senkombati
Member
- Oct 29, 2012
- 57
- 23
![]()
![]()
Tanzania haikutikisika na kauli ya waasi wa kutaka jeshi letu lisiende huko.
Mkuu,
Hawa si askari wa JWTZ bali ni Nyamilenge wa M23...:mvutaji:
Mkuu senkombati heshima mbele. Ili kulinda heshima ya JF Naomba niweke mambo kadhaa sawa kutoka kwenye hiyo picha ya Sabahionline![]()
![]()
Tanzania haikutikisika na kauli ya waasi wa kutaka jeshi letu lisiende huko.
Sio shamba boots tu ndo zinafika magotini.... Ivonya-Ngia au nifahamishe vipi ulijua kama ni shamba boots.