Ushauri unaimiza sana huu.Soko la mahindi tulizembea hapo katikati mpaka sasa hivi Zambia nao wamekua wazalishaji wakubwa kupitia wale wazungu waliotimuliwa Zimbabwe sasa hivi DRC wanategemea mahindi kutoka Zambia na wanapeleka Malawi kupitia Chipata huko tena hizo Nchi ni wavivu unaenda unga kabisa wangetoa Kodi kwenye mashine za kukoboa ndogo na kubwa na pia kupata vibali vya nembo ingekua rahisi na haraka hakuna sehemu unga hautakiwi ni vile tunatengenezeana mazingira magumu hayo maroli ya kubeba unga au mahindi Kodi ipo juu sijui huwa mnafikiria nini punguzeni Kodi kwenye baadhi ya vitu mtapata pesa baada ya kuuza mazao kwa wakati...
Kaka mbona mahindi huwa yanauzwa huko, kuna wakati huwa nashinda hapa national milling company nmc iringa sometimes huwa wanapakia had semi 15 kwa siku na zote huwa zinabeba unga zinapeleka Sudan ....no fact no right to speak burazaKuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu namna ya Bora ya kuyakinga mazao yetu na sumu tukianzia shambani, ukweli ni kwamba baadhi ya mahindi yetu ni kweli yanatia wasiwasi, mahindi yanasagwa lakini bado harufu ya madawa haitoki kwenye unga, ili litazamwe kwa kweli.
Ya kilimo kwanza ilikufa sembuse hiiHivi ile Tanzania ya Viwanda ilifia wapi?
Post #10 imefafanua vizuri Hili Jambo ipitie uitafakari vizuriKaka mbona mahindi huwa yanauzwa huko, kuna wakati huwa nashinda hapa national milling company nmc iringa sometimes huwa wanapakia had semi 15 kwa siku na zote huwa zinabeba unga zinapeleka Sudan ....no fact no right to speak buraza
Ngoja nitaanza kuwasiliana na home wanitumie kwa basi.Aisee ugali kula wa mahindi uliolima mwenyewe ila wa kununua kwa mangi utakufa na saratani
Mwaka huu mbeya watakoma. Mahindi yamekubali soko hakuna ili yasibunguliwe na dumuzi itabidi yapigwe sumu ya kutosha yakiwa ghalani kwa muda usiojulikana.piga ALUMINUM PHOS.Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu namna ya Bora ya kuyakinga mazao yetu na sumu tukianzia shambani, ukweli ni kwamba baadhi ya mahindi yetu ni kweli yanatia wasiwasi, mahindi yanasagwa lakini bado harufu ya madawa haitoki kwenye unga, ili litazamwe kwa kweli.
Habari Mkuu kumbuka sumu inayozungumziwa na kuleta joto la zuio la mahindi ya Tanzania siyo hizo unazosema wewe.Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu namna ya Bora ya kuyakinga mazao yetu na sumu tukianzia shambani, ukweli ni kwamba baadhi ya mahindi yetu ni kweli yanatia wasiwasi, mahindi yanasagwa lakini bado harufu ya madawa haitoki kwenye unga, ili litazamwe kwa kweli.
Mahindi yanauzwa hata na Marekani, bado soko la mahindi ni kubwa kuliko soko la ungaKuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu namna ya Bora ya kuyakinga mazao yetu na sumu tukianzia shambani, ukweli ni kwamba baadhi ya mahindi yetu ni kweli yanatia wasiwasi, mahindi yanasagwa lakini bado harufu ya madawa haitoki kwenye unga, ili litazamwe kwa kweli.