Tanzania is a jewish name!

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
wadau nataka tujadili hili jina tanzania asili yake, kwa vigezo kadhaa binafsi nimekuja gundua kumbe neno tanzania lina asili ya kiyahudi mfano halisi ni pale waziri wa serikali ya israle alipotumia tanzania kutukebehi na kutukashifu,

In an interview with Israel Radio’s Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant. “Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya],” said Barak, noting places "whose names rhyme with England in Hebrew."

je mwalimu alifanya hivi makusidi kuleta jina la kiyahudi liwe jina la nchi yetu au hakujua ilikua purerly coincidence, does it mean kila tunaposema tunaipenda tanzania indirect tunasema tunaipenda israel?
 
In an interview with Israel Radio's Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant. "Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya]," said Barak, noting places "whose names rhyme with England in Hebrew."

je mwalimu alifanya hivi makusidi kuleta jina la kiyahudi liwe jina la nchi yetu au hakujua ilikua purerly coincidence, does it mean kila tunaposema tunaipenda tanzania indirect tunasema tunaipenda israel?

Mmhhhh ngumu kumeza
 
hujaelewa nini tango............. tanzania imekua derived from jewish names simple as that!
 
Duh!..

"Britania [is not the same as] Mauritania, Tanzania and Tripolitania"

Inamaanisha Uingereza, Mauritania, Tripolitania na Tanzania ni majina yenye asili ya Kiyahudi!?

Hapana, Alichofanya Barak ni kuchagua nchi zisizomuhimu kwa Israel ambazo zitafanya vina vinavyoendana na Uingereza kwa Kiyahudi

*Lugha nyingi duniani huwa na matamshi au maneno/majina maalum kumaanisha nchi fulani hasa maarufu. Kwa Kiswahili husema 'Ureno, Ubelgiji, Uholanzi, n.k" bila ya kumaanisha kuwa Portugal, Belgium or Holland zinatokana na Kiswahili
 
Kimantiki, hii ni issue ndogo sana. Kwani inatupunguzia nini sisi kama watanzania?
Hiyo ni lugha tu. Kwani wewe hujawahi kusikia neno fulani ktk kabila moja lenye maana nzuri lakini ktk kabila lako neno hilo likawa na tafsiri ya matusi? Je, utabadili kabila?
 
wadau nataka tujadili hili jina tanzania asili yake, kwa vigezo kadhaa binafsi nimekuja gundua kumbe neno tanzania lina asili ya kiyahudi mfano halisi ni pale waziri wa serikali ya israle alipotumia tanzania kutukebehi na kutukashifu,

In an interview with Israel Radio’s Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant. “Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya],” said Barak, noting places "whose names rhyme with England in Hebrew."

je mwalimu alifanya hivi makusidi kuleta jina la kiyahudi liwe jina la nchi yetu au hakujua ilikua purerly coincidence, does it mean kila tunaposema tunaipenda tanzania indirect tunasema tunaipenda israel?
Makao makuu ya kibiashara ya Tanzanai ni Dar Es Salaam-Bandar ya Salama,
Sijui waarabu waliotoa hilo jina wana maana gani yarabi!
 
Huo nao ni uzushi..Mie Historia inaniambia kuwa kulikuwa na mashindao ya kuchagua jina.Na jina lililoshinda lilikuwa TANZANIA ....Ikiwa na mana ya ......Tanganyika na Zanzibar zina NiA MOJA...TANZANIA...sasa haya mambo ya kijewishi yametoka wapi tena?
 
Makao makuu ya kibiashara ya Tanzanai ni Dar Es Salaam-Bandar ya Salama,
Sijui waarabu waliotoa hilo jina wana maana gani yarabi!

maana ya Daresalaam sio bandari ya salama
maana yake ni Heaven of peace....
Daresalaam ni moja ya majina ya pepo saba ambazo zinatajwa katika imani ya kiislam.....
 
maana ya Daresalaam sio bandari ya salama
maana yake ni Heaven of peace....
Daresalaam ni moja ya majina ya pepo saba ambazo zinatajwa katika imani ya kiislam.....

Una uhakika huzungumzii Darussalaam?

Umetupotosha
 
Really?I didnt knew that before...

yes,watu weengi hawajui
kwa sababu sio sio kila kilichopo kwenye uislam ni kiarabu
mfano unaweza kujua kuongea kiarabu lakini usielewe hata neno moja la qur aaan....

so ndo hivyo
actually kiarabu neno bandari ni bandaar...so kama ni bandari salama
ingeitwa hivyo hivyo bandaar salaam......
Brunei nafikiri wana mji unaitwa Bandaar salaam.....
 
Brunei wana mji unaoitwa Darussalaam wenye maani hiyo ya pepo.
Dar Es Salaam Ina maana ya Bandari Salama
 
Una uhakika huzungumzii Darussalaam?

Umetupotosha

sijapotosha
hiyo Darusalaam ya Brunei naifaham....
mimi nimekwambia katika imani ya kiislam
watu wakifa wanaenda peponi
na kuna pepo saba....mojawapo inaitwa Daresalaam na ndo asili ya jina hili ilipotoka
which means heaven of peace(sio haven kama wengine wanavyoandik)....
sasa wewe go do ur research.........
 
daaah, hii kitu bado tu kupata ufumbuzi?
bora sasa tuongelee ya Darusalaam na the Heaven of Peace....
Enhee...
 
sijapotosha
hiyo Darusalaam ya Brunei naifaham....
mimi nimekwambia katika imani ya kiislam
watu wakifa wanaenda peponi
na kuna pepo saba....mojawapo inaitwa Daresalaam na ndo asili ya jina hili ilipotoka
which means heaven of peace(sio haven kama wengine wanavyoandik)....
sasa wewe go do ur research.........

Nipe andiko

Kwa kukusaidia nenda Suratul Yussuf, utapata jibu lako

Ahsante
 
Nipe andiko

mtafute Faziafoxy yeye ana knowlegde ya both
arabic language na islamic knowledge aje athibitishe hapa

kwa kuwasaidia tu hata Daresalaam yenyewe sio Daresalaam
usahihi ni DAR AS SALAAM..na sio DAR ES SALAAM....

kwa hiyo kama Brunei wanaiita DAR US SALAAM.....jiulize hapo

vipi wao iwe pepo sisi iwe bandari.....

haya majina ukifuatiulia utashangaaa mfano jerusalem ni jerusalem au ni JER US SALAAM?????
Which is which?
 
The Boss na Gaijin,.................... mnanipa shule ya uhakika sana hapa................... keep it up wakuu....................... siondoki hapa kiti cha mbele kabisa....................
 
Back
Top Bottom