mkada
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,200
- 908
Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuing'oa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwa
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.
kilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.
Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.