Tanzania hakuna chama cha upinzani, tuna wapiga kelele na wakosoaji

Wewe mbumbumbu wa mambo ya nchi unateseka ukiwa wapi?CHADEMA haijawahi kuchokwa kamwe na Wananchi bali walioichoka ni CCM na mafisadi pia na wale wenye roho za utawala wa kiukoo na kikabila.Mambo ya CHADEMA ni ya Wanachadema na wazalendo wa nchii hii wanaojua maana ya Uhuru wao,Haki na Wajibu wao,Umoja na Mshikamano wa Taifa letu pamoja na thamani ya asili ya kila Mwanadamu.
Uko sahihi japo kuwa yote uliyoyaainisha kwenye aya ya mwisho yapo kwenu kinadharia. Hata Chadema wenyewe hawajui wafanye nini,wameishia kulaumu na kusingizia vyombo vya ulinzi na usalama.

Kama taifa hatuwezi kuwa na upinzani usio na dira na malengo ya kitaifa....upinzani unaochochea wananchi kuichukia serikali yao. Upinzani usio na sera ya kumkomboa mwananchi kiuchumi.
Wapinzani wamegeuka wambea na kudhani mambo ya kitaifa na ya kiusalama wa nchi yaendeshwe kwenye mitandao.

Taifa ni kubwa kuliko chadema. Amani yetu ni muhimu kuliko wapinzani kushika dola. Hakuna cha milele, upinzani wa kweli utatoka ccm.
 
Utoke au usitoke ccm,lakini ni takwa la kikatiba kuwa upinzani ni lazima uwepo.
 
Mpaka sasa hakuna chama mbadala wa CCM, CCM imekita mizizi yake pote hadi vijijini ndani ndani. CCM ina viongozi wengi ambao ni Presidential material.

Hata leo uchaguzi ungefanyika wako wengi wanafaa ndani ya CCM ambao hata hawana majina makubwa wametulia.

Ukija kwa upande wa upinzani hakuna anayefaa kuna wanaharakati tu, ukiwaondoa viongozi wa juu wa vyama vya upinzani hakuna walioandaliwa ndo maana huwa wanachukua viongozi waliokimbia CCM na kuwaweka kwenye uongozi na wengi wao wakijiunga na upinzani hurudi CCM mapema maana hakuna ule mfumo wa watu wa maana,chain ya uongozi wa juu wa vyama vingi vya upinzani ni watu wachache sana ambao ndo wana maamuzi kwenye vyama vyao na ukiangalia hata wenyewe hawafai zaidi ya kulinda maslahi yao binafsi.

CHADEMA ina Mbowe,Lissu, Mnyika ,Lema hao ndo wanaopanga agenda wanaobaki wanasikiliza tu, fikiria chama lote inategemea watu wachache. Ukija kwa ACT - WAZALENDO Zitto Kabwe ndo kila kitu, sasa utashindana vipi na CCM ambao wana viongozi wa chama hadi vijijini,uongozi wa CCM kuanzia wilaya,kanda hadi taifa una watu wa maana kwenye maamuzi, lakini vyama vya upinzani wanaweza kujadili vitu hata wakiwa baa au nyumbani kwa mtu maana hawana mfumo mzuri wa uongozi.

Tuseme ukweli CCM ni chama iliyejenga mfumo mzuri wa kiuongozi na ipo karibu na wananchi siyo vyama vinavyojitokeza wakipata kiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ilishawahi kuwa chama cha upinzani? Wakati wa, Nyerere, alitoa wapi watu wa kumsaidia? Tulikuwa milioni 12 tu, lakini aliweza, Leo tupo milioni 60! Ccm yako inawanachama milioni 8! Harafu unasema nchi/upinzani hauna watu wa kushika madaraka!? Ukimtoa Mkapa(richa ya, kwamba alikuwa jizi,aliiba mgodi wa kiwira, na ikulu ndogo lushoto), kiongozi gani amefanya jambo la upekee zaidi ya wizi, Mkapa, alitengeneza TRA, VAT, tan roads, ila aliiba madini Sana, kikwete akaiba gesi, Shetani Maghu, akakosa cha kuiba, akapora Mali ya watu, na kuiba kwenye miradi,
"A parasite can not live alone" Ccm ni kama kupe kwa nchi, inaishi kwa kunyonya nchi, wanachama milioni 8,wananufaika na rasilimali za watu milioni 60! Watu hawaendi, ccm kwa vile ni chama Bora, Nia ni kuiba, kulinda mali zao haramu.
Kikwete alimngoa meno Dr ulimboka, Mkapa alimfutia uraia,ulimwengu, jiwe akaua watu na kuwa weka kwenye viroba, sasa angslia, juzi tu, Gekul kaingia ccm, na roho ya shetani imemwingia, katesa kijana wa watu, ccm haina tofsuti na KANU, chama cha majizi
 
Sawa lakini sio kwa huu upinzani uliopo. Mnatengeneza vijana machachari lakini wakienda ccm wakapewa fursa wanaboronga sana kuliko hata ccm wenyewe so CHADEMA kwenye uongozi wa nchi hii bado sana.
1. Katambi
2.kitila mkumbo
3. Gekul
4. Covid 19
Na wengine wengi hao wote ni zao la chadema na wana makando kando mengi
 
Ccm ilishawahi kuwa chama cha upinzani? Wakati wa, Nyerere, alitoa wapi watu wa kumsaidia? Tulikuwa milioni 12 tu, lakini aliweza, Leo tupo milioni 60! Ccm yako inawanachama milioni 8! Harafu unasema nchi/upinzani hauna watu wa kushika madaraka!? Ukimtoa Mkapa(richa ya, kwamba alikuwa jizi,aliiba mgodi wa kiwira, na ikulu ndogo lushoto), kiongozi gani amefanya jambo la upekee zaidi ya wizi, Mkapa, alitengeneza TRA, VAT, tan roads, ila aliiba madini Sana, kikwete akaiba gesi, Shetani Maghu, akakosa cha kuiba, akapora Mali ya watu, na kuiba kwenye miradi,
"A parasite can not live alone" Ccm ni kama kupe kwa nchi, inaishi kwa kunyonya nchi, wanachama milioni 8,wananufaika na rasilimali za watu milioni 60! Watu hawaendi, ccm kwa vile ni chama Bora, Nia ni kuiba, kulinda mali zao haramu.
Kikwete alimngoa meno Dr ulimboka, Mkapa alimfutia uraia,ulimwengu, jiwe akaua watu na kuwa weka kwenye viroba, sasa angslia, juzi tu, Gekul kaingia ccm, na roho ya shetani imemwingia, katesa kijana wa watu, ccm haina tofsuti na KANU, chama cha majizi
Haya ndio matokeo mabovu ya siasa za upinzani. Hate speech forever nothing else.
 
Weka ushahidi wa huo wizi
Inasemekana waliojiandikisha kupiga kura ni 29m, sensa ya juzi inasema tuna watu 61m, toka lini walio chini ya miaka 18 wakawa sawa na walio juu ya umri huo? Ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi, ukikuta matokeo ya uchaguzi wa 2020 uje ulete mrejesho.
 
Hizo kelele na ukosoaji ndio upinzani wenyewe na ndio kazi kubwa ya chama Cha upinzani
Mpaka sasa hakuna chama mbadala wa CCM, CCM imekita mizizi yake pote hadi vijijini ndani ndani. CCM ina viongozi wengi ambao ni Presidential material.

Hata leo uchaguzi ungefanyika wako wengi wanafaa ndani ya CCM ambao hata hawana majina makubwa wametulia.

Ukija kwa upande wa upinzani hakuna anayefaa kuna wanaharakati tu, ukiwaondoa viongozi wa juu wa vyama vya upinzani hakuna walioandaliwa ndo maana huwa wanachukua viongozi waliokimbia CCM na kuwaweka kwenye uongozi na wengi wao wakijiunga na upinzani hurudi CCM mapema maana hakuna ule mfumo wa watu wa maana,chain ya uongozi wa juu wa vyama vingi vya upinzani ni watu wachache sana ambao ndo wana maamuzi kwenye vyama vyao na ukiangalia hata wenyewe hawafai zaidi ya kulinda maslahi yao binafsi.

CHADEMA ina Mbowe,Lissu, Mnyika ,Lema hao ndo wanaopanga agenda wanaobaki wanasikiliza tu, fikiria chama lote inategemea watu wachache. Ukija kwa ACT - WAZALENDO Zitto Kabwe ndo kila kitu, sasa utashindana vipi na CCM ambao wana viongozi wa chama hadi vijijini,uongozi wa CCM kuanzia wilaya,kanda hadi taifa una watu wa maana kwenye maamuzi, lakini vyama vya upinzani wanaweza kujadili vitu hata wakiwa baa au nyumbani kwa mtu maana hawana mfumo mzuri wa uongozi.

Tuseme ukweli CCM ni chama iliyejenga mfumo mzuri wa kiuongozi na ipo karibu na wananchi siyo vyama vinavyojitokeza wakipata kiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize mwenyeji wako aliyekuleta nchini.
Na kama wewe mgeni Tz mambo ya siasa ni issue za ndani za watanzania,hope wewe utakuwa Mrundi..
Kwamba kila mtz ana ushahidi wa wizi wa ccm ameuhifadhi?

Siasa za Tanzania hazinifungi kuzijadili, hapa tunajadiliana hatufanyi maamuzi...

Ikifika wakati wa kura hutowaona unaowaita wageni.
 
Hapa unaweza kuweka ushahidi kwamba haiwezekani!

So hawakutakiwa kuwa 29m! ilitakiwa wawe wangapi?

Takwimu sahihi ni ipi kwa mujibu wako?
Narudia tena, hakuna uwezekano wa walio juu ya umri huo kuwa sawa na walio chini ya umri huo. Kama uko kutetea ule uhayawani hiyo ni haki yako.
 
Sahihisha sema Tanzania hatuna chama chochote cha siasa. Tangu 1977 ni dola kupitia mgongo wa Jeshi letu JWTZ ndiyo wanaongoza nchi. CCM ni ka kikundi tu kanatumika kuhalalisha hili

Dola hii mamlaka yake 70% yapo Jeshini. JWTZ.

Ref: What happenned baada tu ya Jiwe kuondoka.
 
Kwamba kila mtz ana ushahidi wa wizi wa ccm ameuhifadhi?

Siasa za Tanzania hazinifungi kuzijadili, hapa tunajadiliana hatufanyi maamuzi...

Ikifika wakati wa kura hutowaona unaowaita wageni.
Ndio maana nimesema muulize mwenyeji wako akusaidie kama huna muulize mumeo au mkeo.
Otherwise endelea kujifunza na kuona wizi wa mataga hasa uchaguzi wa 2020 online kupitia machapisho na malalamiko ya watu wengi.
 
Back
Top Bottom