Tanzania haipaswi kuvunja masharti ya EITI kuhusu uwazi katika uchimbaji mafuta, gesi

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Activity map_Sept_2015_ver2_001.jpg

Ramani inayoonyesha vitalu mbalimbali vya mafuta na gesi asilia nchini Tanzania

TUMEONA katika makala zilizotangulia kwamba ili wananchi wanufaike na rasilimali za mafuta na gesi asilia katika mataifa yanayozalisha rasilimali hizo, ni vyema mipango iliyowekwa – ya kitaifa na kimataifa – izingatiwe kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.

Mpango wa Ubia wa Uwazi Serikalini (Open Government Programe - OGP) ambao unahimizwa kimataifa ni muhimu kwa sababu ndio unaoweza kuweka wazi mikataba pamoja na shughuli zote za mafuta na gesi asilia zinazofanyika nchini Tanzania.

Tanzania inaunga mkono Mkakati wa Uwazi katika Shughuli za Uchimbaji Rasilimali (EITI), ambao unahimazi uwazi katika shughuli hizo, iwe kwa serikali yenyewe au kwa wawekezaji wanaojihusisha na utafiti, uchimbaji na usambazaji wa gesi na mafuta.

Soma zaidi hapa => Tanzania haipaswi kuvunja masharti ya EITI kuhusu uwazi katika uchimbaji mafuta, gesi | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom