Tanzania ina vita baridi wapenda demokrasia vs wana mtandao wa CCM

Tanzania ina vita baridi wapenda demokrasia vs wana mtandao wa CCM

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Wakati nchi nyingine wananchi wanapigania uchumi Tanzania tumeingia kwenye janga la kupigania HAKI . Wapigania haki wamepata nguvu sana na haitaisha wanapigana na machawa na wana mitandao ambao wanataka rasilimali za nchi.

Raisi Samia , Kikwete na genge la machawa wa CCM lipo upande huo. Upande mwingine ni wapenda haki kote Duniani na hawatasimama maana ni muda tu Haki lazima ishide maana vijana wengi 70% wanataka haki na wamechoka kudanganywa
 
IMG_20251203_181938.jpg



IMG_20251203_171509.jpg
 
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_082736_0000.png
Mzalendo wa kweli hutanguliza maendeleo ya taifa kuliko hisia, chuki au ubinafsi, na hata anapokuwa na tofauti za kisiasa, kikabila au binafsi, hatumii mianya hiyo kuharibu au kuchelewesha ustawi wa nchi. Badala yake, hutafuta suluhu, ushirikiano na njia za kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya wote. Ni mtu anayekataa kushiriki vitendo vinavyozorotesha taifa kama ubaguzi, uchochezi au uvunjifu wa amani, bali hupigania haki kwa njia halali, za amani na zenye kujenga. Kwa mtazamo wake, maslahi ya nchi huja kwanza, na tofauti za watu huchukuliwa kama changamoto zinazoweza kushughulikiwa bila kuhatarisha umoja na maendeleo ya taifa. #KAZINAUTUTUNASONGAMBELE #TANZANIA #UZALENDO
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_174536_0000.png
 
Back
Top Bottom