Ng`wanakidiku JF-Expert Member Joined Apr 18, 2009 Posts 1,195 Reaction score 232 Jan 22, 2012 #1 Kila mtu mwizi! Leo nimeenda dukani kununua vi juice vidogo, eti naambiwa 1500, wakati ni 1000, halafu akaja manager naye akakandamiza
Kila mtu mwizi! Leo nimeenda dukani kununua vi juice vidogo, eti naambiwa 1500, wakati ni 1000, halafu akaja manager naye akakandamiza
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Jan 22, 2012 #2 kila duka na bei yake
doctorz JF-Expert Member Joined Aug 10, 2010 Posts 916 Reaction score 230 Jan 22, 2012 #3 Si mnataka Biashara huria.
Ng`wanakidiku JF-Expert Member Joined Apr 18, 2009 Posts 1,195 Reaction score 232 Jan 22, 2012 Thread starter #4 Ni wizi mtupu!!
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,381 Jan 22, 2012 #5 Bongo bana ni shamba la bibi yaani kila mtu ana bei yake
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,745 Jan 23, 2012 #6 Serikali ya mkwe re hiyo.
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jan 23, 2012 #7 Unajua mwenye duka ana chajiwa ushuru asilimia ngapi? Ndg zangu lazima tukubaliane kwamba ili ukombozi wa nchi hii upatikane ni lazima itokee dhiki kuu! And i think what you all see is just the begining, there might be so much more to come!
Unajua mwenye duka ana chajiwa ushuru asilimia ngapi? Ndg zangu lazima tukubaliane kwamba ili ukombozi wa nchi hii upatikane ni lazima itokee dhiki kuu! And i think what you all see is just the begining, there might be so much more to come!