Tanzania has most trade barriers in EAC- report!!!

Yaani unafananisha idadi ya vituo vya ukaguzi/vizuizi/mizani vilivyoko katika nchi ya Rwanda/uganda na idadi iliyipo Tanzania?!
 
Mzalendo452,

..labda tukubaliane tu kwamba polisi wa TZ pamoja na KY wananyanyasa wananchi.

..majuzi kulikuwa na malalamiko ya wafanyabiashara wa TZ kwamba wanasumbuliwa wanapofika KY, including kunyanganywa mali zao.

..Min incharge of East Africa amependekeza kufunguliwa kwa masoko na vituo vya biashara upande wa TZ ili wafanyabiashara toka KY wafate bidhaa TZ.

..kwa upande wa barabara nadhani[if i am not mistaken] East Africa nzima ina standard moja kuhusu kiwango cha uzito[axle load limit] wa magari ya mizigo. I read somewhere kwamba Kenya ndiyo iliyokuwa na kiwango cha chini kabisa 48MT, wakati Tanzania,Uganda,na Rwanda, wakiwa na axle load kubwa zaidi. sasa baada ya hapo nchi za EA zimeamua ku-harmonize axle load limit.

..sidhani kama tunatakiwa turuhusu watu wa-exceed axle load limit. tukifanya hivyo itakuwa ni hasara[road repairs] tupu and bad for everybody in the long run.

..tatizo lingine ni unemployment numbers r very high in Tanzania. zinapokuja kampuni za nje wananchi wanategemea watapata kazi huko. sasa kama kampuni za Kenya, for whatever reasons, zitaendelea ku-reject applicants toka Tanzania basi wananchi wataendelea kulalamika.

..mimi sina tatizo na highly experienced and specialized Kenyans kuja kufanya kazi Tanzania, lakini kuna kazi nyingine kwa kweli ni lazima, lazima, zishikwe na wa-Tanzania.

..WAKENYA waje wafungue makampuni huku kwetu na kujipatia FAIDA, lakini na watoto wetu wa KITANZANIA nao wapate kuajiriwa huko na kujipatia KIPATO na UJUZI. Hiyo ndiyo East African community ambayo ningependa kuiona. Badala ya kuwa negative with one another, hebu tuangalie how we can get there.

NB:

..is it about time we harmonize the educational system in East Africa?? Kwangu mimi naona project kama hiyo ni more meaningful kuliko the discussions about a monetary union. East Africa should not just be about exchanging goods, but also "trading" knowledge and expertise.

..what is Tanzania doing to transform herself frm being the biggest producer of raw materials, to being the manufacturing base of East Africa??

..Is Kenya looking at that as a threat or an opportunity? In that transformation, is Tanzania viewing Kenya as an adversary or a partner?

Kenya hatuoni Tanzania na rasilimali zake kama a threat or an adversary. Kweli ni kwamba, Tunatarajia Serikali iliyoko sasa iweze kuruhusu biashara ifanywe na hizi rasilimali huku ikiregulate matumizi yake na walio na access ya hizi rasilimali. Kwa hivyo hii tena ni hofu inadhihirika wazi, na kawaida hapo ndipo serikali yapaswa kuingilia kati, kwanza, kuhakikisha wanaofanya kazi au wawekezaji kutoka nje wanacomply na rules. Lakini wanaofanya biashara ya usafirishaji kama vile transporters na tour operators wanaotumia mpaka mara kwa mara ndio wanalalamika.

Tena inahitajika iwe sera kuwa wanaoandikwa makazi asilimia kubwa wawe ni wenyeji. Lakini Swala la unemployment ni kubwa sana tanzania ambapo hii sio changamoto kumalizwa na wakenya kusajilisha watz kwenye makazi. Serikali ina jukumu kuhakikisha infanya mipango yote kuincrease job prospects. Kuhusu system ya elimu, Tanzania ndio iko na kibarua kigumu kubadili mfumo wake wa elimu kukomply kulingana na standards za kimataifa.
 
Nakubaliana na wewe kuhusu direction ya debate, lakini ukisoma kuanzia mwanzo utaona jinsi hii debate ilivyoanza. Mambo ya kuheshimiana yamekuja mbeleni sana, it took almost 3 days to get this debate into what it is now. And so for Mzalendo, Moyo na Liver (to some extent) ndio wanaonekana ku-tone down. Na hata moyo kwenye post yake NO 110 anaonekana ku-suggest kwamba ni watanzania wachache tu ndio warevu and worse hao werevu wachache hawataki kuwaongoza wenzio!

Bila kupaza sauti naomba tu niseme, watanzania (kwa mamilioni) tunajua matatizo yetu na tunajua dawa (solutions) ya hayo matatizo. Na solutions hizo haziko Kenya, wala Uganda, au Burundi. Solutions zimo humu humu ndani ya mipaka ya Tanzania. Ndio maana EAC sio no 1 kwenye agenda ya watanzania kwa sababu sio solutions, walau kwa sasa.

Kwa akili ya kawaida huwezi kuacha milango na madirisha wazi kwenye sehemu yenye mbu (mosquitos) kwa sababu tu unataka kupata hewa nzuri! Kufanya hivyo, ni kweli unaweza kupata upepo mwanana lakini kwa hakika mbu na wadudu wa kila aina wanaweza kupiga kambi ndani ya nyumba. Kumbe kwa usalama ulitakiwa uweke nyaya madirishani, na kutumia chandarua (mosquito net) ili kupunguza uwezekano wa kupatwa na malaria.

Umaskini tunaopigiwa kelele na wakenya hapa jamvini haukusabibishwa na biashara hafifu na nchi jirani i.e. Kenya, Uganda etc. Na hakuna mtu anaweza kusema categorically Kenya inaweza kugeuza Tanzania na kuifanya ikawa 'developed nation' Hakuna. Ingekuwa ni kweli kama Kenya yenyewe inangekuwa nayo ni developed nation. Lakini kwa kushirikiana nchi hizi mbili zinaweza kupiga hatua kuelekea huko kwenye developed nationa. But you can not do that when your fundamentals are upside down.Tanzania tuko kwenye mchakato wa kusafisha/kujenga nyumba itayotuweka salama. Hata Kenya watafaidi kwenda kwa jirani ambaye na mazingira mazuri bila ya hofu ya kung'atwa na mbu usiku.

Tukielewana kwenye mambo ya msingi naamini tutaweza kushikiriana kwa karibu zaidi. Lakini gia ya 'kusaidia maskini' is not the way to go.

@ FJM

mfano tunawatu kama wacha hapa, sasa itakuwaje unalalamika kuhusu arrogance ya wakenya ilhali muna watu wapumbavu kama wacha wasioweza kuleta hoja kamili bila kutumia lugha vibaya. post zake nyingi zina lugha ya kule mtaani na hata hakuna cha kuridhisha kutokana na posts zake.

Niruhusu niseme hatuleti kigeni bali ni vizingiti viondelewe. umaskini itatolewa na viongozi wenu muliwachagua ambao wana resolve ya kubadilisha nchi na hali yake iwe ni kiuchumi au kisiasa. Tuanaloomba ni fairness katika kuruhusu biashara istawi bila kujali ni nani anaendesha biashara hiyo.
 
Mzalendo452 said:

..kuepuka huo usumbufu bora mkawa-encourage hao tour operators wa Kenya waje wafungue ofisi ndani ya Tanzania, na pia watangaze attractions za Tanzania.

..mimi nadhani a forward looking Kenyan tour operator lazima afungue ofisi huku Tanzania taking into consideration kwamba Tanzania has more tourist attraction as compared to Kenya.

..achana na hizo mbuga zilizoko mpakani na Kenya au zilizoko Arusha, kuna maeneo ya Southern and Western Tanzania ambayo hayajatangazwa vizuri.
 
@Mzalendo, liverfire, Moyo, nakutakieni kheri ya pasaka. And in the spirit of our twisted EAC napata Tusker moja baridi na nyie huko pateni Safari lager!
😛eace:
 
likewise from TEAM KENYA. Happy Easter to you and your comrades
 
  • Thanks
Reactions: FJM
@Mzalendo, liverfire, Moyo, nakutakieni kheri ya pasaka. And in the spirit of our twisted EAC napata Tusker moja baridi na nyie huko pateni Safari lager!
😛eace:

Hata wewe watakiwa pasaka njema yenye kheri
 
Mzalendo452,

..
kuepuka huo usumbufu bora mkawa-encourage hao tour operators wa Kenya waje wafungue ofisi ndani ya Tanzania, na pia watangaze attractions za Tanzania.

..mimi nadhani a forward looking Kenyan tour operator lazima afungue ofisi huku Tanzania taking into consideration kwamba Tanzania has more tourist attraction as compared to Kenya.

..achana na hizo mbuga zilizoko mpakani na Kenya au zilizoko Arusha, kuna maeneo ya Southern and Western Tanzania ambayo hayajatangazwa vizuri.

@ jokakuu

.....................Kwanza, kwenye purple ni wazo zuri lakini yawezekana hizi shida zilianza na zimekaa muda mrefu. Lakini ingekuwa bora kama hardworking tanzanians wange anza hii shughuli. Kuna sababu na sisitiza hivi. Nina hakika kuna watanzania wenye ruwaza kama hii, La sivyo kama utawala ni wasumbufu kwa tour operators kutoka tanzania, itawezekanaaje tour operators wageni??
 
there is little objectivity in your reply, moreso you thrive in hate and namecalling than pertinent parameters in this case EAC discussions. Engage in meaningful debate plus some of us came to know of such a forum from not so popular sources, dont feel all bubbly....think outside the scope for a moment and have in mind its a platform to exchange ideas. mzalendo argues with a considerably fair tone, possibly one of the few Kenyans with the shocks to take your aggression and still give factual and balanced replies. #the name calling is unwarranted, there is alot about Tz we dont speak, not that we cant but we confine ourselve to the voice of reason. Have checks and balances to your adrenalin rush.

@Livefire,

Do not be shocked with such guys, I have experienced more of such here at JF with such acrimonious zeal, normally you will find these guys with such rancorous language, appear at the last sections of a thread. Mostly, I have reason to believe they are sent or have multiple aliases in this forum. You will get used to them with time. The facts that the Mods do not warn them, makes me believe they have a mission.
 
Ninamuinulia mkono bwana Aidan Eyakuze na wengine kama yeye kwa kuwa wanachampion kuboresha sekta ya uchumi na biashara. I hope hatakutana na vizingiti anapojaribu kutekeleza a smooth transition from a bureaucartic process to harmonized processes. Tayari inasemekana wale wanaoumia zaidi ni Uganda, Rwanda, na Burundi with such bottlenecks. nadhani mradi kama huu na MKUKUTA II, ndio zitaiweka tanzania kwenye a prosperous economic path.

MKUU HAPO kwenye bluu. Unaweza kujua sasa suala la MKUKUTAII halipo. Serikali sasa imejikita zaidi kwenye 5Yr development plan. Pengine tuanze kuisoma hiyo na kuielewa ili tujue kupitia 5YR development Plan, ni malengo yapi mapya na yapi ya zamani yataendelezwa. Kwa bahati mbaya vile vinavyoitwa vikwazo vingi vyake hazipo kwenye maandishi. They are mostly non-tariff barriers na gharama yake ni kubwa kuliko hizo tariff barriers. Pia kwa uzoefu wangu mambo binafsi yanatatiza utekelezaji wa sera za kiuchumi kuliko sheria na taratibu zilizoandikwa
 
@Livefire,

Do not be shocked with such guys, I have experienced more of such here at JF with such acrimonious zeal, normally you will find these guys with such rancorous language, appear at the last sections of a thread. Mostly, I have reason to believe they are sent or have multiple aliases in this forum. You will get used to them with time. The facts that the Mods do not warn them, makes me believe they have a mission.

you know the sayn, ''every market has one....'' and definately JF is no exemption. i believe your hypothesis on MODs is spot on and that they are skewed across the board and in a candid partisan manner. lets ''wacha'' the guy to polish up a bit, i bet he will practise self regulation.
 
MKUU HAPO kwenye bluu. Unaweza kujua sasa suala la MKUKUTAII halipo. Serikali sasa imejikita zaidi kwenye 5Yr development plan. Pengine tuanze kuisoma hiyo na kuielewa ili tujue kupitia 5YR development Plan, ni malengo yapi mapya na yapi ya zamani yataendelezwa. Kwa bahati mbaya vile vinavyoitwa vikwazo vingi vyake hazipo kwenye maandishi. They are mostly non-tariff barriers na gharama yake ni kubwa kuliko hizo tariff barriers. Pia kwa uzoefu wangu mambo binafsi yanatatiza utekelezaji wa sera za kiuchumi kuliko sheria na taratibu zilizoandikwa

Si benki ya dunia ilishatoa kiasi cha fedha kuuendeleza mradi wa MKUKUTA 2 hayo na mengine kama tz vision 2025 ndio tunatarajia itainua hadhi ya Tanzania katika kanda ya Afrika maskariki Kiuchumi
 
Mkuu kati ya mambo ambayo yanagomba kwa serikali ya sasa ni kuhusu mkakati upi unaendelezwa. Wakati wafadhiili (ikiwemo WB) wana MoU na serikali kuhusu MKUKUTAII, hiyo 5YR development Plan hakuna formal agreement na government (ninavyojua mimi) na kwa sehemu kuna kigugumizi cha wao (donors) kuanza kufadhili hiyo 5yr development plan wakati hata MKUKUTA II imekula hela nyingi sana hadi kutengenezwa toka MKUKUTAI ambayo imekula nyingi wakati wa review. Bila shaka hapa sirikali inapaswa kuwaambia watz which is which. Kimsingi utafahamu pia kuwa manifesto ya ccem inaongelea targets zilizoko kwenyue MKUKUTA I na jambo hilo linaleta utata kwa wale wanaofatilia umakini wa serikali kuanzisha mikakati na kufikia hatima kabla ya kuja na mikakati mingine. Yetu macho mkuu!

hakuna siri hapa.............Wakenya wanajua fika udhaifu wa serikali yetu........na wanafahamu fika kuwa hakuna fairness ktk biashara kati yetu na wao...........na wanataka kutumia/capitalize mwanya huu ku-gain kupitia rasilimali zetu...........hilo halina ubishi.........

Watanzania tufanye kila linalowezekana ku-protect our rasilimali na uchumi wetu.........
 
Wa-Kenya walivunja jumuiya ya mwanzo...........Watanzania tumesamehe lakini hatutasahau...unyang'au waliotufanyia hawa Wakenya.........
 
Mkuu kati ya mambo ambayo yanagomba kwa serikali ya sasa ni kuhusu mkakati upi unaendelezwa. Wakati wafadhiili (ikiwemo WB) wana MoU na serikali kuhusu MKUKUTAII, hiyo 5YR development Plan hakuna formal agreement na government (ninavyojua mimi) na kwa sehemu kuna kigugumizi cha wao (donors) kuanza kufadhili hiyo 5yr development plan wakati hata MKUKUTA II imekula hela nyingi sana hadi kutengenezwa toka MKUKUTAI ambayo imekula nyingi wakati wa review. Bila shaka hapa sirikali inapaswa kuwaambia watz which is which. Kimsingi utafahamu pia kuwa manifesto ya ccem inaongelea targets zilizoko kwenyue MKUKUTA I na jambo hilo linaleta utata kwa wale wanaofatilia umakini wa serikali kuanzisha mikakati na kufikia hatima kabla ya kuja na mikakati mingine. Yetu macho mkuu!

Mimi huamini kitu kimoja na tena cha principle sana, yakuwa serikali iliyokabidhiwa jukumu mamlakani, inafaa iwe inawajibika/accountable Kwa kila mwananchi. Haya mabanki kama ya dunia na IMF walitaka kufadhili ujenzi wa barabara nchini kenya mwaka 2009(an express highway jijini), na wakaanza siasa za kujaribu kubagua ni makunpuni yapi yatakabithiwa kandarasi za ujenzi, huku ukumbuke wakisitisha kugharamia mradi huo. Sasa ufadhili kama huo kawaida ndio hufanya miradi mingi serikali imepanga kutekeleza zisifaulu. Waafrika lazima tutafute mbinu nyingine ya kupata wafadhili. Tangu mwanzo sikuwahi tarajia mabanki ya nchi za ulaya na magharibi yanaweza leta suluhisho Afrika kuboresha sekta kama za ujenzi ispokuwa ufadhili kupitia NGOs na kununua madawa ya malaria, TB, Ukimwi
 
Mzalendo you are absolutely right. Sina hakika kama umewahi kuchimbua zaidi kuhusu hasa WB. Nilikuwa na rafiki mfanyakazi ambaye yeye alikuwa anasema wao kama wafanyakazi wanakuwa-assessed based on number of deals/contracts/loans zinazotolewa kwa serikali. This is primary thing to them. Suala la makampuni mara nyingi zinakuwa ni pressure from shareholders (nchi wenye hisa) wakubwa. Hao ndo watasema lazima tender/zabuni itangazwe kimataifa...na nyakati nyingine terms of contracts huwa ngumu for local companies to qualify! Lakini wakati huo huo ifahamike kuwa wao mara nyingi japo huongelea good governance & accountability.....binafsi nadhani they are less concerned about how the loan is spent coz at the end of the day the banks get their interests. Hii inaweza kuwa kweli. Kuna hisia kuwa katika miradi ya sasa inayofadhiriwa na WB hapa Tz, mradi wa mbolea ya ruzuku ni mmojawapo ya ile ambayo haijaonesha ufanisi wowote kuongeza tija (productivity) kwenye mazao kama mahindi na Mpunga. Kwa bahati mbaya mradi huo wa ruzuku unafika mwisho na zipo jitihada za WB kuja na mradi mwingine similar na huo. Tujiulize watz tumenufaika nini? Je wajukuu wetu wanakuja kulipia madeni ambayo hayajatumika vizuri ni sahihi?

Sasa turudi kwenye barriers. Kwa sasa ni vema kuchambua umuhimu wa vikwazo vya soko vilivyoko na kujua nani anafaidika na vikwazo hivyo. Leo nilikuwa naongea na mtu kutoka Njombe ambaye anasema wakulima wamevuna sana viazi mviringo. But you know what? Magari (semi-trailers) ndo zimejaza wakenya wamekwenda kununuahadi mashambani. Binafsi sina shida na hilo, tatito langu ni je wanalipa kodi sitahiki? Je wakulima wanajua vipimo sahihi? Na je mtindo huu haudidimizi wajasiriamali waTz wambao wangetaka kuingia kwenye sub-sector hiyo? Kwa hiyo hapo mawazo mengi mkuu LAKINI MUHIMU tujiulize where are our own people (wale wanaingia contracts na banks, wale wanaosimamia sheria, na wale wenye uzalendo)? Ukifikia hapo unagundua, si WB, sio wazungu (ulaya na amerika) sio wakenya watakaoendeleza Tz. Ni sisi wenyewe. Muhimu lazima wanasiasa wetu wafahamu hii. Suala la ku-protect domestic interest -hasa products ambazo zina-account for many people's livelihoods ni la muhimu. Hii ni pamoja na kuwezesha vijana -pasipo kudai chochote ama upendeleo. Nchi nyenye watu tajiri ina-walipa kodi wengi na inahuduma nzuri za jamii endapo rasilimali zinatumika ipasayo na kuna uwazi na uwajibika.

Najiuliza hata mimi kwanini Watanzania wakimbilie kungangania kuvunja barriers za mabanki haya? Wazo la wajukuu wetu kulimbikiziwa deni ambayo watashindwa kuilipa kulingana na mapungufu ya fedha kweli ina uzito na inastahili tutafakari. Ninasikitishwa maana malawi kule rais huyu aliyeteuliwa hivi majuzi, ameweka kama first priority katika ratiba yake kulainisha uhusiano wa nchi yake na hizi banki.
 
Well, the more darling you become to the so called donors, the more you FIX your country and your people. The more you put your economy into jeopardy. The so called ASIAN Tiggers hawakuendelea kwa sababu ya donors!!!!!!!!!!!!! Wameendelea kwa kuwa they got their priority right and zeroed in on their zeal to ensure they pursue it no matter what. Sisi kila mara tunakuja na mpya ndo maana leo tuna 5YR development plan, wakati hata MKUKUTA haijafikia kikomo. But on whose expense? of course kwa gharama ya maendeleo ya watz walio wengi!

Ashante!, The crux of the argument on Asian Tigres especially China is an uplifting story. Waafrika tunafaa tuangalie hii pattern. We normally have very potentially destructive leaders who struggle to bond with the so called western powers. In Africa let us say the percentage of reformers keen to bring change is outweighed by novices who certainly just find themselves katika cirlces za uongozi.
 
Back
Top Bottom