Hivi Nzoka samahani umeondoka lini Tz? Nimefanya kazi za consultancy saaaaaaana Tanzania habari utakazopewa kwa maneno na maandishi ni tofauti sana na ukweli. Wapo investor wengi sana wamepoteza nauli zao na muda wao kwenda bongo wakidhani wamepata serious business partner kumbe hakuna kitu.
Makampuni ya samaki mwanza ni mengi sana na 90% wanaexport EU, Korosho inayozalishwa Tz 70%inaenda India unprocessed, iliyobakia kuna viwanda nadhani viwili wanaprocess na kuiza local and some export(but wanapark kwenye bulk qnty).
Ushauri.
Fanya maaamuzi ya nini unataka kufanya identify companies, fanya utafiti wako wa jinsi ya kushirikiana nao vinginevyo utaishia kupata substandard companies.