Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Je, unafahamu kampuni lolote lililo Tanzania ambalo liko certified ku-process and kupack bidhaa mbalimbali kama korosho, ukwaju au spices zozote zinazopatikana zanzibar au sehemu yoyote Tanzania etc?
Je, kuna kampuni linatafuta mwekezaji katika sekta hizi? Au linatafuta soko ulaya?
Je, kuna mfanyabiashara yoyote ana kiwanda cha samaki (kutoka ziwa Victoria) au Samaki wa baharini anatafuta soko au mwekezaji kufikia standard za EU certification na kuweza ku-export Ulaya? Please justify the level of investment/collaboration needed.
Nina interest ya kufahamu ulichonacho na unataka nini ili ufanikishe ku-export ulaya. Nina link na wawekezaji kuja Tanzania au kushirikiana na Mtanzania, lakini sitaki uongo wala grey areas.