Tanzania Iko Mashakani


Msome Al Alama Mohamed Said :


Soma zaidi: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-nyerere-katuachia-tanzania-yenye-amani.html
 

nimesoma...context ya mwandishi ,anatuaminisha kwamba ''Only Muslims are the oppressed, and Christians are the oppressors''..
 
nimesoma...context ya mwandishi ,anatuaminisha kwamba ''Only Muslims are the oppressed, and Christians are the oppressors''..

Haya mambo si ya kufungiwa macho, "usipoziba ufa utajenga ukuta".
 
nimesoma...context ya mwandishi ,anatuaminisha kwamba ''Only Muslims are the oppressed, and Christians are the oppressors''..

And this is the biggest problem to the so called oppressed. Hivi kweli watu tuko busy tunaangalia namna ya kuhudumia familia zetu mtu anatuletea hizi diversionary excuses? Hivi wewe ukiamini sijui dini, machungwa, maembe, mbuzi..kama imani yako..mimi inanihusu nini? Does it bring food on the table????? oOfcourse not!!!!

Guys lets focus kwa yale yanayotuunganisha kama taifa..hizi habari za dini waachie wanadini wenyewe...

Tunasema...hatudanganyiki tena..hao the so called wasomi akina Mohamed Said...what we need from you mtumie elimu yenu mtusaidie tupambane na umasikini na shida zetu za kila siku..hizi nyimbo..za sijui Nyerere did this and that...dont wash! It is more than 15 years tangu Nyerere ameitwa na Muumba wake..mtoto aliyezaliwa mwaka 1999 kama alipata opportunities..anajiandaa kuingia University..na bado leo tuna watu wanaoitwa wasomi..wanamlaumu mzee aliyestaafu kazi almost three decades ago! Elimu nyingine.....they leave many questions than answers! Spare us this poor thinking!
 
"Wazee Wa LAWAMA"Dunia nzima inawajua "Reciprocated and brainless MUDY Followers"Dunia nzima hakuna kama ninyi.KUDOS

Kwa hayo uliyoyaandika tukuiteje? mdini? au kwako hilo hali qualify tukutafutie lingine?
 

Mara nyingi wanaolia kuwa ni victims wa ubaguzi ndio wabaguzi wakubwa...
Wewe unasema comments humu JF akati am sure reference yako ni jukwaa la siasa...
Ume assume kila mtu humu ana interest na siasa...

Ungechukulia hizo comments kisiasa kama jukwaa lenyewe ungeona kuwa hakuna anachofanya Kikwete kikasifiwa na wapinzani...
Na mpinzani ni wana siasa awe ...
Na mwanasiasa awe CCM au CHADEMA ni mule mule...kutumia karata yoyote ku win public support...

Kwa heri maana nimeshakuona wewe ni mdini namba moja...
 
Nime msoma mwanazuoni Mohamed Said.

Kuwa Prof Kighoma au Prof Kikwete ndio walikuwa na nafasi kubwa ya kumridhi Alhaji Mwinyi 1995.

Bali mfumo Kristo ukiongozwa na Nyerere chini ya uratibu wa Gama ukawa kwamisha na ilibidi wakati flani huko nyuma Gama amuombe msamaha prof Kikwete kwa alivyo mfanyia.

Kwa maneno mengine mfumo Kristo uliinyima nchi hii na wananchi wake fursa ya uongozi ulitukuka wa mh Prof Kikwete 1995 mpaka 2005 tena baada ya kazi ngumu kufanyika. Hebu jaribu kufikiri maendeleo haya makubwa yangepatikana kuanzia 1995 nchi leo ingekuwa katika hatua gani?

Lakini kama kulikuwa na tatizo kubwa hivi la mfumo Kristo nini kimefanyika au kinaendelea kufanyika kuhakikisha tatizo hili haliendelei? Je katiba pendekezwa na iliyokuwa rasimu ya pili vililifanyia kazi hili tatizo na limepatiwa ufumbuzi?

Vita hii ya kuuondoa mfumo Kristo inaendelea vipi na imefikia wapi kimafanikio mpaka sasa? Je vita hii inapigwa wazi au kwa usiri? Je Wananchi wote wamejulishwa ya kuwa hapo nyuma nchi yetu ilikuwa na viongozi wenye mitazamo ya udini na waliongoza taifa hili kwa manufaa ya watu wa/na dini yao?

Wananchi wameambiwa lolote juu ya kinacho fanyika sasa au hatua zinazo chukuliwa sasa (kama zipo) kukomesha tatizo hili ili lisijirudie huko mbeleni? Au hatua ni hizi za kwa kuwa ppf ni ya mfumo Kristo basi nssf iwe ya mfumo uislamu?
 
Bibie FaizaFoxy kwanza tukubaliane hili tatizo lipo siku nyingi sana sema halikupata washabiki wa kutosha kama ilivyo sasa.Nani wa kulaumiwa ?.

Kwanza ni watawala wetu CCM ambao ndio wamekuwa vinara wa kuvibambikia vyama vya upinzani udini ili kujinufisha kisiasa matokea yake ndio haya sasa wananchi wameyashikia bango.
 
Last edited by a moderator:
Yeyote yule anayeshabikia dini fulani au kujifanya mkereketwa wa kuziponda imani nyingine yamkini atakuwa ni mwendawazimu.
Hakuna mantiki yoyote ya kushabikia au kulazimisha watu wajione eti wako mashakani kwa ajili ya tofauti ya mapokeo/kuabudu.
Ukweli utasemwa tena sana,lakini kwa taarifa zilizopo ni kuwa 80% ya watanzania hawana dini maalum leo wako hapa kesho wako kule iwe kwa ndoa au matambiko.
 
Nini kifanyike kwa mtazamo wako?

Tusifiche vichwa vyetu wakati mwili mzima uko wazi tukidhani kuwa tuko salama. Tufichuwe sura zetu na tulitazame kwa undani hili tatizo tutapata ufumbuzi.


To date the government still buries its head in the sand like the proverbial ostrich scared to admit that we have a real problem. Year after year the country is gradually slipping, polarising itself into two contending forces...

Muslims bracing up for second liberation and Christians standing up against Muslims not willing to let go the privileges they enjoy...only time will tell. The clock has gone full circle.

During the struggle for independence in 1950s the banner was in the hands of the like of Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Mohamed Ramia, Mshume Kiyate, Mwinjuma Mwinyikambi and the sophisticated young men of the times, Abdulwahid and Ally Sykes, Zuberi Mtemvu, Hamza Mwapachu, Dossa Aziz and others, it were the British against Muslims majority in TANU...now the banner is in the hands of very young Muslims with no party affiliation, not in turbans and kanzu but in jeans, sneakers and t shirts...what is this? Have we failed to see the writing on the wall? Are we this blind?

Source: https://www.jamiiforums.com/dini-im...a-always-kibaraka-the-case-of-pro-malima.html
 

Naona hauelewi kuwa ndani ya CCM kwenyewe tena wakati wa Nyerere tatizo lilikuwepo na lilijitokeza, jisomee:


Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-nyerere-katuachia-tanzania-yenye-amani.html
 

Tuwekee hizo taarifa. Au zipo kichwani mwako tu?
 
Hawa wasomi wa kiislamu wenye misimamo mikali na akili za kipuuzi nawafananisha na imani za askari wa ISIS wanaoewa msaada na Israel ili wawachinje waislamu wenzao na kuwabaka wanawake
 

Hili la wakati wa Nyerere:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-nyerere-katuachia-tanzania-yenye-amani.html
 
Upumb.avu na ukihiyo wa mwandishi kwa makusudi kabisa anaudanganya umma kuwa mkapa ni mkatoliki.. Mkapa ni muanglicana anglican na catholic ni makanisa mawili tofauti kabisa .. Ila uppumbavu na uelewa mdogo wa mwandiahi analea stori zake za kahawa na fitna za zinazotumika kuwadanganya mamluki wa kiislam nchini.. Namnukuu""Hii ndiyo hali ilikuwapo wakati Kikwete na Mkapa wanaelekea Dodoma kwenye mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM itakaochagua mgombea wa CCM. Hapa Khalfan Mrisho Kikwete, Muislam alikuwa anakwenda kupambana na Benjamin William Mkapa Mkatoliki mfuasi wa kanisa lenye nguvu kupita kiasi Tanzania... ""
Teh teh.. Hivi huyu mwandishi wenu ana nia njema na Tanzania? Kwanza ni mwongo mfitna na mdini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…