Tanzania is a jewish name!

Whatever the case is kwani IZRAHELL nayenyewe ni nchi ya kujivunia ktk huu ulimwengu? ni nchi inayoongoza kwa ubaguzi wa DINI, WATU yani ni heli ata ya makaburu hawa ni wehu wanaoongoza kwa ombaomba dunian still wanatubeza hawa machizi tu.....Tanzania haina uhusiano wowote na izraHELL kwani ktk proposal za UN za majina baada ya kuungana kati ya TANGANYIKA na ZANZIBAR moja wapo ya majina ni TANGABAR na apoapo kuna mkoa wa TANGA so they ended up wit TANZANIA ambayo it was best announced compared to the rest....
 
Wapi? Jina kama si la kizanaki hili?!
Ni la kizaramu lol
hawa jews wanajua tz kweli,maana sijamskia
hata john mtembez kama alishawah kupiga picha na wasanii wa pande hizo,
so hawatujui make hata kilimanjaro
ipo kenya.so litakuwa jna la kinyumbani
 
Back
Top Bottom