Tetesi: Tanzania inakuwa developed country ndani ya miezi miwili

U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
Dunia iliyoendelea imeendelea kwa kufuata kanuni za maendeleo ya kisayansi na teknolojia.
1. Bila kuzitambua changamoto hutapata majibu ya wapi unakwama.
2. Hoja ya maisha ndiyo maono sahihi ya mikakati na mipango kazi. Si muonekano wa mabarabara kwa ajili ya wenye nagari.
3. Tumetafsiri elimu kuwa ni vyeti badala ya kuwezesha kukabili changamoto za maisha na kujipatia maendeleo.

Tusishangae kukutwa pale pale tulipoachwa wakati wenzetu wakirudi kujichotea rasilimali zetu.
NIMEPENDA UCHAMBUZI WAKO LAKINI HATA VIPI HATUWEZI TUKAONDOKA KWENYE MAJADILIANO YA MIPANGO (PLAN) TUKITUMIA STRESS SAHIHI NA KUTAMBUA SHIDA YANGU YA MIPANGO MIJI NI YAKO HIZI NDIYO STRESS SAHIHI ZA MWANADANU WA KAFRIKA

NYUMBA YA MIPANGO MIJI (BARABARA NI RAIS FULL ZEGE KAMA MWENDOKASI)
KAZI NZURI INAYOENDANA NA MIPANGO MIJI BILA KUCHAGUA BOSS
GARI NITANUNUA
 
mbinguni

mbinguni

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
2,042
Points
1,500
mbinguni

mbinguni

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
2,042 1,500
Hoja nzuri ila
1. Kusanya takwimu za changemoto
2. Zichambue kiteknologia tofauti na kisiasa
3. Pendekeza namna ya kuzikabili
4. Andaa mikakati na mpango kazi
5. Hakikisha una rasilimali watu sahihi na mitaji ya kutosha.
6. Weka mfumo wa uangalizi, usimamizi na udhibiti
Awamu zote za chama dola hadi sasa hazina maono zina ndoto za alinacha na ukereketwa wa siasa kwa gharama ya maendeleo ya nchi.
Hakika
 
MasterP.

MasterP.

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
5,897
Points
2,000
MasterP.

MasterP.

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
5,897 2,000
Eti wanasema kuwa baada ya miaka kama 30 hivi Chattle itakuwa kama New York????!!!!!
 
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
10,212
Points
2,000
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
10,212 2,000
Naona hujui maana ya developing country na developed country!
 
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
5,323
Points
2,000
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
5,323 2,000
NIMEPENDA UCHAMBUZI WAKO LAKINI HATA VIPI HATUWEZI TUKAONDOKA KWENYE MAJADILIANO YA MIPANGO (PLAN) TUKITUMIA STRESS SAHIHI NA KUTAMBUA SHIDA YANGU YA MIPANGO MIJI NI YAKO HIZI NDIYO STRESS SAHIHI ZA MWANADANU WA KAFRIKA

NYUMBA YA MIPANGO MIJI (BARABARA NI RAIS FULL ZEGE KAMA MWENDOKASI)
KAZI NZURI INAYOENDANA NA MIPANGO MIJI BILA KUCHAGUA BOSS
GARI NITANUNUA
Kanuni za maendeleo ni za kisayansi na ni sawa kwa wote.
 
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
Tumeshaanza kula ujinga there is no next time
NI KWELI UJINGA NDIO UNAFANYA WATU WAISHI MATARANI JAMII FORUMS WAZO LILIKUWA LA UJINGA SAIZI KUNA WATU WANATAMANI KUIFUNGA KABISA
KUUWA VIWANDA NI UJINGA LAKINI WATU WALIPATA MITAJI YA KWENDA KUTANUA ULAYA NA KUNUNUA MAGARI
MOVIE ZA XXX NI UJINGA KABISA LAKINI WATU ANANUNUA
TECHOLOGIA NI ZURI UKILETEWA KUTOKA ULAYA/NJE YA NCHI TUENDELEE KULA UJINGA MAANA HAKIKA HAUWEZI KUISHA MAANA TABIA YAKO NI UJINGA KWA WATU WENGINE

UFISADI ULIKUWA NI UJINGA LAKINI WATU WALIKULA MAISHA

WALIOKUWA WANAPINGA UFISADI ILIKUWA UJINGA NA KUPELEKA JELA KABISA SAIZI DR. SLAA WANAKULA MAISHA YA EGA KITI LA MKUMBO

CHA MUHUMU CHEZA KWA STEP USIMKANYAGE WENZIO
 
Shoctopus

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
2,025
Points
2,000
Shoctopus

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
2,025 2,000
Tukemkuwa tukizoea nchi ya Tanzania kuitwa nchi ya less developing country kwa muda mrefu huku ikiwa na wasomi wanaojua kufanya research za kisiasa uzoefu pamoja na explore.. Ni muda wa kutafakari ni vitu gani tukifanya kwa muda mfupi tunaweza kuwa nchi inayoitwa DEVELOPING COUNRTY kama ilivyo UINGEREZA kwa sababu tunatumia siasa za majadiliano na ushindani wa KISIASA ZA KIBEPARI:

- JAMBO LA KUJIULIZA NI NINI KIFANYIKE?

MFANO TUTUMIE SOMO LA REGRESSION ANALYSIS

DEVELOPING COUNTRY = a + b (upangaji miji/matumizi bora ya ardhi) + g (ajira kwa vijana bila kujali nani mwajiri (serikali/private) + v (kutekeleza miradi ya kipaumbele kwa maeneo tuliyokuwa vizuri) + t (kuondoa aibu kwa kila mtanzania) + c (kudukuwa maisha ya wataafu na kuplant kwa vijana) + d( (siasa za majadiliano/kimyakimya) + y (majadiliano ya conference/kufuatwa kwa mfumo wa mafilifili) + ERROR TERM (U)

UKISHINDWA KUJUA KINACHOTAKIWA TUNATAFSIRI NA KUKUWEKA KWENYE GROUP LA ERROR (HELA) NA AWAMU ZA URAIS (TERM)

KWA HALI HII N IBORA TUNGEANZISHA WAKALA WA WASIO NA AJIRA TANZANIA
https://www.ajira.go.tz/wp-content/uploads/2019/07/TANGAZO-LA-KUITWA-KWENYE-USAILI-EGA-04.07.2019.pdf
Shida inaanzia hapo uliposema Uingereza ni nchi inayoendelea 'developing country'
Hongera!
 
Forum statistics

Threads 1,316,456
Members 505,652
Posts 31,891,034
Top