Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Kuna siku lilitolewa wazo humu ndani watu wawe wanalipia posts zao wanazoniweka; how far are we on this?leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
Ashakuwa maarufu toka anasoma sekondari. Kifupi mleta mada anapenda uchonganishi hapendi amani kwani mkitofautiana sera na mitazamo lazima muwe maadui.
Sina uhakika saaaana kama wafuasi na mashabiki wengi wa CHADEMA wanautambua mchango wa Zitto katika kuijenga na kuifikisha CHADEMA hapa ilipo, natamani kama akipatika mtu wa kuwaonesha historia ya ujenzi wa chama chenu (CHADEMA) na ushiriki wa Zitto katika ujenzi wa CHADEMA.
Kwa raha zao... Halafu ikulu inaelekea wanamskiliza sana Zitto. Aliwaasa mawaziri wapya wasiende na maua na mashada kwenye kuapishwa wao wakapuuza, matokeo yake kufika Ikulu wakazuiliwa mlangoni hakuna kuingia nayo!
leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
Hahahaaa Tumewalamba teh teh.
kuna kipindi alisema anaenda kulalamika gazet hilo kwa mmiliki. alienda?
kwanini Chadema wengi hamumpendi zitto?kwanini kila anachofanya mnakiguestion why? huo ni ubaguzi tu kwakua dogo ni kichwa na for sure zito is blessed politician brain ipo na anajua whta to do at the right time,zitto wakikuzingua jitoe chadema anzisha chama lako tupo wengi nyuma yako hasa vijana tutakusupott kwa kila hali halafu tuone hao chadema wataishia wapi,wabaguzi wakubwa kaskazini
Unasumbuka sana na humtakii mema Zitto unayedhani unampenda, si mjinga wa kiasi cha kipimo chako, eti mpo wengi nyuma yake hata akijitoa CDM...upuuzi, hata yeye hataufuata upuuzi wa aina hii. Nyerere alipata kusema,kwanini Chadema wengi hamumpendi zitto?kwanini kila anachofanya mnakiguestion why? huo ni ubaguzi tu kwakua dogo ni kichwa na for sure zito is blessed politician brain ipo na anajua whta to do at the right time,zitto wakikuzingua jitoe chadema anzisha chama lako tupo wengi nyuma yako hasa vijana tutakusupott kwa kila hali halafu tuone hao chadema wataishia wapi,wabaguzi wakubwa kaskazini
Hapa vipi napo????
Zitto ni kijana "wetu"
![]()
leo uk wa mbele kuna Picha ya Mh Jk akifurahi na Zitto.
Katika picha hiyo tzdaima lajidai "Marafiki wa kufa na kufaana"
Kwanini tzdaima haichapishi picha ya Mh mbowe na JK wakicheka pamoja?
Jee kwa zitto kuchapisha na kuandika maneno hayo , Viongozi wa CDM hawatazidi kumuona ZItto ni msaliti?
Ukiikurupukia hii sentensi fupi tu utapata maana nyingi sana, lakini kaeni mkijua hii sentensi ni muhimu sana katika jamii yeyote nna inatumiwa sana kuliko kitu kingine, na hii sentensi ikikosekana ndipo tabu humwandama binadamu, inamaana pana kuliko watu wanavyoitafisiri, ukweli utabakia binadamu wote huwa ni marafiki wa kufa na kufaana ikimaanisha hulka ya binadamu ni kusaidiana mpaka anapokufa na ndio maana tunapokufa wenzio lazima wakupe msaada wa kukuzikaPicha na vicheko sidhani kama ni hoja. Manake kama walivyotangulia kusema wengine siasa si uadui wala vita, ila binafsi nimepata taabu kidogo na hayo maneno yaliyoandikwa kama kweli ndivyo ilivyo kusema "marafiki wa kufa na kufaana" nashindwa kuelewa mwandishi ana maana gani.......