Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Fyatu!? Ila siyo kama JK๐Ÿ˜œ!
 
Fyatu!? Ila siyo kama JK๐Ÿ˜œ!
 

Kwamba:

"Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo)."

Hee! Ulimaanisha mwenye faili Mirembe kama Jobo?!

No wonder tulifika tulipofikishwa!
 
Duh miaka mitano tu watu wanalia...
Pata picha tungefanikiwa kumwezesha miaka 15....Tungekuwa tumenyooka kama mstari wa ruler....

Kwa tulivyokuwa tumelegea nadhani tumepata sindano za moto za kutosha tuharibu wenyewe sasa....Yohana alishatengeneza njia nyikani acha wapakwa mafuta waje kutupeleka Caanan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hebu peleka ujinga huko. Tulishakuwa na "rais" fyatu na matokeo yake tumeyaona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ