Kama hakuna chapati.
Kwaheri
Upate chapati na kiporo cha ndondo nazi...
Au chapati mtori na pepsi baridii.
Dah...umenikumbusha kuna chobingo moja Posta Mpya...
Ndio ilikuwa staftahi yangu hii daily...
Chapati Chapati jamani nimezimiss mbayaaa!!Ulete pia maharage na pepsi baridii
Chapati Chapati jamani nimezimiss mbayaaa!!
labda ujipikie mwenyewe na ukipika unga sijui ukoje zinatoka kama biscuti!Huko ulipo hazipo?