Mbona hadithi tuu. Serekali imetuletea kocha kutoka huko kuja fundisha mpira akashindwa hata chandimu, si wangetuagizia buibui wawili tu dume na jike waje daidia kazi huku Kilimanjaro jamani. Kwani sh ngapi kuwalisha wapate sumu nyingi. Yaweza kuta gharama ya Maximo? Ndo maana nasema serekali hii haijui vipaumbele vyake. Wananunua power tiller bila kuujua ugumu wa udongo. Wanaleta kocha badala ya kutulete hawa wadudu tuzae vijana wapya. Sijui