Tanzania Daima's Obsession

Tanzania Daima's Obsession

Muda mwingine jaribu kuepuka kudhalilika kwa kukaa kimya.Eti kisomi zaidi hivi uko Tanganyika/Unguja hii ?
Jaribu kutafiti kabla hujabwabwaja Sheria hiyo Dhaifu wenu amekwisha saini 30 June 2013 ili kuweza kupata Pesa ya Safari za kuendelea kutembeza bakuli.

acha ujinga ww, umeharibiwa na tz daima
 
mwandishi Huyu ni kichaa

waandishi wenyewe ni walevi wa gongo kama mmoja anaitwa josephat isango amekimbia madeni singida ndio wamempa kazi ya kuandika makala..mpiga pombe ya kienyeji ana nini kichwani kama sio uji ulioharibika
 
Kabla suala hili kutua bungeni lilipitia kwenye baraza la mawaziri na Rais Jk ni mwenyekiti hapo unasemaje?

Kabla suala hili kutua bungeni wabunge wa CCM chini ya m/kiti wao walikubaliana waipitishe bungeni, hapo anasemaje?

tragedy of the commons
 
Bunge lililopitisha ni Mibunge ya ccm kwa kura za ndiyoooooooo!!!!

Sasa hapo unaongea upumbavu gani wewe?
Chanzo ni ccm na ccm hii kodi itawagharimu

Tena siku yalipopitisha yalikuwa yatajwa na kusimama na kusema ndiyoooooo! Chadema kwa vile hawakuwepo, alipokuwa akitajwa wa Chadema yalikuwa yanasema "maandamano" Sijawahi kuona wabunge mapimbi kama wa CCM. Kila kitu kwao ni ndioooo!
 
Hili moja ya magazeti yanayopinga Sana serikali.Nafikiri wanatakiwa kupinga bila kupandikiza chuki na utengano baina ya watz.
 
Inahitaji uwe na akili ya maiti kuitetea CCM.

unahitaji uwe na akili mbwa mwizi, mmwagia watu tindikali, mtembea na sumu hadi bar mdini mkabila na mtetea ukanda kuitetea machadema
 
Lets think Tank wandugu,,the fact kwamba Rais anachair kikao cha baraza la mawaziri haimaaniishi kuwa sasa anafnya kazi ya Bunge,,,kiutaratibu Bunge ndilo lenye kazi ya kupitisha na kutopisha miswada,,na Rais hawezi kusign bila ya bunge kupitisha....is that no so.Fikiria Rais amemteua Mkuu wa mkoa,,Mkuu wa Mkoa akaenda kubaka mwanamke mtaani,,Swali je Rais naye anakuwa amebaka?Nooooo
Amka ndugu, kama ulikuwa haufahamu naomba nikufahamishe kuwa Rais ni sehemu ya Bunge
 
Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuing’oa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwa
kilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.
Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.

Kwani lazima usome Tanzania Daima? Si unaweza kusoma UHURU, MZALENDO, HABARI, DAILY NEWS na ukichoka hayo unasoma SANI, KIU, AMANI, IJUMAA! Au bado hayakutoshi?
 
Anaye sign ni Rais, na Rais bado hajasign sasa hapo lawama kuelekezwa kwake si upotoshwaji wa kesi nzima?

Kama Rais hajasaini inaitwa bado ni muswaada ya "A Bill" na haiwezi kutumika. Sasa kama mwezi huu wa saba makampuni ya simu tayari yakikuwa yanakata Tshs 33 kwa siku kwa kutumia sheria ipi??? Ni wazi Rais ameshaini huo muswaada na kuwa sheria kabisa.

Na ndiyo January Makamba amesema inabidi suala hili lirudi tena bungeni ili lifanyiwe marekebisho upya na siyo kulumbana kwenye mtandao akiwa na maana tayari Rais ailishasaini na kuwa sheria.
Tuache majungu Tanzania Daima hawaumi maneno kama Mwananchi ambao waandishi wake wameshanunuliwa na CCM na kubaki na jina la Mwananchi lakini wala siku hizi halipendwi kama zamani na huku Tanzania Daima ikizidi kupendwa. Wewe huoni kuna kitu??
 
Tena siku yalipopitisha yalikuwa yatajwa na kusimama na kusema ndiyoooooo! Chadema kwa vile hawakuwepo, alipokuwa akitajwa wa Chadema yalikuwa yanasema "maandamano" Sijawahi kuona wabunge mapimbi kama wa CCM. Kila kitu kwao ni ndioooo!

Halafu saini wanagoma kuonekana kama wao ni stamp ya kipitishia maamuzi ya serikali hata kama ni ya kijinga.
 
Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuingoa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwa
kilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.
Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.
Theoretically you are right but Practically not: do you want to declare that our Parliament is free from Executive interferences!!!!!! .
 
Baada ya sheria kupitishwa bungeni kabla haijaanza kutumika lazima kuna mtu anatakiwa kuisaini. swali je, ameshaisaini na je, mtu huyo ni nani? swali hili ni kwa mtoa mada. Jumapili njema ndugu.

Nilitaka kukureport kwa modelator why unatumia the name like mine na wewe u look as a new member. Ila nimeona ur good u take time before drop here. Nitakuwa nafuatilia comments zako kujua wewe ni wa upande gani
 
Tena siku yalipopitisha yalikuwa yatajwa na kusimama na kusema ndiyoooooo! Chadema kwa vile hawakuwepo, alipokuwa akitajwa wa Chadema yalikuwa yanasema "maandamano" Sijawahi kuona wabunge mapimbi kama wa CCM. Kila kitu kwao ni ndioooo!
.............100%
 
Ukisoma Taarifa ya gazeti la leo la Tanzania Daima la kichwa cha habari Simu kuing’oa CCM, ni wazi utajua kuwa sasa hili gazeti liko obsessed na chuki na hasira zinazopelekea kutuchanganya sisi wasomaji wake.Ni dhahiri kuwa tozo la kodi la kila mwezi lilipitishwa na bunge,,na hii ina maana lawama zote lazima ziende kwa Bunge na Spika akiwemo...lakini hili la Tanzania Daima la kuandika kuwa
kilichofanyika kilipata baraka za viongozi wa chama hicho, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, nafikiri ni kuleta confusion ambayo ni very unnecessary.
Tanzania Daima wanachojaribu kufanya hapa ni kuconnect dots ambazo ziko too remote kwani tuna jua kuwa Bunge lina uongozi wake unaojitegemea, Rais hakuwa bungeni na pia hajaridhia maamuzi ya bunge ya tozo la kodi kuwa sheria.Sasa Rais hapo anaingiaje?Bunge si mhimili unaojitegemea, sasa kwa nn makosa ya bunge yawe makosa ya Rais.
This is unprofessional guys,,,inakuwa shida sana kulisoma hili gazeti kwa sasa bila kuchanganya na akili zako.Mbona Mwananchi wanaandika habari Objectively na bado linapendwa tu.Tanzania Daima you need to stop barking at the wrong trees for issues which are very serious. Tanzaia Daima wanataka kututufifisha kumjua the real enemy,,na hii itasababisha kushindwa kwa hii vita.The president should be involved in appeal but not in the war. Shida ni Bunge na sio Rais. Professionalism is not taking things personal.

Kosa la wabunge wa CCM, taarifa itolewe na Bunge, Hukumu ya kifo wabambikiwe Tanzania Daima. MAJANGA
 
Myself I can't qoute neither tanzania daima nor uhuru cause I know what they need to write for what reason.jamani wa tanzania tufahamu maudhui ya magazeti yetu!
 
MAANDIKO matakatifu ya Biblia yanasema kuwa kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake, kwamba wote watatumbukia shimoni.
Katika maandiko hayo hayo, Yesu Kristo anawasihi wafuasi wake kuwa hawawezi kuondoa boliti iliyoko kwenye jicho la mwezao kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho lao.
Maneno hayo kwa bahati mbaya yanalilenga Jeshi letu la Polisi ambao kwa muda sasa limeibuka na kaulimbiu ya kuwataka wananchi watii sheria bila shuruti, ikiwa ni sehemu ya kupunguza kero na migogoro kwenye jamii.
Jeshi la Polisi chini ya Inspekta Jenerali wake (IGP), Said Mwema, linatutaka tutii sheria wenyewe bila kushurutishwa wakati huo huo yeye na wenzake wakizivunja baadhi ya sheria za nchi.
Haya ni maajabu, nani wa kumwonya mwenzake ikiwa wote tunavunja sheria badala ya kuzitii?
Ama polisi wao wako juu ya sheria? Hiki kinachofanywa na polisi ni sawa na kuwahubiria watu wanywe maji halafu wao wanakunywa mvinyo.
Kama raia anakatazwa kuua wenzake kwa mujibu wa sheria, kwanini polisi waue wananchi kinyume cha sheria halafu hakuna anayewachukulia hatua?
Kama wananchi wanakatazwa kuiba ni kwanini baadhi ya askari wanajihusisha na wizi tena mkubwa kwa kushirikiana na majambazi lakini hatua dhidi yao zinapigwa chenga?
Nimeandika safu hii leo kwa lengo moja la kutaka wenye fikra pana na mpya tupeane mawazo ya kwanini Jeshi letu la Polisi linafanya kazi ya upande mmoja yaani kukipendelea chama tawala halafu wakati huo huo linawataka wafuasi wa upinzani watii sheria bila shuruti.
Kama kwenye mikutano ya siasa viongozi waandamizi wa CCM wanatoa kauli za uchochezi na vitisho kwa wananchi lakini hawachukuliwi hatua inakuwaje wale wa upinzani wanapofanya tendo kama hilo ndipo Jeshi la Polisi lichukue hatua.
Hizi ni sheria za aina gani ya kibaguzi namna hiyo?
Huu ndiyo utii wa sheria bila shuruti tunaoelekezwa na Jeshi letu la Polisi. Hivi hawa wako kwa ajili ya nani?
Niliwahi kuandika huku nyuma kuwa Jeshi la Polisi ni chombo endelevu ambacho kinaweza kusimamiwa na serikali ya chama chochote cha siasa kinachokuwa kimeshika dola.
Lakini nikatahadharisha kuwa vyama vina ukomo wa kuiongoza serikali, hivyo nikasema kuwa polisi wanapaswa kujiepusha na upendeleo kwa chama chochote ama kinachotawala au kile cha upinzani kwani wakati wowote kinaweza kuwa madarakani.
Hoja yangu imetokana na hatua ya Jeshi la Polisi kulivalia njuga suala la CHADEMA kutangaza kutoa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wao kwa ajili ya ulinzi wa viongozi na mikutano ya chama.
Nilipomwona IGP akitoa kauli ya onyo kwa CHADEMA kuanzisha Red Brigade na kisha jeshi lake kumhoji kwa saa kadhaa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, nilipigwa butwaa nikitaka kujua chombo hiki kinasimamia na kutumikia katiba ipi ya nchi?
Nilijiuliza kama Mwema hajui kundi la Green Guard la vijana wa CCM linalopewa mafunzo ya kijeshi likiwa na silaha licha ya vyombo vya habari kuripoti juu ya jambo hilo.
Nikashangaa ni kwanini hakuwahi kuionya CCM na kikundi chake kinachodaiwa kufanya matendo ya vurugu za kupiga wapinzani wakati wa uchaguzi ikiwa hawezi kukifuta.
Nikaenda mbali zaidi kujiuliza hawa wanataka tutii sheria gani ikiwa wao wenyewe ni waoga wa kutii sheria zilizoainishwa na Katiba ya nchi?
Upendeleo wa wazi kama huu nani anaweza kuuvumilia? Yaani mikutano ya vyama vya upinzani ivamiwe na kufanyiwa fujo na hata watu kuuawa kwa risasi za polisi halafu wanapotaka kujilinda wanaambiwa wanahatarisha amani ya nchi.
Pengine IGP Mwema na timu yake ningewaelewa kuwa wanatii sheria za nchi endapo wangeanisha watuhumiwa wa makosa mbalimbali waliowahi kuchukuliwa hatua za kisheria kutokana na kuvuruga mikutano ya upinzani.
Tumeona mauaji ya kutisha kule Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi mdogo ambapo kiongozi wa CHADEMA Kata ya USA River alichinjwa na watu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM lakini watuhumiwa hao walikamatwa kwa muda mfupi kisha tukaelezwa kuwa walitoroka wakiwa mikononi mwa polisi wakiwa na pingu mkononi.
Huu ni uchizi, hivi mtuhumiwa aliyefungwa pingu mikononi anaweza kumtoroka polisi tena akampora na silaha? Tendo kama hilo ni mwananchi gani anaweza kuliamini Jeshi la Polisi katika mazingira kama hayo ya ndugu yake kuuawa kinyama?
Tukio la kada wa CCM kumwagiwa tindikali usoni wakati wa uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga mwaka 2011, lilikuwa limekwisha kufumbiwa macho na Jeshi la Polisi kwa maelezo kuwa watuhumiwa hawakupatikana.
Lakini hivi karibuni tumeshuhudia wakikamatwa vijana kadhaa wa CHADEMA wa mikoa mbalimbali na kuteswa kisha kufunguliwa kesi wilayani Igunga wakidaiwa kuhusika na tukio hilo la mwaka 2011.
Raia kadhaa wameuawa kwa risasi na polisi kwenye mikutano ya CHADEMA jijini Arusha, Morogoro, Iringa na wengine kwenye mikusanyiko ya kudai haki zao lakini hakuna hatua zilizochukuliwa kwa askari hao, leo wananchi hawa watatii sheria vipi bila shuruti ikiwa na polisi wanavunja Katiba?
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda, ametajwa na ripoti zote tatu za uchunguzi wa tukio la kifo cha aliyekuwa mwandishi wa kituo cha runinga cha Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi, kuwa alivunja sheria ya polisi na vyama vya siasa.
Kamuhanda alikiuka sheria hizo, hivyo kusababisha askari wake kumlipua na kumuua kwa bomu marehemu Mwangosi lakini serikali haimchukulii hatua yoyote. Kamanda huyo badala yake hivi karibuni rais amempandisha cheo na kumhamishia makao makuu.
Polisi wanatutaka tutii sheria bila shuruti, wao wanavunja Katiba na kukiuka haki za binadamu wanapongezwa na kupandishwa vyeo. Amani ya nchi yetu itajengeka katika unyanyasaji na upendeleo kama huu? Tafakari!
 
Back
Top Bottom