Sijaona mahali popote dunia hii job applicant analipa fee ya aina ama kiasi chochote kile kwaajili ya application for employment!jaman wana jamii, naomba msaada kwa hili suala kabla cjaliwa kekundu, maana kipindi hiki ajira ni ngumu na watu wanataka kuponea kwa wenzao kwa kuwatapeli kizembe.
link ya application form ni Went Wearth 2014-Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program
baada ya kutuma maombi , bw mmoja anaejulikana kwa jina PETER MBONDE namba yake ni 0769121741,
akanitumia sms ikisema hivi
habar i ya jioni, baada ya kupokea maombi yako ya kujiunga na mafunzo ya gas na oil kufanyiwa kazi, CVyako imefanikiwa kupita hatua za awali, hivyouongozi wa mafunzo unakutaka kutuma ada ya kujiunga na mafunzo ili kukamilisha usajili wako, nafasi hizi ni chache hivyo unaombwa kuituma pesa hiyo mapema kuepusha nafasi yako kupewa mtu mwingine
njia ya kutuma ni kwa M PESA , Tsh 50000. namba 0769121741
Dah! Kwa hiyo unaomba msaada gani, unataka usaidiwe nini Ndugu?
Dah hapa kuna harufu ya wizi,je ofisi zao ziko wapi na mafunzo yanafanyikaje,nani anawajibika na hili?iweje njia ya malipo iwe ni kwa kutumia kampuni na kwanini wasiseme watu waende kulipia ofisini na kupewa risti au kwa njia ya benki ambapo benki zinadhibiti pesa na umiliki wa akaunti?
Mnaibiwa jamani
kwel ndugu hata mm nimeshindwa kuelewa kwann wanatumia njia hii kama wao ni kwel wanatoa hii program, nikaamua nilete humu kwa wana jamii wanisaidie mawazo
Mpigie simu huyo jamaa mwambie ofisi zao zilipo. Nenda hapo ofisini kwao. Akiendelea kung'ang'ania ulipe kwa MPESA hapo mkuu nainusa harufu ya mtu kutafuta hela ya Valentine date. Mjini hapa
Tupatie updates ili tuendelee kukushauri. JF ni kisima cha maarifa ninaamini utashauriwa vizuri tu. Najua kazi zimekuwa ngumu na uko desperate kupata ajira lakini kumbuka hata matapeli nao ndio hu-take advantage kwa vijana wanaotafuta ajirasawa mkuu ntafanya hivyo kesho mapema tu, maana sms amenitumia leo jion mida ya saa 12 hv. akasante sana kwa ushauri ndugu
Tupatie updates ili tuendelee kukushauri. JF ni kisima cha maarifa ninaamini utashauriwa vizuri tu. Najua kazi zimekuwa ngumu na uko desperate kupata ajira lakini kumbuka hata matapeli nao ndio hu-take advantage kwa vijana wanaotafuta ajira
naomba msaada kwa yeyote mwana jamii anae wajua hawa jamaa na kama nikweli hii program ipo au n njia 2 yakutafutia pesa kaka??
Utaibiwa ndugu, hamna kitu kama hicho na wala hamna programu ya namna hiyo Tanzania. Hao ni matapeli wanaojuwa kuwa watu mna shida ya ajira wanataka kuwafanya mashamba yao.
Mkuu Secret Service kuja kipande hii
Mtego huo....unaibiwa mchana kweupeeeeee!