Tanzania inaweza kujikuta kwenye hali mbaya muda si mrefu

Anaandika Bob T. Kola Kada wa CCM

TETESI; Tanzania inaweza kujikuta kwenye hali mbaya muda si mrefu. Ni wazi kuwa wakubwa wanajua ila wanatuficha ukweli. kubadilishwa kwa Waziri wa Nje ndio ishara namba moja. Kabudi atakabidhiwa jukumu la kutuliza mambo ambayo hayatuliziki. Kiuzalendo itatupasa tuache uvyama na tuungane kutaka suluhu.

Na kuhusu suala la Lissu, tumuombee Chief amuombe huyu Bwana radhi. Kuropoka kwa akina Lugola na wenzake kumetengeneza ushahidi mzito. Kifupi Moto wa Lissu ni hatari maana hata Ratiba zake mbili zilizoko mbele yake hivi sasa sio nzuri kwetu.

Kabudi amewekwa ajaribu kutumia Cheti chake cha Sheria na uzoefu ili kuziba balaa, namtakia mema lakini ni Kazi bure kama hawajamhusisha Tundu Lissu. Hizo ziara mbili zijazo zitaleta mtikisiko usio wa kawaida. Kumbukeni ICC inamtaka, Bunge la USA linamtaka, hizo ni hasi na chanya, moto wake ni mkubwa.

Ukiacha hayo, Tanzania ina Kesi kibao za Makampuni kuhusu Madai tofauti. Kesi zote hizi ukizitazama, ni za kukurupuka tu.

Kinachofanyika Nchini hivi sasa ni Matangazo ya Maigizo tu. Ukitazama Biashara, Kilimo na Masoko vimetupwa. Hata Magazeti nayo kila Siku yanaripoti habari za Wahamaji wa Vyama vya Kisiasa, sasa tutaishi vipi? Hakuna sehemu inayoandikwa zao Bora kwa Kilimo wala hakuna habari inayohusu Ufugaji, tumwambieni Mkuu abadilishe Santuri, vinginevyo mtakuja kukumbuka maneno yangu.

Kukimbilia kulinganisha Tanzania na Libya haisaidii kitu. Kusema mbona na Nyumba ya jirani ilichomwa kwa Moto ni ujinga, unachotakiwa kufanya ni kuzuia ya kwako isichomwe pia. Utetezi wa kusema mbona Kibiti walikufa wengi ni Ufala wa Africa tu. Huwezi kutumia ajali ya Bus kuhalalisha ajali ya Pikipiki.

Huwezi kusimama Mahakama ya The Hague ukawaambia eti na Rufiji walikufa wengi tu, huko watakuzaba Makofi, bado Wanasheria wetu wehu wehu tu hata ngeli ni zero kwao. Wamezoeshwa kupigishiwa Simu kwa Majaji ili kutoa Ushindi.

The Hague kuna Majaji wenye harufu mbaya, akikuangalia tu unasahau hata Jinsia yako, muulizeni huyo Uhuru Kenyaa. Msidhani kushughulikia Amani kule kwake na kupatana na Wapinzani anapenda, aliuona Moto wake na alikonda.

Bob T. Kola
Stupidd..!
 
Asante kwa kushiriki JF
 
Rubbish of the highest class.
 
Green Mambas wamejitokeza kwa wingi kweli kwenye uzi huu.
Mataga wanachekesha kweli wanafikiri kupindisha ukweli kunasaidia ,na propaganda uchwara hazisaidii nchi hii ilishajifia jiwe kaiua kiuchumi , imebakia muda kidogo tu ipige chini hata mishahara ikosekane , kodi ya kichwa iliyoletwa kwa jina la vitambulisho vya machinga ni ushahidi tosha kabisa bakuli jeupe .
 
Mpo wengi mnaodhani ccm inamiliki nchi na serikali, mnacheza michezo ya kubadili kila kifungu msichokipenda ndani ya katiba, huwa hamjui km katiba ni msahafu wa nchi husika, unaongoza waliohai na watakaozaliwa, mleta mada amezungumza mustakbali wa nchi, nchi ya Tanzania, Tanzania ya watanzania sio wana ccm. Maana kwa chama nami ni mwana ccm. Lkn siamini km wanangu na mke wangu ni ccm. Lkn tunapaswa kulindwa na dira ya uchumi wa nchi. Maana sote ni Watanzania
 
Hi The Hague wameweza kuwatia hatiani washitakiwa wangapi tagia ianzishwe! Hawa hata Burundi imewapa shida tu. Na unaona ni Lissu tu ndiye anayeweza kuokoa taifa? Lissu ni haini hana lolote - atakabiliana na mwalimu wake
Lissu ni mwalimu wa Kabudi kwa taarifa yako//Lissu ni Lawyer kama alivyo Kabudi ila tofauti ya hawa wawili ni kuwa Lissu ameongezewa na Mungu kitu fulani zaidi ya kile alichokisomea wakati Kabudi hana hiyo na hivyo kubaki tu na usomi wa makaratasi tu///Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni WAPUMBAVU eti mialiko miwili ya Lissu, Lissu ana mialiko ipi?, Bunge la Congress!??, Anaonana lini na Trump na Papa?,Mmelishwa matango pori mmeingia kingi, lete ushahidi wa hiyo mialiko. Halafu huwa mnaelewa ICC Ina deal na vitu gani? Au mnaongea tu?, Sentensi zako tatu tu za mwanzo ulionekana kama kuna la maana unaeleza baadae ukaanza kunya mashudu na pumba kuonyesha rangi yako halisi. Kijana fanya kazi acha propaganda hazikusaidii kitu.
Shosti! povu lote hili tatizo nini?nimejikuta nacheka tu.
 
Ulianza vizuri ulipoanza kuchanganya na siasa, nikaona kabisa huyu ni nyumbu, kichwa cha habari umesema mambo yatakuwa magumu nikategemea ndani utasema sasa hivi ni mazuri nikachoka unasema tena hata sasa ni magumu! Sasa ikiwa vivo unavosema si ndo njia yenu ya kwenda ikulu itakuwa nyepesi! Why sasa muanze unafiki wakujidai MNA uchungu na future wakati sasa hivi mnaspoil kila kitu.
?????
Aiseee....yan we kenge ulitaka aandike unayotaka ww?
 
Nyie ni WAPUMBAVU eti mialiko miwili ya Lissu, Lissu ana mialiko ipi?, Bunge la Congress!??, Anaonana lini na Trump na Papa?,Mmelishwa matango pori mmeingia kingi, lete ushahidi wa hiyo mialiko. Halafu huwa mnaelewa ICC Ina deal na vitu gani? Au mnaongea tu?, Sentensi zako tatu tu za mwanzo ulionekana kama kuna la maana unaeleza baadae ukaanza kunya mashudu na pumba kuonyesha rangi yako halisi. Kijana fanya kazi acha propaganda hazikusaidii kitu.
Futa povu upande wa kushoto apo kwenye shavu lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza vizuri ulipoanza kuchanganya na siasa, nikaona kabisa huyu ni nyumbu, kichwa cha habari umesema mambo yatakuwa magumu nikategemea ndani utasema sasa hivi ni mazuri nikachoka unasema tena hata sasa ni magumu! Sasa ikiwa vivo unavosema si ndo njia yenu ya kwenda ikulu itakuwa nyepesi! Why sasa muanze unafiki wakujidai MNA uchungu na future wakati sasa hivi mnaspoil kila kitu.
?????
Unatakiwa ufanyiwe tohara ya akili, pole sana mpendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakusaidia kwa kukuondolea hilo govi kwenye akili zako kwa kukufanyia tohara ili ujitambue pole sana ndugu.

Back
Top Bottom