Tanzania irudi kwa Watanzania

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Kuna kila haja ya kucontrol immigration haswa kwa usalama wa nchi yetu kwani kuna foreigners wengi sana chinese,somali,kenyans,malawians,congolese etc
 
Wanaingia kwa njia ya RUSHWA, huwezi kucontrol hali hii bila kubalidisha uongozi wa nchi - Forget it my friend.

Wewe uslishawahi kuona mla rushwa Tanzania hii anafunguiiwa mashitaka na akafungwa - Unless uamue kufungwa mwenyewe.

Ni Tanzania pekee nchi ya kwanza duniani kuuza hadi Twiga nje ya nchi kwa njia za rushwa na hakuna muhusika hata mmoja kashashikwa hadi leo so itakuwa hao wasomali na wahindi wanaoingia kila siku kupitia njia za panya.

Point: Wapeni CHEDEMA wairudishe nchi kwenye msingi ya utawala bora - kama hamtaki basi msilalamike mkae kimya milele.
 
nia aibu ya hali ya juu
jamani huwa siamini kama tuna immagiration walio serious
makaburu, wachina, wadhungu, wakongo, wamejaa mpaka basi
eti wanakuja kama experts hapa kwetu
jamani hata kuwa mlinzi KK security, Knight support, nk kunahitaji expertism???
Haki ya nani tumefika kubaya kabisa.
 
Wapakistan etc..... Hao foreigners wengine ndo wameshikilia usalama wa Taifa na ofisi nyeti...... Hii nchi hiiiii.... ishakuwa shamba la bibi.... nobody's land.....
 
Back
Top Bottom