Naam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.

Yale yale sasa unayafanya
swali je hizi issue za udini zipo au hazipo?
The Boss we sio mgeni na faiza, anachokitafuta hapa kama umemsoma vizuri kwenye post ya kwanza ni kuchokonoa hisia za udini ambazo wiki hii zimelala, Faiza hana nia njema ya kukemea udini. Hapa anaamsha mashetani ambayo wiki hii yamelala ili yaje kumsapoti wafunge wiki vizuri.
Ili tuondoe udini lazima tupingane na mada za aina hii we soma kauli yake hii
Halafu kauli yake ya mwisho anasema, Aje mmoja kupinga hilo. hapo anawaimpress watu wamsapoti kuwa waislamu ni wadini ili waje watata waseme wakristo ni mashoga wengine waje wajibu, waislamu magaidi, hizo zote ashki zinamsumbua huyu dada
Kwa observations zako wewe on the ground, hizi ishu za udini zipo au hazipo?
Manake huku kwenye cyberworld tayari tunajua udini upo [pengine uwepo wake unarahisishwa na hali ya kuweza kuhifadhi usiri wa utambulisho wa mtu].
Sasa huko kitaani nako mambo ni kama huku au....?
Naam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
Naam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
Pretty kuna watu wanataka kulikuza hili tatizo na kulifanya kubwa kuliko inavyostahili. Hawa MACCM ndio walilikuza hili tatizo la udini baada ya kuwaita CUF ni chama cha waislamu na baadaye kuwaita CHADEMA ni chama cha wakristo. Hivyo vyama viwili vya "wakristo na waislamu" hata siku moja MACCM hawakutegemea vije kushirikiana kwa lolote lile, lakini kama tulivyoona vyama hivi vyote viwili si vya kidini na ndio sababu pamoja na NCCR vimeamua kushirikiana kwa karibu mno na kuwa tisho kubwa ka MACCM kuelekea katika uchaguzi wa 2015. Uraiani tatizo hili la udini si kubwa kiasi hicho ila kuna baadhi miongoni mwetu hutaka kulikuza kuliko inavyostahili.
Tumeona hivi karibuni viongozi wa CHADEMA kupokewa kwa shangwe kubwa na umati wa watu kule Zenj na katika mikutano yao walishangiliwa sana na umati kule ambapo 99% ni waislamu.
Pretty kuna watu wanataka kulikuza hili tatizo na kulifanya kubwa kuliko inavyostahili. Hawa MACCM ndio walilikuza hili tatizo la udini baada ya kuwaita CUF ni chama cha waislamu na baadaye kuwaita CHADEMA ni chama cha wakristo. Hivyo vyama viwili vya "wakristo na waislamu" hata siku moja MACCM hawakutegemea vije kushirikiana kwa lolote lile, lakini kama tulivyoona vyama hivi vyote viwili si vya kidini na ndio sababu pamoja na NCCR vimeamua kushirikiana kwa karibu mno na kuwa tisho kubwa ka MACCM kuelekea katika uchaguzi wa 2015. Uraiani tatizo hili la udini si kubwa kiasi hicho ila kuna baadhi miongoni mwetu hutaka kulikuza kuliko inavyostahili.
Tumeona hivi karibuni viongozi wa CHADEMA kupokewa kwa shangwe kubwa na umati wa watu kule Zenj na katika mikutano yao walishangiliwa sana na umati kule ambapo 99% ni waislamu.
The Boss we sio mgeni na faiza, anachokitafuta hapa kama umemsoma vizuri kwenye post ya kwanza ni kuchokonoa hisia za udini ambazo wiki hii zimelala, Faiza hana nia njema ya kukemea udini. Hapa anaamsha mashetani ambayo wiki hii yamelala ili yaje kumsapoti wafunge wiki vizuri.
Ili tuondoe udini lazima tupingane na mada za aina hii we soma kauli yake hii
Halafu kauli yake ya mwisho anasema, Aje mmoja kupinga hilo. hapo anawaimpress watu wamsapoti kuwa waislamu ni wadini ili waje watata waseme wakristo ni mashoga wengine waje wajibu, waislamu magaidi, hizo zote ashki zinamsumbua huyu dada
Naam, Tanzania iko mashakani.
Kwa nini?
Ni ukweli usiopingika, leo hii Tanzania tuko mashakani kama nchi.
Ukweli usemwe na ubaki kuwa ukweli.
Tanzania tuko mashakani kwa sababu moja tu. Udini.
Nini maana ya "udini", jibu ni sahali sana. Kwa hakika hakuna zaidi, hakuna asiye Muislaam ambae ni mdini. Udini ni Uislam na Wadini ni Waislaam.
Aje mmoja kupinga hilo.
Mengi tutayaongea wakati mjadala unaendelea na yatabainika.
Mkuu hapo ndio kazi ya kutofautisha inakuwa ngumu...je huyu anayetamka haya maneno yaliyojaa chuki alienda hija au alienda religious tour? Je, alipotamka haya alikuwa ana udhu au hakuwa nao? Kwani Mkuu OLESAIDIMU Waislamu ambao hawajaenda hija na wasio na udhu ndio ambao wamepewa ruhusa ya kutamka maneno yaliyojaa chuki kama kuwaita wa dini nyingine makafiri na kufanya matendo mengine ya kinyama dhidi ya wale wa dini nyingine!?
Dunia kama sayari au dunia hii socially constructed???!!!"Wazee Wa LAWAMA"Dunia nzima inawajua "Reciprocated and brainless MUDY Followers"Dunia nzima hakuna kama ninyi.KUDOS
Nyani Ngabu Udini uliopo tanzania unajaribu kuingizwa kwa majaribio kwa masilahi ya kisiasa, Hapa kwetu udini ni agenda ya kisiasa ambayo imefeli.
Udini kama agenda ya kiimani ni ujinga wa watanzania wachache wanaobadili mitizamo ya imani zao kwa kutizama mienendo ya kidini ya mataifa mengine.
Mfano: Mtanzania mkristo kuukashfu uislamu kwasababu ya Boko haram, au muislamu kumkashfu mkristo kwasababu ya ushoga, huu wote ni upumbavu.
Tanzania tumekuwa na ukristo na uislamu safi miaka yote bila ushoga wala ugaidi, sasa anaeona uislamu wa Bokoharam au ukristo wa Vatkan ndio sahihi aende huko wasitake kutuharibia Taifa letu kwa dini za Kisiasa.
cc: FaizaFoxy
Hivi ni kweli tunataka kuendekeza udini ili tusahau mshikamano wetu kama watanzania.
Kumbukeni silaha ya mnyonge ni umoja(Mwl. Nyerere). Umoja wetu unatakiwa sana ili tupigane bega kwa bega dhidi ya haya matatizo makubwa yanayoikumba nchi yetu kama ufisadi.
Tukianza kua na matabaka mara ooh yule ni muislam ameteuliwa wakiristo wameachwa, au yule mkiristo kwanini amepata?
Sioni kama ni sahihi kuwaza udini maana namna unavyompa cheo shetani ndivyo unavyozidi kumpa nafasi ya kutawala.
Wengine mnaweza kuniona mimi nimepitwa na wakati(outdated) ila kiukweli dini hua hainisumbui kabisaa wala hua sihitaji kujua dini ya mtu wala kuchagua rafiki wa dini flani.
Kama watu watapoteza mshikamano kwa kujadili udini miaka michache ijayo Tanzania itakua imechakaa kama Somalia ilivyokua imechakaa miaka mitatu nyuma.
Hmmmmmmm! kuna ufisadi wa kutisha pia, kuna uking'ang'anizi wa kubaki mdarakani kwa kutumia mabavu, kuna ombwe kubwa la uongozi nchini kwa miaka mingi sasa. Kuna katiba ambayo ni ya chama kimoja na hivyo kusababisha chaguzi zetu kutokuwa huru na za haki, kuna kuanguka kwa elimu yetu nchini kwa kiwango cha kutisha, kuna wizi wa kutisha wa rasilimali za Watanzania unaofanywa na wageni wakishirikiana na wale waliopewa dhamana na Watanzania ya kusimamia maslahi ya nchi n.k. yote haya yanawaweka Watanzania katika hali ya mashaka makubwa sana.