Tanzania Commercial Banks Salary Scale

Tanzania Commercial Banks Salary Scale

Equity hakuna mshahara wa 250,000 acha uongo wewe. Apply kazi tu mkuu mimi nipo Equity nakula maisha. Unataka ulipwe millions of money we ni nan? The bank grows faster believe me kuna chans kubwa ya kugrow nayo. Mameneja vijana sana huku, sio huko wamejaa wazee tu na ofisi wamezikalia wao tu.
Mkuu hapo kwenye VALENTINE hapo. ila hujasema kwa MHITIMU wanamlipa kiasi gani. Kama sio 250,000/= je ni kiasi gani?
 
We unafanya kada gani Equity. Acha kuwatia sumu wenzio. Madogo wameingia job juzi waulize wameanza na sh ngap? Somebody wanted me to say my salary here, no I can't.
Mwingine anadai eti ya wachaga, hslafu CRDB je? Equity comes from Kenya.
 
Ukweli kiasi hicho ni pesa nyingi kwa siku, maana kiasi hicho hulipwa kwa wiki moja mfanyakazi ambaye anafanya masaa 40 na kila saa analipwa $10.50. Kwa mwezi kiasi hicho itakuwa $1680 gross income, net zitakuwa labda $1400. Unaweza kupata picha halisi ya maisha nchi za ughaibuni.

Ukianza kufanya mchanganuo wa matumizi na gharama za kuishia plus bills hakuna kinachobaki, inakuwa mtu kuishi from hand to mouth without saving for future.

Ndio maana wengine wakifia huko changizi za nauli ya kurudisha mwili zinakua nyingi?
 
We unafanya kada gani Equity. Acha kuwatia sumu wenzio. Madogo wameingia job juzi waulize wameanza na sh ngap? Somebody wanted me to say my salary here, no I can't.
Mwingine anadai eti ya wachaga, hslafu CRDB je? Equity comes from Kenya.

hakuna anaekujua hata jina humu.. so unamuogopa nani?

mtu ameuliza swali anachotaka kujua ni mishahara ya banks tofauti tofauti Tanzania.

kama wewe unafanya Equity na unalipwa milion 2. ni kiasi cha kusema tu

bank yetu equity tunalipwa m 2 kwa mwezi.

mwingine nae ajibu. bank yetu crdb tunalipwa laki 9 kwa mwezi..

hakuna haja ya kutukanana wala kuzunguka zunguka.

hatujuani humu wote tunatumia fake Ids
 
Standard Chartered Bank Tanzania Limited
Graduate program (local) 2,000,000 gross
Graduate program (international) 2,500,000 gross
 
Kuku wa kienyeji bank, teller anachukua 50,000 Meneja 150,000. Jumatatu tutatoa tangazi tunahitaji tellers 15, anzeni kupasha CV moto
 
Standard Chartered Bank Tanzania Limited
Graduate program (local) 2,000,000 gross
Graduate program (international) 2,500,000 gross

nasikia standard chartered na city bank.. ndio wanakimbiza kwa salary nono.

sema kupata kwake kazi ni shughuli nzito
 
City bank hamna kitu pale labda uajiriwe permanent...contract ni yaleyale

Citibank hamna kitu?? mbona story za industry zinasema citibank na standard chartered ndio wana package nzuri kuliko banks zote nchini.. kwa kila level staffs wao wanakula pesa ya kuzidi wote
 
Citibank hamna kitu?? mbona story za industry zinasema citibank na standard chartered ndio wana package nzuri kuliko banks zote nchini.. kwa kila level staffs wao wanakula pesa ya kuzidi wote

City bank kuna waajiriwa wa aina 2,permanent hawa wanajulikana mpaka makao makuu..na wapo wachache na Contract ambao ni wengi...Permanent package yao ndefu...Contract yaleyale mkuu...labda utaenjoy buffet na usafiri wa bure.
 
Kumbe naweza kuhisi ni kwa nini
majambazi wanawavamia watu wanaotoka benki
na fedha nyingi
Huwa najiuliza majambazi wanajuaje kama mtu kachukua fedha nyingi?
Kwa mishahara hii,kama mtu si mwaminifu anaweza kupanga mishe mishe na majambazi.
 
mwizi mwizi tu hata umpe milioni kumi kwa mwezi
 
Niliwahi fanya Bank Moja kubwa corporate coloor zao ni blue na nyekundu, jamani kwa miaka miwili sikuwahi kuula perdiem zaidi ya zile nilizopata kwenye training!

Kwa kifupi sikuwahi safiri safari ya kulala nje ya kituo cha kazi.
Ni naungana na mdau aliyesema Bank ni sehemu ya kupiita tu!

sio benki zote sehemu za kupita.utakuwa uko kwenye benki maskini,
halafu kwanini ulale nje ya kituo cha kazi?? umeajiriwa ufanye kazi pale benki ,we unataka kusafiri,umeajiriwa kama dereeva au nani wewe,tatizo la watz ndo hlo,
kama vipi njoo huku mini mum 600(take home)ho ni dereva uchwara. staff wa ndani wote hamna mwenye net ya below 850,000
 
Equity Bank Kwa Teller Ni Tshs 675000 Net, Msidanganyane, Tpb Kwa Graduate Haijalish Ni Ktengo Gan Ni 910,000 Gross, Ila Kwa Temporary Job Ni 600,000 Ila Naul 50,000 Weekly Sema Huna Cha Nssf Na Huwez Pata Mkopo,
 
Mimi npo somewhere 800,000/- gross as Loan Officer,so full majanga mkuu,kinachoniuma ni kodi ya hayo maCCM,bora kujiajiri.

Yani mi naona wingi wa elimu si utajir bali wingi wa maarifa ya biashara ndio utajir,,
Ukiwa na kazi we tumia kimshahara kubuni fulsa zako za nje ziki win achana na kazi...

Itakuzeesha bure mvi ziwe nyingi😄
 
Back
Top Bottom