maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,536
- 1,360
Jana nilimsikia Museveni akiongea kwa tahadhari kubwa kuwa Tanzania haijatengwa bali kwa sasa wanashughulikia Northern Corridor yaani Mombasa - Kampala - Kigali! Baadaye watashughulikia Southern Corridor yaani Dar - Tabora-Kigoma - Mwanza!
Kwa kifupi Museveni, Kenyatta na Kagame wanaelewa umuhimu wa Tanzania katika EAC lakini wanachofanya ni kutoa msukumo kwa Tanzania ili iharakishe kutafakari hoja zao!
Bila Tanzania hakuna EAC!
Ha ha ha ha ha ha nimeipenda hii Tanzania kwasababu ina eneo 52% huku nchi nyingine zikibakiwa na 48%.Hapa Tanzania ni muoaji kwakigezo cha eneo ngoja wala urojo wakusikie.
GDP ya Tanzania ni sawa na combined GDP ya Uganda, Rwanda na Burundi. Population ya Tanzania (Market) ni sawa na combined population ya Uganda, Rwanda na Burundi. Tunaweza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi nchi yoyote ndani ya EAC ikapata shida lakini hakuna nchi yoyote ndani ya EAC inayoweza kutuwekea vikwazo tukapata shida. (Ukitaka kupinga huu ukweli uwe na hoja za kutosha)
Kwa maoni yako solution ya tatizo uliloliona ni nini?Kwa mawazo yako hao Musaveni na Kagame watakuwa presidents for life au vipi, tujitahidi kuangalia mbele zaidi na sio kujikumbatia na misifa,..mara nyingi ukiwa na tatizo suluhisho la kudumu ni kulifanyia kazi na sio kulikimbia,..
Jana nilimsikia Museveni akiongea kwa tahadhari kubwa kuwa Tanzania haijatengwa bali kwa sasa wanashughulikia Northern Corridor yaani Mombasa - Kampala - Kigali! Baadaye watashughulikia Southern Corridor yaani Dar - Tabora-Kigoma - Mwanza!
Kwa kifupi Museveni, Kenyatta na Kagame wanaelewa umuhimu wa Tanzania katika EAC lakini wanachofanya ni kutoa msukumo kwa Tanzania ili iharakishe kutafakari hoja zao!
Bila Tanzania hakuna EAC!
Bungeni leo kwenye kipindi cha maswali na majibu akijubu swali la Mbunge John Komba kuhusu EAC Waziri wa wizara ya Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema hakubaliani na kauli ya kusema Tanzania inasubiri talaka kutoka Nchi za Afrika mashariki zinazoonekana kuizunguka EAC. Waziri Samwel Sitta amesema Tanzania inaeneo la 52% katika eac na nchi zinazobaki zina 48% hivyo akasema katika EAC Tanzania ni muoaji kama litatokea jambo baya Tanzania ndio itatoa Talaka.
You are very right MTK, tunahitaji sana kuwa macho na hata watu waliopo Serikalini na huko Bungeni ambao wanajiita waha, wahangaza, washubi nk lakini asili yao ni watutsi (hata kama wamezaliwa hapa nchini na kuishi hapa miaka yote hadi leo). Hawa watu lengo na nia yao ni moja; huwa hawatupani na huwa wanafanya vikao vyao vya siri kutekeleza mipango yao. Mliopo makazini, kama unafanya kazi na watu wa aina hii ni kuwa nao makini sana. Ni watu wanaocheka na wewe ukazani ni rafiki kumbe ana lake jambo! Tafuteni waraka wa Mtikila,,,,Hilo ni shinikizo la kichinichini ili Tanzania ijisikie vibaya na kuamua ku-conform na mambo yao mengi ya kihuni.
Tusisahau kwamba watu hawa watatu ni extract ya BAHIMA; an expansionist clan; genociders, dictators and Muderers.
kwanza kwenye jumuiya tumeingia tu,lakin hakukua na kura ya maoni kuhoj wananchi,,,,watz wengi hatuon umuhim wa EAC,
Mimi nitaendelea kuwa na msimamo kuwa, surely we don't need EAC in the prevailing situation (having Kagame and Museveni with their ideology of creating Bahima Empire). These two are violent tyrants, war mongers, ready to shed innocent blood to have their goals attained. Muungano ni kitu kizuri sana, lakini sio kuungana na watu wenye nia mbaya kama hao wawili!.. Ni watu ambao hawana nia njema na Tanzania, na hata huo muungano wa EAC hawana nia njema nao kwani wana agenda zao za siri!... Tuwe makini sana na hawa watu watutsi (nisieleweke kuwa ni mbaguzi au nina chuki na watutsi, la hasha, ila tabia zao ovu ndio ninazozichukia)...
Bungeni leo kwenye kipindi cha maswali na majibu akijubu swali la Mbunge John Komba kuhusu EAC Waziri wa wizara ya Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema hakubaliani na kauli ya kusema Tanzania inasubiri talaka kutoka Nchi za Afrika mashariki zinazoonekana kuizunguka EAC. Waziri Samwel Sitta amesema Tanzania inaeneo la 52% katika eac na nchi zinazobaki zina 48% hivyo akasema katika EAC Tanzania ni muoaji kama litatokea jambo baya Tanzania ndio itatoa Talaka.
Jana nilimsikia Museveni akiongea kwa tahadhari kubwa kuwa Tanzania haijatengwa bali kwa sasa wanashughulikia Northern Corridor yaani Mombasa - Kampala - Kigali! Baadaye watashughulikia Southern Corridor yaani Dar - Tabora-Kigoma - Mwanza!
Kwa kifupi Museveni, Kenyatta na Kagame wanaelewa umuhimu wa Tanzania katika EAC lakini wanachofanya ni kutoa msukumo kwa Tanzania ili iharakishe kutafakari hoja zao!
Bila Tanzania hakuna EAC!
rejea tena alivyosema Mseveni si Kama ulivyomnukuu. Kuna Uzi humu ambao una press ya marais na unaweza kusikiliza alivyosema kikamilifu. Sikusikia kuwa 'wanashughulikia' northern corridor, bali alifafanua northern na central corridor katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Na hapa alikuwa akikanusha au kufafanua swali au hasa maelezo ya mwandishi kuhusu 'coalition of the willing'.Jana nilimsikia Museveni akiongea kwa tahadhari kubwa kuwa Tanzania haijatengwa bali kwa sasa wanashughulikia Northern Corridor yaani Mombasa - Kampala - Kigali! Baadaye watashughulikia Southern Corridor yaani Dar - Tabora-Kigoma - Mwanza!
Kwa kifupi Museveni, Kenyatta na Kagame wanaelewa umuhimu wa Tanzania katika EAC lakini wanachofanya ni kutoa msukumo kwa Tanzania ili iharakishe kutafakari hoja zao!
Bila Tanzania hakuna EAC!