemu nyingine ambazo zinaweza kuleta manufaa zaidi (kama zipo)
Kwan Dar ilikuwa na Idadi hiyo ya watu toka enzi? , hata Dodoma baada ya muda fulan namba ya watu itaongezeka kwa sana
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Dodoma n makao makuu ya nchi we need such a structureSiyo Dodoma dah!!
Wangeujenga Arusha au Moshi ili siku tukiandaa AFCON, tuimarishe na utalii hapohapo. Pia, kuna hoteli nyingi around.
Dodoma bado sana, tena sana.
Huo uwanja ni misuse of resources, dodoma panawafaa uwanja wa watu elfu 30 tu.Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget for such structures, we must also be very clear how income will be generated not only to pay the loan but to maintain it too. Just word of caution, we have seen many a white elephant."
Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."
Tsoko Mukanya said: "Their football is not even recognised. By whom should it be recognised to warrant the construction of a new stadium? Besides, are stadiums used solely for football purposes?"
Some said they should build high tech schools. Lagos Champion said: "I hope Tanzania has a far better maintenace culture. This is what we lack in Nigeria. Let's hope there are big games and events that are able to fill the stadium."
Dom ikifika population ya 5mil ujue dar itakua ni 10mil+Kwan Dar ilikuwa na Idadi hiyo ya watu toka enzi? , hata Dodoma baada ya muda fulan namba ya watu itaongezeka kwa sana
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Uwanja huo hautojaa hata nusu.Dodoma n makao makuu ya nchi we need such a structure
Hao wanaopinga tuwapuuze uwanja wa taifa Dar n Mkubwa na unapata income kwa shughuli mbalimbali zjnazofanyika
Are talking about the one to be funded by the King of Morocco?Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget for such structures, we must also be very clear how income will be generated not only to pay the loan but to maintain it too. Just word of caution, we have seen many a white elephant."
Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."
Tsoko Mukanya said: "Their football is not even recognised. By whom should it be recognised to warrant the construction of a new stadium? Besides, are stadiums used solely for football purposes?"
Some said they should build high tech schools. Lagos Champion said: "I hope Tanzania has a far better maintenace culture. This is what we lack in Nigeria. Let's hope there are big games and events that are able to fill the stadium."
Hizo n takwimu za zamaniWalobahatika kutembea tunaomba mtupeni case study ya mji wowote duniani wenye wakazi chini ya 400,000 lakini wamejenga uwanja unachukua watu 100,000 kwa wakati mmoja!
Mhh lini? Dodoma kufika watu M5 Dar itakuwa M 30!Hii mass movement ya JPM imeongexa watu Kama Elfu 25! Hapa insjumuisha watumishi na fimilia zao! ...kumbuka Kati ya watumishi 15,000 walio hamia Dom,Ni asilimia SI zaidi ya 30 walihamis na familia zao!Dom ikifika population ya 5mil ujue dar itakua ni 10mil+
watoa maoni ni mabeberu ama la wanatumika na mabeberu kwa kifupi hatupangiwi cha kufanya kwetu full_stopTanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget for such structures, we must also be very clear how income will be generated not only to pay the loan but to maintain it too. Just word of caution, we have seen many a white elephant."
Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."
Tsoko Mukanya said: "Their football is not even recognised. By whom should it be recognised to warrant the construction of a new stadium? Besides, are stadiums used solely for football purposes?"
Some said they should build high tech schools. Lagos Champion said: "I hope Tanzania has a far better maintenace culture. This is what we lack in Nigeria. Let's hope there are big games and events that are able to fill the stadium."
It doesn't matter,Dom ikifika population ya 5mil ujue dar itakua ni 10mil+
Kuna mtu mjinga fulan anampotosha Rais. Nakwakuwa uchumi haudanganyi ataona result ya kaz yakeTanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.