Tanzania inflation hits 14.1 pct in August | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inflation hits 14.1 pct in August

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mojo, Sep 15, 2011.

 1. M

  Mojo Senior Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania inflation rises to 14.1 pct in August

  DAR ES SALAAM

  Tanzania’s inflation rose for the tenth consecutive month in August driven by higher food and energy costs, the statistics office said on Thursday.

  The year-on-year inflation in east Africa’s second-biggest economy jumped to 14.1 percent in August from 13 percent in the previous month.

  Source: TANZANIA files
   
 2. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha. Muungwana aliichukua nchi inflation ikiwa around 6.8 pct, na ame-double inflation in 6 years. ANGUKA na Bora Maisha.
   
 3. Zagazaga

  Zagazaga JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  aaah ****** huyo ikifika 2015 kitu 30%
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  That yet sounds less severe than what the situation is in Somalia and other precarious countries. We might have not been succeeded in controlling inflation rate but things do improve slowly. The government is fighting hard to create propitious and conducive ambience to attract foreign investments which efforts have direct effects on slowing the inflation rate.
   
 5. NEW TANZANIA

  NEW TANZANIA Senior Member

  #5
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee ndio maana hali ni ngumu
  kikwete prof Nduru akiongea yeye anatingisha kichwa kukubali
  hawa watu ni hasara kwa taifa huyu jamaa alidesa elimu yake hakuna u prof hapo
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  porojo tu hata kwenye hili mwita25
   
 7. NEW TANZANIA

  NEW TANZANIA Senior Member

  #7
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unafanananisha nchi yenye vita miaka nenda rudi na TANZNAIA? somalia haina hata serikali, ina maana LEO wana CCM manaweza kujivina kwamba tanzania ni better of somalia ya kwamba mmefanya kazi nzuri?

  kuna nane jingine zaidi ya kuwaona watu kama wewe wajinga na mwenye tabia za homesexual maana mimi najua ndio wanaongea bila kutumia up stairs
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu ilikuwa below 5% (5%). I hope hatutafika kule kwa Mzee ruksa - 30%!
   
 9. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  And that's the sad part.

  After 50 years of Uhuru, and about 47 years of Political monopoly by one party, abudance of natural resources ranked third in the continent, fertile land ranked in top ten in the continent, and a population exceeding our combined five neighbours, we still find Tanzania in a situation which is being compared to a chaotic, lawless state like Somalia and other "precarious" countries. And yet we are told that going from 6.8 pct to 14.1 pct in 6 years is an improvement. I shudder to imagine otherwise.
   
 10. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu Mwita,
  mimi sipendi kijibizana na wewe kutokana na mwelekeo wa mabandiko yako..
  Hapo nilipokoleza na kupigia mstari..why foreign, je sisi Watanzania si binadamu wenye uwezo wa kufikiri, kupanga, kuamua na kutekeleza maamuzi yetu bila ya kutegemea foreign elements?? Why? In your perspective, are Tanzanians cursed?
  I guess, that's what you meant in your post!!..Sad in deed!
  Watanzania, tufungue macho!! tumepotezwa jamani..
   
 11. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #11
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Haya unaooandika yana mwelekeo wowote wa kutoa suluhu la hili janga la kiuchumi ama ni Pengezi kwa mwenyekiti wako wa CCM kama mlivyozoea.Kuwa seriouz na matatizo ya kijamii likiwemo hili la mfumuko wa bei ambapo imefikia double digit.
   
 12. c

  conversant Member

  #12
  Sep 15, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  <br />
  <br />
  mkuu nakuunga mkono huyu prof mi simuelewi kabisa mara kuna noti aina mbili huku inflation na shillingi inazidi kutetereka akiulizwa anasema Currency depreciation is not bad for our economy sasa najiuliza hata kama itaboost exports je na kwa haya mazao ambayo hatutaki kuyafanyia processing zaidi then sio kama tunavyoimport duh! prof do something baana upo hapo sio kuwa ktk ofisi nzuri advise the govt kuwa na uchungu mkuu otherwise tukiingia kwenye common currency ya eac within short time tutakuwa vibaya zaidi ya greece duh! Inauma mbaya
   
Loading...