Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,783
Baada ya kuwaibia wacongo! safi sana mna akili ninyi kama waisarael! nyinyi ni taifa teule
kajembe ... hawa akina murutongore wanajiita eti ni Waisrael wa great lakes, wanaijifananisha na genocide yao na ya Waisraeli, wawarudishe kwanza raia wao wa Rwanda waliwakimbiza nje ya nchi yao (waliotapakaa huko Congo na kwingineko), baada ya hapo ndio tuanze kuongelea masuala ya East Africa.Umesema wewe. If you believe it then so be it. "Perception is reality"
Last edited by a moderator: