Tanzania ilishika nafasi ya Tano kwa waathrika wa UKIMWI duniani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ilishika nafasi ya Tano kwa waathrika wa UKIMWI duniani.

Discussion in 'JF Doctor' started by Leornado, Dec 3, 2010.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  vise versa kivipi, au kuwa kwenye kumi bora ktk magonjwa unaona ni mafanikio?
   
 3. L

  Leornado JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Vise versa kwa maana ya kwamba, tulitakiwa kuwa kwenye kumi bora kwenye uchumi na sio kwenye magonjwa sugu.
  Nimejisikia vibaya saana kuona nchi yangu ipo juu kwa waathirika. We have to educate others and ourselves.
   
 4. M

  Matarese JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Inawezekana kabisa kaka Tz tukawa tumelaaniwa kwani wote kizazi hiki cha cha Tz tuna tatizo moja kubwa "UBINAFSI ULIOKITHIRI".
  watu wanaenda sana makanisani, wanaenda sana misitinini, kwenye matemple ila kila tunachofanya ni sifuri sio kwenye elimu, siasa, uchumi, michezo hakuna tulipofanikiwa kwani tunamwabudu Mungu mdomoni tu ila mioyo yetu imejaa unafiki na ubinafsi uliokithiri!
  Kila anayepata nafasi anafikiria yeye na familia yake tu!
  Hivi wewe uliyepewa madaraka unaruhusu vipi madawa yaliyoisha muda wake yaingie nchini na yatumike, vyakula vibovu viingie nchini na vitumike, mafuta vituoni yanachakachuliwa, madawa ya hospitali unayauza kwa wenye pesa etc na hawa wengi ni washika dini kweli kweli, huyo Mungu tunayemwabudu ni Mungu gani? Tusipoacha UBINAFSI ULIOKITHIRI, Tz hakuna sehemu hata moja tutakayofanikiwa.
   
Loading...