Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli" - Wananchi, Wakiwemo Chadema. Huu ni Ukweli Kabisa. Tumuombea Upendo Huu Uenee Kote TZ.

Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
30,164
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
30,164 2,000
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Upendo ni Nini?.
Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kuna aina nyingi za upendo, kuna upendo wa love, loving, like, devotion, emotional, physical, spiritual, agape, etc, kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni kuuliza ni upendo katika nini, kila mtu atakuja na jibu lake, kwa mkiulima wa korosho, kwa mfanya biashara, kwa wagonjwa, kwa wana CCM, wapinzania, wanafunzi wa kike wanaopata mimba kwa kubakwa, waandishi wa habari, etc, kila mmoja upendo kwake ni tofauti na kwa mwingine, vox pop za kipindi changu, zitakuwa ni vox pop zenye maswali kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu kama huu wa kusalimiwa na rais, ni upendo mkubwa haijapata kutokea!..

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, kwa wananchi hao, kwao upendo haujapata kutokea ni huo, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli ni rais mwenye upendo kwa wote ambao haujapata kutokea, kwa kuwatendea haki bin haki, Watanzania wote, wa maeneo yote, makabila yote, dini zote, jinsia zote na vyama vyote, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Alhamisi Njema.

P.
 
All TRUTH

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
3,777
Points
2,000
All TRUTH

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
3,777 2,000
Kumbe ni "MSUKUMA MWENZETU"
Alisikika Abiria Mmoja akisema

Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ni ukweli mtupu kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli mwenye upendo haujapata kutokea, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Jumatano Njema.

P.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
joshydama

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Messages
3,358
Points
2,000
joshydama

joshydama

JF-Expert Member
Joined May 10, 2016
3,358 2,000
Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?
Umeongea vyema sana ila hapo ndipo ulipolosea Mkuu. Huyu unayemsemea ni mtu wa watu akienda huko kanda ya ziwa lakini siyo sehemu zingine. Kuna kauli nilishawahi kusikia ametoa akiwa huko mwanza kuwa naomba kunukuu" Hawa ndiyo walinichagua msiwabomolee nyumba" but angalia kilichofanyika Dar es salaam.
 
Musoma Yetu

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2016
Messages
2,581
Points
2,000
Musoma Yetu

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2016
2,581 2,000
T
Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Jumatano Njema.

P
Tatizo lako umekuwa mtu wa kujipendekeza sana brother! Nilikuwa nakukubali miaka ya nyuma, lkni sikuhizi naona kama unatafuta huruma ya uteuzi!!! Brother hupati, kujipendekeza kubaya sana!

Kila siku unapiga debe kupulizia mazuri, yani unaniboa kinoma! Mpaka kichefuchefu
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
94,767
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
94,767 2,000
Tuondolee UPUMBAVU wako humu!

Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ni ukweli mtupu kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!.

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli mwenye upendo haujapata kutokea, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Jumatano Njema.

P.
 
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
10,195
Points
2,000
Bome-e

Bome-e

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
10,195 2,000
Huyu ndo Rais anayetupeleka kwenye Uchumi sahihi kama Nchi,Shida wezi na wapiga deal wote hili hawalikubali kabisa
Hiyo swaga ya wapiga deal imeshabuma kitambo!!!JPM mwenyewe aliona kuna shida ndio maana akawaita wafanyabiashara kuzungumza nao!Hii ilikuwa na mitizamo kuwa waliokuwa wakifunga buashara ni wezi na wapiga deal!!!!
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
3,158
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
3,158 2,000
Si ni kweli nakubalika?
Ndiyo mzee

Basi endeleeni kunisifu kwa nyimbo na mapambio
Nitajenga barabara tanotano juu na chini
Na Wanafunzi mtafanyia practical mwezini
Ndiyo mzee
 
double R

double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
1,890
Points
2,000
double R

double R

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
1,890 2,000
That scary! Mwezi wa nane sheria zitakuwa zimeongezeka kwenye vipengele vya kurusha matangazo. Unaweza ambiwa mpaka uwe na mtaji wa bilionii.

Halafu vivurushi vitapanda. Tutakuwa tunanunua kwa dola.

Halafu malaika atakuwa amekaribia kushuka kumalizia kazi.

Anyway heaven might be on your side.
 
lukatony

lukatony

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
558
Points
250
lukatony

lukatony

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
558 250
Wanabodi,
Miongoni mwa miswada yangu ya kuandaa vipindi vya TV, niliyoiwasilisha kwenye vituo mbalimbali vya Televisheni, ni kipindi kinachoitwa "Vox Populi is Vox Dei", hiki ni kipindi ambacho wewe mtangazaji unawasha kamera na kuwahoji wananchi kuhusu jambo lolote na kuwaacha wa flow, vox pop, kisha unarusha kipindi chako kwa kuweka intro tuu, ya wananchi wanasema nini kuhusu jambo fulani, kisha unawaweka wananchi na kuwaacha waki flow wenyewe.

Leo nilikuwa naangalia hii video clip ya Millard Ayo,

Hiki wanachokisema wananchi hawa ndio vox pop yenyewe, huu ni ukweli mtupu wa maoni ya wananchi hawa kumhusu rais Magufuli, na hata mimi niliwahi kusema hivi kumhusu rais Magufuli

Nimewasikiliza wananchi hawa wanavyo flow kumhusu rais Magufuli, nimeguswa na jinsi wananchi hawa wanavyosema kumhusu rais Magufuli, Wananchi hawa Wakiwemo wana Chadema, Wasema "Tanzania Haijawahi Kuwa na Rais Mwenye Upendo Kama Magufuli", Wamsifu Kuwa ni Mtu wa Watu, Wampongeza na Kumuombea!. Kila mtu ana definition yake kuhusu upendo mkubwa haijawahi kutokea, kwa wengine, kitendo tuu cha msafara wa rais kusimama, rais kushuka na kuwasalimia watu, kwao ni upendo mkubwa haijapata kutokea. Kwenye vipindi vyangu, vox pop yangu ingekuwa ni upendo katika nini kwa maslahi ya taifa, na sii upendo tuu wa kusalimiana.

Unaweza kukuta enzi za Nyerere, wananchi wa Butiama wangeulizwa, wangejibu the same, Enzi za Mwinyi, wananchi wa Mkuranga wangelizwa, wangejibu the same. Enzi za Mkapa, Chingaz wangeulizwa, wangejibu the same. Enzi za JK, wananchi wa Msoga wangeulizwa nao vile vile.

Kinachomatter kwenye "vox pop" ni kusikiliza sauti za wananchi wanasema nini, bila kuingiza opinion yako. Wananchi wakisema Tanzania haijawahi kutokea rais mwenye upendo kama Rais Magufuli, huo ndio ukweli wa wananchi wale wa eneo lile, hivyo natoa wito kwa wazalendo wa kweli wa taifa hili, tuungane na wananchi hao, kumuombea rais Mugufuli, awe ni kweli mwenye upendo haujapata kutokea, ili kauli hizi za rais mwenye upendo haijapata kutokea, zitokee pande zote za Tanzania nzima, na sio zitokee pande fulani fulani tuu.

Hivyo katika kutengeneza Vox Pop, unapaswa kuchukua maoni ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali, hivyo katika maandalizi ya vipindi vyangu vya "Vox Populi, Vox Dei", nimeanza na kukusanya hizi clips mbalimbali za kukusanya maoni ya wananchi wanasema nini, vipindi hivi, nitaanza kuvirusha hewani kuanzia mwezi 8 mwakani baada ya kuvunjwa kwa Bunge.

Kama ni kweli sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, then wewe ni nani upingane na Mungu?

Nawatakia Jumatano Njema.

P.
Leo ni jumatano mkuu?Timing ya kuvirusha mwakani c sahihi!Maana ni full kutaka kujipendekeza!Virushe kabla ya bunge kuvunjwa!
 
Forum statistics

Threads 1,315,686
Members 505,292
Posts 31,866,917
Top