Tanzania Commercial Banks Salary Scale

Tanzania Commercial Banks Salary Scale

Hivi teller unataka kulipwa sh.ngapi? Hata mwalimi mwenye diploma anafanya hiyo kazi.
Loan officer unataka kulipwa sh.ngapi maana pale ni training hata ukimtrain Mwalimu anafanya hiyo kazi.
Tafuteni CPA,CISA au masters za finance halafu ufanye kazi za finance,mhasibu au auditor ndio utaona utamu wa bank.

utapotea vibaya, wanaokula hela benki ni walioko on the business side, ndio wanaoingiza revenue, hata bonus zao ni kubwa
 
Hivi teller unataka kulipwa sh.ngapi? Hata mwalimi mwenye diploma anafanya hiyo kazi.
Loan officer unataka kulipwa sh.ngapi maana pale ni training hata ukimtrain Mwalimu anafanya hiyo kazi.
Tafuteni CPA,CISA au masters za finance halafu ufanye kazi za finance,mhasibu au auditor ndio utaona utamu wa bank.

Maisha kk..rafk angu ana cpa lkn bado ni teller crdb
 
karibuni tu huku serikali za mitaa mpige kazi coz huku gross ni 650,000 lakini ma per diem ya kufa mtu semina elekezi za kutosha ila kiyoyozi hamna ni full kuzama vijijini na sio ukae huko mjini wilaya za bushi mawe yapo na unachagiza na kilimo kidogo unakopa unaweka boda boda mbili zinaleta 600,000 kwa mwezi maisha yanaenda after 3 years umeahamia kwako nyumba safi
 
wengine tunataka quality of life iliyo juu, huko ulipo haipatikani
 
Duuh kwa habar hizo za mishahara ndo huwa nasema wazazi wanajibana sana kututimizia mahitaji yetu jaman yan MTU unasomeshwa had masters lool mungu wabariki wazazi Wetu na utusamehe pale tulipowakosea. Na je afisa mikopo nmb anaanzia sh ngap?
 
Mbona sasa wafanyakazi wa benk tunawaona wako vizur? Nyumba, magar pesa wanapata wapi?
 
Loan officer mfano NMB bila 10% hupati mkopo,imagine kwa mwezi anatoa mil 100 basi hapo haipungui ya kwake mil 2.
Bank teller kama unakaa branch zenye mzunguko mkubwa Wa corporate customer na Mungu amekupa sura nzuri basi utakula hela za mabazazi.
 
  1. Pengine wengi wetu tunaangalia tu masanduku makubwa ya bank yalivyojaza mapesa, hizo si mali ya bank bali ni mali ya wateja.
  2. Bank wakitaka kuwalipa pesa nzuri watumishi wake hapana budi wateja tukamuliwe zaidi bank fees kitu ambacho tunalalamikia kila kukicha.
  3. Mishahara ya kiwango cha kawaida kwa watumishi wa bank si Tanzania tu, ila duniani pote, vinginevyo uwe na ujuzi wa kipekee kama wale maodita.
  4. Taasisi zinazoajiri watumishi wengi bank ni moja ya taasisi ambayo mishahara yake ina unafuu ukilinganisha na mishara wanayolipwa huko serikalini na taasisi nyingine.
  5. Tanzania tumeharibiwa na malipo ya ziada kama kufanya kazi nje ya kituo, mataifa yaliyoendelea utakachotumia huko uwe na receipt hasa chakula, malazi na usafiri. Vinywaji ujinunulie mwenyewe hata maji ya kunywa. Ukirudi onyesha receipt na rudisha pesa zilizosalia la sivyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa ikiwa ni pamoja na kukatwa pesa toka mshahara wako kufidia pesa ambazo hukurudisha. Hakuna malipo ya ziada kufanya kazi na kulala nje ya kituo cha kazi. Tanzania tumezoea dezodezo tu.

NB. Hakuna ajira inayoajiri mtu apate utajiri ila ajira inampa mshahara mwajiriwa malipo ya kujikimu kimaisha. Ukipata pesa nyingi hutakuwa na sababu ya kusubiria malipo mengine kwa vile una pesa, pengine itasababisha uvivu wa uwajibikaji kazini.
 
Huko marekani bankers hawalipwi mabilioni mkuu?

Kuna rafiki yangu anafanya huko kanambia anapata 15000 $ kwa mwezi je hii ni ndogo?
 
Graduate EQUITY bank anaanza na shilling ngapi!

EQUITY bank wanapunja sana,kuna graduate wanalipwa mpaka 250,000Tshs

Equity hakuna mshahara wa 250,000 acha uongo wewe. Apply kazi tu mkuu mimi nipo Equity nakula maisha. Unataka ulipwe millions of money we ni nan? The bank grows faster believe me kuna chans kubwa ya kugrow nayo. Mameneja vijana sana huku, sio huko wamejaa wazee tu na ofisi wamezikalia wao tu.
 
Huko marekani bankers hawalipwi mabilioni mkuu?

Kuna rafiki yangu anafanya huko kanambia anapata 15000 $ kwa mwezi je hii ni ndogo?

Usifikirie maisha ya wanaoishi Marekani kulinganisha na mazingira ya maisha ya Tanzania.
$1500 kwa mwezi ni kidogo sana hata kupanga bajeti huwa vigumu, maana yake kila wiki anapokea malipo ya mshahara wake kiasi kidogo kwa utaratibu kwamba mishahara hulipwa kila wiki na baadhi kila wiki mbili, hivyo kama mshahara wake kwa mwezi ni huo mchanganuo wa malipo yake ni kama ifuatavyo:
  • Mwezi $1500
  • Wiki itakuwa $375
  • Daily $75
  • Hourly $9.37
  • Hilo ni pato la jumla ambapo baada ya makato utaona kinachoingia mfukoni hakienei kiganjani

  • Federal Tax
  • Social Security Tax
  • Insurance at work
  • Personal insurance
Kwa maisha ya nchi kama Marekani hilo ni pato la chini sana ili kuyamudu maisha ya kawaida kuishi anatakiwa kuwa na second job. Kumbuka kima cha chini cha Mshahara marekani ni $7.75 per hour. Wengi wanaoangukia kiasi hicho cha kima cha chini huhitaji msaada serikalini kupata chakula (food stamp) na pengine gharama nyingine za kuishia kama malipo ya nyumba, umeme na maji kama ana familia kubwa inayomtegemea.

Maprofesa wazimawazima baada ya kufundishwa vyuoni kisha kurudi home wanaamua kwenda kutafuta ajira za ziada kufajia viwandani, unafikiri mchezo maisha ya nchi za Magharibi?
 
Mkuu elfu kumi na tano 15000/= sio elfu na miatano....
 
Hakuna mshahara wa kiasi hicho kwa wafanyakazi marekani, usidanganywe, hilo halipo. Hizo ulizotaji ni pato la mwaka kwa kima cha chini. Kama hutaki kuniamini endelea kudanganywa, ndio maana huku watu huchakarika usiku na mchana hata awe profesa kama nilivyosema hapo juu malipo ya uprofesa bado ni kitendawili kisichotegua ugumu wa maisha ya ughaibuni.
 
Mkuu yakweli hayo? Mbona nikiendaga kule huwa ananilaumu Sana kwann nateseka kuitumikia govt ya Tz kwa mshahara kidichu? Duuh sasa kwa life lile unataka nambia mshahara unaweza anzia ngapi mpaka ngapi?
 
Bahati yako umekutana na anayekuambia ukweli, waliodanganyika hubaki kujutia kazi walizoziacha Tanzania na kuishi kwa kubangaiza nchi za Magharibi. Kama una kazi yake bora endelea maana Tanzania kuna fulsa nyingi zaidi ya ajira kuliko ughaibuni ni kutegemea ajira tu huwezi hata kuweka tenga la viazi upenoni au kuuza vocha za simu wala kuuza mahindi ya kuchoma mtaani. Ukikosa mahesabu ya mshahara hakuna pa kudoea.
 
Back
Top Bottom