UYOGAUYOGA
Member
- Jul 4, 2019
- 40
- 9
Tukemkuwa tukizoea nchi ya Tanzania kuitwa nchi ya less developing country kwa muda mrefu huku ikiwa na wasomi wanaojua kufanya research za kisiasa uzoefu pamoja na explore.. Ni muda wa kutafakari ni vitu gani tukifanya kwa muda mfupi tunaweza kuwa nchi inayoitwa DEVELOPING COUNRTY kama ilivyo UINGEREZA kwa sababu tunatumia siasa za majadiliano na ushindani wa KISIASA ZA KIBEPARI:
- JAMBO LA KUJIULIZA NI NINI KIFANYIKE?
MFANO TUTUMIE SOMO LA REGRESSION ANALYSIS
DEVELOPING COUNTRY = a + b (upangaji miji/matumizi bora ya ardhi) + g (ajira kwa vijana bila kujali nani mwajiri (serikali/private) + v (kutekeleza miradi ya kipaumbele kwa maeneo tuliyokuwa vizuri) + t (kuondoa aibu kwa kila mtanzania) + c (kudukuwa maisha ya wataafu na kuplant kwa vijana) + d( (siasa za majadiliano/kimyakimya) + y (majadiliano ya conference/kufuatwa kwa mfumo wa mafilifili) + ERROR TERM (U)
UKISHINDWA KUJUA KINACHOTAKIWA TUNATAFSIRI NA KUKUWEKA KWENYE GROUP LA ERROR (HELA) NA AWAMU ZA URAIS (TERM)
KWA HALI HII N IBORA TUNGEANZISHA WAKALA WA WASIO NA AJIRA TANZANIA
https://www.ajira.go.tz/wp-content/...ZO-LA-KUITWA-KWENYE-USAILI-EGA-04.07.2019.pdf