Tetesi: Tanzania inakuwa developed country ndani ya miezi miwili

U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
Tukemkuwa tukizoea nchi ya Tanzania kuitwa nchi ya less developing country kwa muda mrefu huku ikiwa na wasomi wanaojua kufanya research za kisiasa uzoefu pamoja na explore.. Ni muda wa kutafakari ni vitu gani tukifanya kwa muda mfupi tunaweza kuwa nchi inayoitwa DEVELOPING COUNRTY kama ilivyo UINGEREZA kwa sababu tunatumia siasa za majadiliano na ushindani wa KISIASA ZA KIBEPARI:

- JAMBO LA KUJIULIZA NI NINI KIFANYIKE?

MFANO TUTUMIE SOMO LA REGRESSION ANALYSIS

DEVELOPING COUNTRY = a + b (upangaji miji/matumizi bora ya ardhi) + g (ajira kwa vijana bila kujali nani mwajiri (serikali/private) + v (kutekeleza miradi ya kipaumbele kwa maeneo tuliyokuwa vizuri) + t (kuondoa aibu kwa kila mtanzania) + c (kudukuwa maisha ya wataafu na kuplant kwa vijana) + d( (siasa za majadiliano/kimyakimya) + y (majadiliano ya conference/kufuatwa kwa mfumo wa mafilifili) + ERROR TERM (U)

UKISHINDWA KUJUA KINACHOTAKIWA TUNATAFSIRI NA KUKUWEKA KWENYE GROUP LA ERROR (HELA) NA AWAMU ZA URAIS (TERM)

KWA HALI HII N IBORA TUNGEANZISHA WAKALA WA WASIO NA AJIRA TANZANIA
https://www.ajira.go.tz/wp-content/uploads/2019/07/TANGAZO-LA-KUITWA-KWENYE-USAILI-EGA-04.07.2019.pdf
 
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
5,323
Points
2,000
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
5,323 2,000
Hoja nzuri ila
1. Kusanya takwimu za changemoto
2. Zichambue kiteknologia tofauti na kisiasa
3. Pendekeza namna ya kuzikabili
4. Andaa mikakati na mpango kazi
5. Hakikisha una rasilimali watu sahihi na mitaji ya kutosha.
6. Weka mfumo wa uangalizi, usimamizi na udhibiti
Awamu zote za chama dola hadi sasa hazina maono zina ndoto za alinacha na ukereketwa wa siasa kwa gharama ya maendeleo ya nchi.
 
A

Allineando

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
1,908
Points
2,000
A

Allineando

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
1,908 2,000

Tuache bana huyu kesha tuingiza shimoni and no Way out tunaomba mungu Tu hata kesho atoke madarakani its enough
 
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
we chizi kweli nchi iongozwe na juha iwe developed country acha miezi miwili miaka mia chini ya ccm hatufiki popote .
SOMO LA HELA UNAHITAJI SIO SIASA ZA VYAMA PEKE YAKE INAWEZA KUTUVUSHA KWENYE NCHI HII MATHALANI GODBLESS LEMA KAJENGA VIWANDA VINGAPI AU KAZI YAO KUTUGAWA?
 
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
Hoja nzuri ila
1. Kusanya takwimu za changemoto
2. Zichambue kiteknologia tofauti na kisiasa
3. Pendekeza namna ya kuzikabili
4. Andaa mikakati na mpango kazi
5. Hakikisha una rasilimali watu sahihi na mitaji ya kutosha.
6. Weka mfumo wa uangalizi, usimamizi na udhibiti
Awamu zote za chama dola hadi sasa hazina maono zina ndoto za alinacha na ukereketwa wa siasa kwa gharama ya maendeleo ya nchi.
HOJA YAKO NZURI SANA MKUU KUNA MAISHA HAYAHITAJI SANA UCHAMBUZI WA TAKWIMU ZAIDI YA KUANGALIA UHARISIA WA MAMBO ( TAKWIMU TUTACHAKACHUA) TUTATUMIA TECHNOLOGIA YA EXCEL, STATA KWA AJILI YA KUTAFUTA COEFFICIENTS LAKINI TUJIULIZE MIRADI YETU ITAISHA LINI ILI KILA MTU AINGIE KWENYE MAISHA YA assurance
 
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,170
Points
2,000
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,170 2,000
Kweli serikaliisithubutu kuruhusu Bangi, ina madhara sana
 
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
Hoja nzuri ila
1. Kusanya takwimu za changemoto
2. Zichambue kiteknologia tofauti na kisiasa
3. Pendekeza namna ya kuzikabili
4. Andaa mikakati na mpango kazi
5. Hakikisha una rasilimali watu sahihi na mitaji ya kutosha.
6. Weka mfumo wa uangalizi, usimamizi na udhibiti
Awamu zote za chama dola hadi sasa hazina maono zina ndoto za alinacha na ukereketwa wa siasa kwa gharama ya maendeleo ya nchi.
HOJA YAKO NZURI SANA MKUU KUNA MAISHA HAYAHITAJI SANA UCHAMBUZI WA TAKWIMU ZAIDI YA KUANGALIA UHARISIA WA MAMBO ( TAKWIMU TUTACHAKACHUA) TUTATUMIA TECHNOLOGIA YA EXCEL, STATA KWA AJILI YA KUTAFUTA COEFFICIENTS LAKINI TUJIULIZE MIRADI YETU ITAISHA LINI ILI KILA MTU AINGIE KWENYE MAISHA YA assurance
 
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
HATA BARABARA TUNAJICHOSHA WA SABABU HATUJUI FURSA ZA AJIRA ZA STORY ZINAZOTOA FURSA ZA ASSURANCE

U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
HATA BARABARA TUNAJICHOSHA WA SABABU HATUJUI FURSA ZA AJIRA ZA STORY ZINAZOTOA FURSA ZA ASSURANCE NA KUACHANA NA TABIA YA KUJENGA MOROGORO ROAD PEKEE KILA MWAKA

Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,619
Points
2,000
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,619 2,000
!
!
Sisia Ni Developed Bwana. Tunatengeneza Hadi Mbuga Artificial Bwana Kama Mamtoni Tu
 
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
23
Points
45
U

UYOGAUYOGA

Member
Joined Jul 4, 2019
23 45
LEO TUTAFANYA REGRESSION YA MAISHA YA WATAAFU ILI YALITHIWE NA VIJANA:::::::

MAISHA YA VIJANA === a + b (MAISHA MAZURI KUSHINDA JK/MKAPA/MWINYI/NYERERE) + c (MAGARI MAZURI KUSHINDA JK/MKAPA/MWINYI/NYERERE) + d (NYUMBA NZURI KUSHINDA MSUYA/SUMAYE/PINDA/MALESELA) + f (UWEKEZAJI MZURI KUSHINDA MAKAMADA WAKUU WA POLISI) + ERROR TERM

LABDA KAMA TUNAZANI VIJANA WANAISHI KAMA WAKO MBIGUNI

DUMMY VARIABLE ZITATUMIKA (1 NA 0)
 
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Messages
5,323
Points
2,000
MAGALEMWA

MAGALEMWA

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2015
5,323 2,000
HOJA YAKO NZURI SANA MKUU KUNA MAISHA HAYAHITAJI SANA UCHAMBUZI WA TAKWIMU ZAIDI YA KUANGALIA UHARISIA WA MAMBO ( TAKWIMU TUTACHAKACHUA) TUTATUMIA TECHNOLOGIA YA EXCEL, STATA KWA AJILI YA KUTAFUTA COEFFICIENTS LAKINI TUJIULIZE MIRADI YETU ITAISHA LINI ILI KILA MTU AINGIE KWENYE MAISHA YA assurance
Dunia iliyoendelea imeendelea kwa kufuata kanuni za maendeleo ya kisayansi na teknolojia.
1. Bila kuzitambua changamoto hutapata majibu ya wapi unakwama.
2. Hoja ya maisha ndiyo maono sahihi ya mikakati na mipango kazi. Si muonekano wa mabarabara kwa ajili ya wenye nagari.
3. Tumetafsiri elimu kuwa ni vyeti badala ya kuwezesha kukabili changamoto za maisha na kujipatia maendeleo.

Tusishangae kukutwa pale pale tulipoachwa wakati wenzetu wakirudi kujichotea rasilimali zetu.
 
Forum statistics

Threads 1,316,456
Members 505,652
Posts 31,891,034
Top