Tanzania bila mimi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania bila mimi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BABA JUICE, Oct 19, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna watu humu ndani wanaona kwamba mawazo yao yanaumuhimu kuliko ya wengine au kwamba hatuitajiki kutoa mawazo yetu mmoja wapo akiwa moderetor wa hii website, i dont know u people bt the way you think mpo juu kimawazo zaidi ya wengine hiyo tayari imewaweka kwenye kundi fulani, tetea hoja kwa sababu za msingi sio kwasababu siamini unachoamini ww unataka kuniforce niamini....mambo hayaendi hivyo...kama mnashindwa kupokea mawazo ya mtu with open minded basi demokrasia haina mahali pake hapa na CCM itaendelea kutawala hadi mjue kutetea hoja kwa reasons na sio matusi na kejeli....ni hayo tu.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Unalialia nini wewe, kama mwanao juice kamlinde jirani anamchakachua saa hizi!
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ningeandika neno moja tu - crap - lakini kwa vile mods wa hii forum wamezuia kuandika neno moja la crap kwenye craps kama hizi za kutokea crapville, kwa leo nitasema tu ....what? .... heri mimi sijasema neno crap kwenye post ya memba mwenzangu wa JF kama wewe mwenye crap za kutosha kulisha watoto wa kihindi dunia yote.

  Sababu ya kutoandika crap hapa au kuandika crap hapa (mods wanataka sababu itolewe) ni kwa sababu umemtukana mod wa hii forum bila kuwa na...... holly crap ......reason yoyote kufanya hivyo.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Unajua jamaa kasahau kuwa Crap lazima iwe holly haijalishi imetoka crapville au craptown na hatakama imetumwa na crapmaniac
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  We mbona unachanganya habari? Sasa umerudia huu uzi ili usisitize au? Mods ondoeni mathreads haya yanayojirudia!
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jamaa ana atizo la kunywa crap malt asubuhi ambalo mara nyingi linaleta madhara kwenye crapitis za watu wenye mitizamo yenye crap-olier kama hii. Mara nyingi watu kama hawa wanapewa crap-oer kila siku inayofuata kwa miezi sita.
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Breaking news? May be you are right; lakini mkuu hukuliona jukwaa la malalamiko?
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  kwa nn neno crap limekatazwa kuandikwa hapa? Sasa kama mtu katema crap kwa nn usiamjulishe kuwa kaandika craps??
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Crap! Sorry invisible.......!
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  Ahsantee.gif
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  may be it was a slip of tounge!

  Read more
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Kutoa ushuzi kote huko kumbe ulikuwa unaelekea kuzungumza hiyo sentensi pumba?

  CCM haiwezi kuendelea kutawala.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ohh sasa naanza kuona picha kubwa..huyu ni Mrs. MS!! :whoo:
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  na anaingia rasmi kwene list yangu ya watu wasio na input.
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahahaha,pole sana ila Tanzania bila wewe inawezekana
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tanzania bila wewe itakuwa na neema zaidi na haitakuwa na upuuzi wa hili dude CCM
   
Loading...