Tanzania 'formally' isolated from EAC

Tanzania 'formally' isolated from EAC

Mkuu nilisha wambia wana JF kwamba kinacho fanyika pale ni vita vya kisaikolojia- culprit pale ni M7 na PK wanafikili wakitishia ku-sideline Tanzania basi tutaogopa na kuwapa a blank cheque ya ku-fast track kila kitu save their Military JUNTA. Wamekuwa na nguvu za kufanya wapendalo kutokana na Mh.Kenyatta kuwa naive na mbinu za jamaa hawa wanamuona ni mdogo kiumri ndio maana wanaendelea kukihuka makubaliano yaliyo wahi kufikiwa na Secretariat ya EA, wenyewe wanaingilia sana kitengo hiko, basi waeleze dunia kama wanataka kuhanzisha kitu kingine zaidi ya EAC hatuwezi kuwa na a sub-set ya EAC within EAC, binafsi sioni dalili kama watabaki salama bila ya kushirikisha Tanzania, pale kila mtu mjuaji na kila mmoja ana ajenda yake - Jaribu kuchunguza historia zao za nyuma ndio mtajua ninacho taka kuzungumza hapa, Tanzania ina weza ku-afford without them lakini wao hawawezi, asikudanganye mtu and they know IT.

Tatizo kubwa ninalo liona linakumba kanda yetu hii ni ukosefu wa ustaarabu tu i.e kuto heshimu Viongozi wenzao hata kama hawakubaliani katika nyanja fulani, mbona Mzee Kenyatta, Kambarage na Obote sio kwamba walikuwa wanakubaliana kwa kila kitu, lakini kila Mwana East Africa alikuwa anajua kwamba waliheshimiana sana - sio breed hii inayo lazimisha kubadirisha a base metal 2 Gold/Diamond kama alchemists, chunga sana binadamu/Kiongozi yeyote ambaye anajiona ana majibu ya matatizo yote yanayo hikumba Africa Mashariki.

Nilisha onya watu kwamba ndugu zetu hawa ni janga wa kanda yetu hii ya Afrika Mashariki na kati - wamezoea mambo ya kuendesha kila kitu kijeshi jeshi tu, kwa hiyo kila Taifa within their so called domain (ndoto tu zao za mchana) ni fair game kwao, sioni kama kuna dalili zozote za kuheshimu Viongozi wenzao, majivuno tu - watu hilo hawalioni!!!

Umeongea kwa helima sana mkuu...

Nimekusoma kwa miwani ya 3D...big up sana kwa uzalendo huu
 
Umeona eeeeeh...your leaders make decisions for their own benefit and not for the benefit of Tanzanians... Itawagharimu sana. The indecision is more costlier.
Wewe Mnyarwanda we don't mind on the false federation which you have formed. We have adequate experience on such issue, note that the name Tanzania came because of the union between Tanganyika and Zanzibar, we know the problems of uniting countries. do you know why EAC was disintegrated? History always do repeat we are watching you very closely
 
The same applies to the other countries. The benefactors always will like to preserve their status quo. Open your eyes!!

Yes i can visualize in my minds eyes inevitable change. No condition is permanent. The revolution will not be televized.
 
Let them integrate!
Believe me these leaders are basing their decision on intuition, excitement and overlay optimism. There is no fundamentals!
Ask how many years it took for Europe to become EU, with all their civilization and stability it took them ages. Imagine these 3/4 leaders who are not even well acknowledged in their home land want to come together so quick!

Yetu macho.

With all success of the EU, still few countries have hesitated to fully integration for instance UK has refuses to give up its starling/pound sembuse hao vilaza
 
Tanzania haijawa isolated na mtu yeyote,ila inaonekana TZ haitaki kutekeleza vitu kama visa,work permit,customs etc sasa wao wanataka acheni wafanye vitu vyao na hakuna mtu ameishikia TZ bunduki lazima wafanye hayo na wanaolalamika seems ni TZ eti wanatengwa wakati hawataki kutekeleza chochote ..ndio maana ikaitwa collition of the willing,hakuna kulazimishana na TZ haitaki which is fine,let them do their thing zile ni nchi huru zina maamuzi yake.
 
here are few things that i know:
  1. kenya haina ardhi, kuna matabaka mawili, wenye nacho na wasio nacho, ina "wasomi vyeti" ambao hawana ajira, ina raslimali chache...imeendelea kiuchumi..but uchumi wake unadepend kwenye vitu vichache sana na ambavyo si endelevu i.e havitokuwepo in the next 100 years..ina ukabila....e.t.c
  2. Uganda, like kenya, haina ardhi, pia, haina wasomi, ni masikini sana..out of resources..uongozi wa kibabe usiokubalika na wengi..haina mvuto katika anga za kimataifa..pengine ni coz ya kutokuwa na raslimali.. na matatizo mengine mengi
  3. Rwanda, well, as Rwanda...always ni opportunists...they go where the flag goes....hapa tunamkuta kagame, mana ndiye rwanda...the guy has blood all over him...he believe hawezi kuwa chini ya yoyote hususan wahutu..rwanda kuna ukabila, umasikini(though imeanza kuimprove but not the level of individuals), haina ardhi, inaendeshwa kidikteta, ni masikini...e.t.c
  4. Burundi...as all above though hii nchi ni worse zaidi......
  5. Tanzania........wow......has almost everything kasoro wasomi na viongozi walio tayari kuitumikia nchi yao,....
TRUTH of the matter is, its not us who needs them, but its them who needs us, Tanzania ilikataa kujiunga nao koz ya masharti au baadhi ya vipengele ambavyo vilikuwa vinamlengo wa kukandamiza watanzania almost kwenye kila angle...pamoja na baadhi ya sababu binafsi zilizowafanya viongozi wetu kudelay kukubali hiyo federation, binafsi, nawapa hecko.....as we r not ready....and tutaishiwa kunyonywa......
dont think for a second, mnyarwanda hatamani kuishi sehem ambayo ataruhusiwa kufuga ng'ombe zaidi ya mmoja, ama mkenya kupata sehemu atayoweza ajiriwa na kufanya kazi...wanataka ardhi yetu, uchumi wetu, kazi zetu...na madem zetu..................................:smile-big:

Amusing comments,
 
Naamini katika nguvu ya umoja, dhamira zetu na unyenyekevu wetu katika kufufua udugu wetu wa karne nyingi(uliokuwako kabla ya hao waliotucholea mipaka) utaweza kufanikisha uundwaji wa jumuiya moja ya Afrikaashariki na Baadae nchi nyingi zaidi zitaungana pamoja katika misingi ile ile ya udugu wetu. Ukweli ni kwamba waliotugawa wanaonekana kufanikiwa kwa sababu ya uzito wetu kifikra wa kuutambua na kuzungumza ukweli wa maisha na udugu wetu. Tunaweza kwenda taratibu tukiungana hatua moja hadi nyingine kwa utaratibu kama ambavyo tumeanza na tutafanikiwa. Ni Kweli kwamba lazima tuwe makini kwa kuchunguzana kila mmoja wetu viongozi na raia wakati huu wa mpito, ubinafsi hautatusaidia chochote. Nionacho Mie ni kwamba tinakimbia sana, tunahitaji muda zaidi Watu wajadiliane wazoee muktadha mzima ili kuepusha minong'ono ya hapo baadae, Hao kina Kagame na Museveni au Kenyata sio Watu wa kuwahofia sana kwa sababu hata hawataishi milele ila taifa letu na vizazi vyetu vitakuwepo. Wazo zuri kuungana ila tunahitaji muda kujiandaa na kuandaana. TWENDE KWA AWAMU.
 
Hicho kingereza cha ..'formally isolated from'... jaribuni kuzingatia grammar kwasababu watoto wetu watasoma na kujua hiyo ndo statement sahihi ..tafuta tu wewe mwenyewe wapi umekosea na urekebishe.
 
huu muungano ukifa kibarua changu jamani tuombeane heri iendelee kuwepo ntakuwa mgeni wa nani mieeee
 
Sasa ole wenu mrudi tena mkidai tuungane na nyie, tunawaachia watoto wetu maagizo kua muungano na majambazi ng'o
 
International policies don't come out of the blue my friend,They originate from the economic and security demands of a given country.If we make economy as our priority number one then we will find ourselves looking at potential opportunities where our economy will prosper luxuriously and these opportunities are the Countries around us.Where will we sell our services & products to?How will we know that we are good enough to compete in the International markets if we don't have economic interaction with other Countries?Don't take it too lightly my friends....We are losing an opportunity to make mistakes,learn from these mistakes and become stronger than ever.Many people who are successful in life have achieved that in the hard way.How long will we continue to fear competition?

there are few stuff in your arguments. Dou want to tell us that EAC is the only geopolitical arena to trade with? how about DRC?, SADEC? ECOWAS? MADAGASCA?, COMORO? etc. What you are missing are grounds that led Tanzania hesitating to fast tracking. If you know these factors you would agree with your colleagues
 
Let them go ahead with or without us, hatuwezi kuburuzwa kisa "federation".

Kuna maswali na majibu na kura kwa nchi, kwamba tujiunge ua la...

Muungano huo ni mzuri hasa kiulinzi na kibiashara, lakini sio kupelekana namna hio...
 
Unanichekesha kweli... ache kusingizia EAC...nyie wenyewe mafisadi tu. Sisi hapa all sectors collapsed during the genocide but in less than 20yrs tuna airline yenye ndege 7 mpyaaaa! so acha kulalamika kama mtoto mdogo wewe...

Baada ya kuwaibia wacongo! safi sana mna akili ninyi kama waisarael! nyinyi ni taifa teule
 
there are few stuff in your arguments. Dou want to tell us that eac is the only geopolitical arena to trade with? How about drc?, sadec? Ecowas? Madagasca?, comoro? Etc. What you are missing are grounds that led tanzania hesitating to fast tracking. If you know these factors you would agree with your colleagues

madagasca??????????????....
 
All countries forging political federation have internal problems which they need to iron out before attaining political federation. Look at Uganda and Rwanda are still in the york of dictatorship . The M7 dream is to be life prezo! In Rwanda there is no freedom at all. Kenya is divided in tribes, it is even difficult to get a president through ballot box . Let them sort out there issues first . Tz is safer in Sadc than East Africa
 
Umesema wewe. If you believe it then so be it. "Perception is reality"

Waporaji wa rasilimali za Congo,wala hakuna cha kujifunza kutoka kwa Kagame labda kama uporaji na I believe because kuna ushahidi wa kutosha mwingi tu.
 
Kenya wana hasira kwa kuwa tanzania wanakataa na ardhi yao. Rwanda wana hasira kwa kuwa kimbunga kimewapitia. Uganda wana ukaribu sana na rwanda. Burundi fuata upepo. Bila wao tunaweza
 
Back
Top Bottom