Tanzania 'formally' isolated from EAC

Tanzania 'formally' isolated from EAC

Tutakutafutia bwana wa kitanzania naona kiu yako itaisha.
Basi hamia huko kwenye ndege 7 mpyaaaa . Tuachieni nchi yetu. We are just fine, and for Pete's sake just leave us alone.
Kuna kitu mnakitafuta ndani Tanzania kwa udi na uvumba jinsi mnavyoikazania hii nchi iingie ktk hiyo bogus EAC yenu.

:crying: crybaby
 
Unanichekesha kweli... ache kusingizia EAC...nyie wenyewe mafisadi tu. Sisi hapa all sectors collapsed during the genocide but in less than 20yrs tuna airline yenye ndege 7 mpyaaaa! so acha kulalamika kama mtoto mdogo wewe...
Je ni lazima Tanzania tuwemo ili federation ikamilike? Political unions should never be left to the powers of the day else a small difference among them makes everything shaky. Si umeona tu juzi kuhusu mazungumzo mgogoro ulivokuzwa? EAC pia ilianza kuyumba when a new boy in the block came in. The others did not know how to handle the situation because a colleague was deposed!! Ibelieve it is as deep rooted as the French won't trust Brits with their eyes closed. Bear with our supposedly 'utoto'.
 
:crying: crybaby
ha ha ha ...............just you telling you the truth my friend!
We refused to be schooled of this bogus EAC HOGWASH!
Our favourite number is 1977................................just like 1994 is for Rwanda
 
Je ni lazima Tanzania tuwemo ili federation ikamilike? Political unions should never be left to the powers of the day else a small difference among them makes everything shaky. Si umeona tu juzi kuhusu mazungumzo mgogoro ulivokuzwa? EAC pia ilianza kuyumba when a new boy in the block came in. The others did not know how to handle the situation because a colleague was deposed!! Ibelieve it is as deep rooted as the French won't trust Brits with their eyes closed. Bear with our supposedly 'utoto'.

Hapo kwenye red umemaliza story nzima, kinachowazuia ku-move on ni kitu gani?
 
here are few things that i know:
  1. kenya haina ardhi, kuna matabaka mawili, wenye nacho na wasio nacho, ina "wasomi vyeti" ambao hawana ajira, ina raslimali chache...imeendelea kiuchumi..but uchumi wake unadepend kwenye vitu vichache sana na ambavyo si endelevu i.e havitokuwepo in the next 100 years..ina ukabila....e.t.c
  2. Uganda, like kenya, haina ardhi, pia, haina wasomi, ni masikini sana..out of resources..uongozi wa kibabe usiokubalika na wengi..haina mvuto katika anga za kimataifa..pengine ni coz ya kutokuwa na raslimali.. na matatizo mengine mengi
  3. Rwanda, well, as Rwanda...always ni opportunists...they go where the flag goes....hapa tunamkuta kagame, mana ndiye rwanda...the guy has blood all over him...he believe hawezi kuwa chini ya yoyote hususan wahutu..rwanda kuna ukabila, umasikini(though imeanza kuimprove but not the level of individuals), haina ardhi, inaendeshwa kidikteta, ni masikini...e.t.c
  4. Burundi...as all above though hii nchi ni worse zaidi......
  5. Tanzania........wow......has almost everything kasoro wasomi na viongozi walio tayari kuitumikia nchi yao,....
TRUTH of the matter is, its not us who needs them, but its them who needs us, Tanzania ilikataa kujiunga nao koz ya masharti au baadhi ya vipengele ambavyo vilikuwa vinamlengo wa kukandamiza watanzania almost kwenye kila angle...pamoja na baadhi ya sababu binafsi zilizowafanya viongozi wetu kudelay kukubali hiyo federation, binafsi, nawapa hecko.....as we r not ready....and tutaishiwa kunyonywa......
dont think for a second, mnyarwanda hatamani kuishi sehem ambayo ataruhusiwa kufuga ng'ombe zaidi ya mmoja, ama mkenya kupata sehemu atayoweza ajiriwa na kufanya kazi...wanataka ardhi yetu, uchumi wetu, kazi zetu...na madem zetu..................................:smile-big:
 
Well, CUF was free to file a case to ICC instead of complaining in the cold

Well now at least we are sailing in the same boat but remember this popular saying which goes as follows 'When you point a finger at others remember that the remaining fingers are pointing at you'
 
The few Tanzanian who gain from current system have decided the status quo must be maintained at all cost ,thus denying millions of Tanzanians the real benefits of integration.
The same applies to the other countries. The benefactors always will like to preserve their status quo. Open your eyes!!
 
Je ni lazima Tanzania tuwemo ili federation ikamilike? Political unions should never be left to the powers of the day else a small difference among them makes everything shaky. Si umeona tu juzi kuhusu mazungumzo mgogoro ulivokuzwa? EAC pia ilianza kuyumba when a new boy in the block came in. The others did not know how to handle the situation because a colleague was deposed!! Ibelieve it is as deep rooted as the French won't trust Brits with their eyes closed. Bear with our supposedly 'utoto'.

Nimeshawahi kusema hapa kuwa sio lazima muwemo? Ila kama hamuitaki EAC, then don't complain when the coalition of the willing is ready to move on....vile vile i believe in putting 110% in anything that I do...if you are not 100% convinced of the benefit of EAC, then step aside and watch others do what they gotta do. Diggit
 
We will wait for ever and nothing will change in Tanzania,Behind we will be lagging unless we vote CCM out of the POWER and open a new chapter on introducing the economic diplomacy the benefit of our Country.

So if CCM is OUT the who will be IN ? CHADEMA ? Je unajua sera za CHADEMA kwenye mambo ya East Africa Federation ?
 
So if CCM is OUT the who will be IN ? CHADEMA ? Je unajua sera za CHADEMA kwenye mambo ya East Africa Federation ?

International policies don't come out of the blue my friend,They originate from the economic and security demands of a given country.If we make economy as our priority number one then we will find ourselves looking at potential opportunities where our economy will prosper luxuriously and these opportunities are the Countries around us.Where will we sell our services & products to?How will we know that we are good enough to compete in the International markets if we don't have economic interaction with other Countries?Don't take it too lightly my friends....We are losing an opportunity to make mistakes,learn from these mistakes and become stronger than ever.Many people who are successful in life have achieved that in the hard way.How long will we continue to fear competition?
 
We will wait for ever and nothing will change in Tanzania,Behind we will be lagging unless we vote CCM out of the POWER and open a new chapter on introducing the economic diplomacy the benefit of our Country.

hatuna haja ya kufanya papara, waache waende.
Hatuna haja ya kukimbilia huko wkt masuala kama ktb na muungano hatuja yatatua.
 
To some extent, you might be right.
It is very interesting that they have done a very logical thing i.e to come up with .... for the EAC constitution, contrary to the case in EAC when tz was involved. At that time they would only refer to the treaty of EAC, and never advanced the constitution issue. They would just rush to the desire to fast-track a political federation! My take is that some serious EAC citizens might have questioned the structure of an acceptable EAC constitution. I suspect that there wont be an easy way out on that. On another note, I wish to advise fellow Tanzanians not to regret about these developments because much as cooperation, regional integration et.c, are noble paths to follow for obvious reasons, they should be cautiously adopted, informed by research, social and economic prospects, evidence of sincerity among players(leaders) and representation of wishes of the populations they represent. Their original motive may be political power and greed for resources. If that is the case, the current developments are geared towards sabotaging an economy with potential for political chaos which may lead to instability and ease to capture what they could not capture under normal arrangements. It is imperative that people, especially the youth started to read and map events holistically and strive to defend their nation(TZ), because the world may not be as friendly as it used to be to our country. We therefore need to be ready strategically, operationally and in terms of resources, because it seems, we have multi-faceted enemies; war-mongery, tribalism and race/clan supremacy, corruption both in-country and internationally. On another note, I beg Tanzanians to refrain from making reference to political parties both ruling and opposition when talking about national matters because prosperity and security are matters of Tanzanians life irrespective of political affiliation.
 
One important characteristic of primitive people (I am sorry if I should offend some one) is their fear of interaction. And the second which goes together with the first is their pride over their being primitive. The paradox stands in the fact that this condition can only be overcome through interaction. When we see others join together and go their way and we fool ourselves by claiming that they need us while we remain outside it is a pity my kinsfolk. We declare ourselves kings just because we have stuck the feather of an owl on a reed head gear. We must think twice.
 
hatuna haja ya kufanya papara, waache waende.
Hatuna haja ya kukimbilia huko wkt masuala kama ktb na muungano hatuja yatatua.

Ha ha ha!Unaikumbuka COMESA?Unakumbuka sababu zilizotutoa kule?Je ni miaka mingapi imeshafika mpaka sasa tangu tulipojitoa COMESA?Tumebadilika Kiuchumi tangu tulipojitoa COMESA?Je kuna tofauti katika sababu zilizotutoa COMESA na hizi zinazotufanya tusite kuingia katika EAC.Je kuna fursa yoyote ya maendeleo ya Kiuchumi tulioipoteza tangu tulipojitoa COMESA?Je kuna faida yoyote ya Kiuchumi tutakayoipata kwa kuchelewa kwetu kujiunga na muungano wa kiuchumi na Nchi nyingine Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki?Naomba majibu tafadhari!!!
 
Rwanda, Uganda and Kenya are enemies of Tanzania (they call us fool swahilis) please stay out Tanzania! At the end of the day they will eat one another
 
Kugusia gusia Nyerere ni ishara kuwa wanatuhitaji ila wanajishauku, wangeamua kiukweli na si kwa uwoga wa madikteta kutafuta vivuli basi hata Baba yetu wa Taifa wasingemtaja. EAC ni Sumu kwa Tanzania, remain out!!!

Mkuu nilisha wambia wana JF kwamba kinacho fanyika pale ni vita vya kisaikolojia- culprit pale ni M7 na PK wanafikili wakitishia ku-sideline Tanzania basi tutaogopa na kuwapa a blank cheque ya ku-fast track kila kitu save their Military JUNTA. Wamekuwa na nguvu za kufanya wapendalo kutokana na Mh.Kenyatta kuwa naive na mbinu za jamaa hawa wanamuona ni mdogo kiumri ndio maana wanaendelea kukihuka makubaliano yaliyo wahi kufikiwa na Secretariat ya EA, wenyewe wanaingilia sana kitengo hiko, basi waeleze dunia kama wanataka kuhanzisha kitu kingine zaidi ya EAC, hatuwezi kuwa na a sub-set ya EAC within EAC, binafsi sioni dalili kama watabaki salama bila ya kushirikisha Tanzania, pale kila mtu mjuaji na kila mmoja ana ajenda yake - Jaribu kuchunguza historia zao za nyuma ndio mtajua ninacho taka kuzungumza hapa, Tanzania ina weza ku-afford 2 do without them lakini wao hawawezi, asikudanganye mtu and they know IT.

Tatizo kubwa ninalo liona linakumba kanda yetu hii ni ukosefu wa ustaarabu tu i.e kuto heshimu Viongozi wenzao hata kama hawakubaliani katika nyanja fulani, mbona Mzee Kenyatta, Kambarage na Obote sio kwamba walikuwa wanakubaliana kwa kila kitu, lakini kila Mwana East Africa alikuwa anajua kwamba waliheshimiana sana - sio breed hii inayo lazimisha kubadirisha a base metal 2 Gold/Diamond kama kama walivyo kuwa wanafanya ma -Alchemists wa Yesteyears; chunga sana binadamu/Kiongozi yeyote ambaye anajiona ana majibu ya matatizo yote yanayo hikumba Africa Mashariki.

Nilisha onya watu kwamba ndugu zetu hawa ni janga wa kanda yetu hii ya Afrika Mashariki na kati, tukiwa salama in 5 -15 years 2 come basi zitakuwa ni kudra za Mwenyezi Mungu tu, somehow instict zangu zinanieleza hivyo na ni mara chache kuniagusha.
 
One important characteristic of primitive people (I am sorry if I should offend some one) is their fear of interaction. And the second which goes together with the first is their pride over their being primitive. The paradox stands in the fact that this condition can only be overcome through interaction. When we see others join together and go their way and we fool ourselves by claiming that they need us while we remain outside it is a pity my kinsfolk. We declare ourselves kings just because we have stuck the feather of an owl on a reed head gear. We must think twice.
And one characteristic of a fool, is to give a hug to anyone coming to him with a smile....
 
Back
Top Bottom