Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

Tumeponzwa na rais wetu. Yeye ni taswira ya wapiga kura wake. Yaani yeye ndo kaonrkana Ana akili kuliko Wa Tz woote, na hajui kwa nini nchi yake ni masikini ilhali Ina utajiri Wa rasiliamali. Faki yuu CCM. Faki yuu mafisadi....
 
Itapendeza ukitoa hoja bila matusi tupac wa mwakaleli.

Ufisadi Wa CCM unasababisha wote tuonekane mambulula. Leo mnatulazimisha tujadili serikali mbili. Je ni wapi rasimu ya katiba imetaja serikali mbili????? Kwani ni Kikwete anatulazimisha tujadili mambo yasiyokuwemo kwenye rasimu? Huyu jamaa must be mwehu aisee
 
Duh! hatari. Sasa ndio kizazi akina kadoda11 Bulldog Geza Ulole wanalea. Hakika kwa mwendo huu naona bado shughuli ipo na tena sana.

the so called kizazi cha digitali /social media ni majanga kila kona hata huko "kwenyu".imagine siku hizi wameanza kuharibu kiswahili,kwa mfano neno sasa huandika "xaxa".safi huandika "xafi".
bora sisi tuliozaliwa nyakati za analogia,angalau tuna IQ nzuri.
 
Last edited by a moderator:
lakini angalau diamond platinumz ni mmojawapo ya top ten best artists in the world kwa sasa
 
Kumbe ndiyo maana serikali haitilii maanani suala la elimu? Yaani wanataka wananchi tududumie kiakili huku watoto wao wakiwapeleka nje ya nchi kusoma ili wazee wao wakizeeka nchi wachukue wao na kuendeleza kutukandamiza? Hii kweli ni laana ya kiCCM.
 
mtu kazaliwa nchi imefunikwa na barafu anamlisha mtu kazaliwa nchi ina almasi,dhahabu,uranium,shaba,makaa ya mawe,weather ya kuchagua,ardhi yenye rutuba..............who has highest IQ between the two???
umeufunga mjadala
 
Yaani Israel ya 34?Huu utafiti wamefanya akina Benson Bana nini?
Anyway IQ sio hoa saana.
Bse wapo waliokuwa na IQ ya maana wanaimis use na tunaendelea kuumia tuu

Mkuu mimi nlijua israel ndo best,huu utafiti ni batili
 
mkuu mimi nlijua israel ndo best,huu utafiti ni batili
nijuavyo iq inamfanya mtu awe na busara na ushawishi kwa binadamu wengine.mbona israel hawako hivyo ni viburi na bangi bangi kitu kinachowafanya waishi kwa mashakamashaka. Kuwa wa 34 ni saizi yao.
 
Israel is undisputable kwenye IQ huyu matafiti arudi field tena kwa ghalama zake
 
Huhitaji hata kupima ili kujua IQ ya watanzania. Fanya uchunguzi wa maisha na harakati za watu. Kwa mfano:
1. Vipindi vya TV vyenye mvuto kwa jamii (orijino komedi)
2. Mashujaa, wanasiasa na mastaa maarufu (Kina Lulu, Kikwete na marehemu Karumba)
3. Matibabu yanayoaminika na wengi (Kikombe cha babu na maruhani)
4. Maandiko yanayosomwa na wengi: (Magazeti ya uswahili uswahili na imani za kishirikina)
5. ........
6.......
7......
.......

Hahahahaaa...
 
Kumbe ndio maana ma-ccm yamekuwa yakituibia na sisi tunachekelea kama mazuzu...!
LAKINI MWAKA HUU HAPANAAAA....
 
Back
Top Bottom