Hivi Somalia kuna biashara gani mpaka izalishe matajiri wa kuja kuwekeza Tanzania? What i know ni kwamba hawa jamaa wanapasuana usiku na mchana na wanashida vibaya mno mpaka wengine wanaamua kupakimbia kwa kupakiwa kwenye makontena kama unga wa ngano. Inamaana hizi opportunities wafanyabiashara wa hapa nchini kwetu kama kina Mzee Mengi hawazioni au ndio kuogopa alichowahi kukisema wakati wa kuuzwa kwa Kilimanjaro Hotel, (MCHEZO MCHAFU). Uwekezaji huu hauwezi kufanywa na mashirika yetu ya hifadhi ya jamii kama NSSF, PPF, LAPF, PSPF? What is the aim of CCM, ni kuuza nchi vipande vipande then iweje sasa....wahame nchi au....
We una ushahidi wowote kuwa ni hela za uharamia? Na hata kama,ulitaka wajenge kwa kutumia hela za michango ya kanisani/mskitini? Hata kama unajua huta kuja miliki hata kibanda hapo sio lazima upondee, kama nyie imewashinda kuijenga hii nchi basi waachiene wanao weza.Hela chafu za maharamia nazo unajisifia kuwa anawekeza? Au ndio viongozi wenu wa baadae Kama wakina rostam, manji, bashee, kinana na mafisadi wengine wa kihindi na kisomali ambao ndio wachangiaji wa kubwa wa Chama chenu cha mabwepande mkiambiwa ni Chama cha matajiri mnakataa
Dada majebere naona umetoka honey moon!!!! Unafurahi kuona nchi inauzwa kwa wasomali wakianza kuwanyanyasa mnaanza kulialia. Naona ccm ina andaa wachangiaji wake wa kampeni za 2015 kwa kuwauzia maeneoWe una ushahidi wowote kuwa ni hela za uharamia? Na hata kama,ulitaka wajenge kwa kutumia hela za michango ya kanisani/mskitini? Hata kama unajua huta kuja miliki hata kibanda hapo sio lazima upondee, kama nyie imewashinda kuijenga hii nchi basi waachiene wanao weza.
Mbona Malawi walitaka kujimilikisha ziwa serikali ya ccm ikatokwa na povu kwani hilo ziwa lilikuwa linapelekwa wapi?Inapelekwa wapi ikishauzwa?
Inapelekwa wapi ikishauzwa?
Ni kweli ni hela za maharamia wa kisomali.Hizi siyo zile hela za maharamia wa Kisomali kweli? Wamechoka kuziwekeza Kenya?
Pirates money
Kama viongozi wetu muda wote wanawaza jinsi ya kubadili damu, unategemea nini??? Pia na sisi waTZ tumezidi uzuzu na uzezeta, waacheni wasomali wajinyakulie hii nchi isiyokuwa na mwenyewe, tutakuja kustuka kutakapokucha....
Hela chafu za maharamia nazo unajisifia kuwa anawekeza? Au ndio viongozi wenu wa baadae Kama wakina rostam, manji, bashee, kinana na mafisadi wengine wa kihindi na kisomali ambao ndio wachangiaji wa kubwa wa Chama chenu cha mabwepande mkiambiwa ni Chama cha matajiri mnakataa
Mkuu ndio maana waislamu wana bank zao ambazo hazitozi Riba kwa maana nyingine waislamu hawataki mambo ya Wizi lakini nashangaa nyie mnashabikia hao watu wanaoteka meli wanalipwa hela halafu mnawaita wawekezaji Nafikiri wewe na hao waekezaji ni Waislamu jina. Halafu mkuu uache hiyo tabia ya kukashifu dini za watu na hamna mtu aliyezungumizia mambo ya dini hapa waislamu naishi nao pia nawaheshimu na wao wananiheshimuWagalatia kweli mmerogwa, yani kwa sababu mmeona majina ni Waislamu mmeanza kuleta chuki kuwa fedha za Uharamia,fedha chafu. Sasa nyie kinachowauma kwa sababu sio wazungu wanaojenga huu mradi. Kila nchi ina matajiri na wajasiriamali na hawa wanatafuta sehemu salama ya kuinvest. miradi hii Kenya ishakua mingi sasa wamekuja TZ. Acheni chuki zenu kwa sababu tu nyie wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga hata kuchukia investment kubwa kama hii kisa wawekezaji ni waislam?
nchi ni dhahabu, wanyama, samaki n.k. je hawa mlio wauzia wanapeleka wapi hivi vitu? Mia
Mbona Malawi walitaka kujimilikisha ziwa serikali ya ccm ikatokwa na povu kwani hilo ziwa lilikuwa linapelekwa wapi?
Hela chafu za maharamia nazo unajisifia kuwa anawekeza? Au ndio viongozi wenu wa baadae Kama wakina rostam, manji, bashee, kinana na mafisadi wengine wa kihindi na kisomali ambao ndio wachangiaji wa kubwa wa Chama chenu cha mabwepande mkiambiwa ni Chama cha matajiri mnakataa