Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,935
- 5,558
msituvuruge akili hapa hakuna cha ccm wala ukawa wanaojali hela ya mlipa kodi. Hao ukawa wanaolalamikia gharama ndio waliopendekeza kura ya maoni ifanyike baada ya uchaguzi wa rais. Hii inamaana uchaguzi wa rais ufanyike mara mbili ndani ya kipindi cha miaka miwili.
Kura ya maoni haina tofauti na kura ya kumchagua rais. Kila mtanzania alijiandikisha kupiga kura lazima apige kura. Gharama ya kura ya maoni haina tofauti na gharama ya kura ya kumchagua rais.
Kwahiyo wapinzani wasitudanganye wanajali gharama. Wanapiga kelele pale jambo linalotaka kufanyika hawalitaki.
Lazma tuwapa wananchi eimu ya kuikata rasimu ya maharamia wa ccm na kuipigia kura ya HAPANA rsimu ya ccm huu upuuzi wa ccm hauvumilki tena