Tanzania Aviation University College, chuo cha tapeli

mnyevushaji

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
24
Reaction score
1
Wadau msaada mdogo wangu katapeliwa na chuo feki cha anga cha tapeli Chalanga kipo tabata magengeni ambacho hakina usajili lakini mamlaka husika TCAA ikishindwa kumwajibisha jamaa mwenye chuo.

Nendeni CRDB Bank, Tabata mkajionee nanma utapeli unavyofanyika kwani watoto wa masikini wanatozwa dola elfu moja hadi elfu tatu huku vyeti wanavyopatiwa havitambuliwi na mamlaka yeyote hapa Tz, jamani aibu.
 
mbaya zaidi wanafunzi wakihojina kudai hak zao za msingi jamaa huwafukuza,mh inauma sana plz wadau huyu jamaa ni tapeli sana kwani amewahi fukuzwa ktk majengo ya tazara kwa kushindwa kulipia kodi,kahamia tabata uchochoroni ili awaibie watu jamani wana JF nendeni mkajionee
 
Wadau msaada mdogo wangu katapeliwa na chuo feki cha anga ambacho hakina usajili lakini mamlaka husika TCAA ikishindwa kumwajibisha jamaa mwenye chuo,plz nendeni crdb bank tabata mkajionee nanma utapeli unavyofanyika kwani watoto wa masikini wanatozwa dola elfu moja hadi elfu tatu huku vyeti wanavyopatiwa havitambuliwi na mamlaka yeyote hapa tz,jamani aibu
Ni bora tukawa tunawasaidia wadogo/ndugu zetu katika kufanya tafiti za vyuo.Watoto waliotoka shuleni hawawezi kuelewa vizuri mambo haya.Ni bora mzazi au mlezi ukafanya utafiti wa kina juu ya chuo kabla ya kumpeleka mwanao na hasa kwenye kozi zinazohusiana na mambo ya anga ambazo ki msingi si kozi za kuvamia.Kwanza mamlaka ya juu kabisa inayoshungulika na kozi mbalimbali za huduma za ndege ni Intenational Air Transport Association (IATA).Hawa jamaa makao yao makuu yako Montreal Canada.Hawa jamaa ndio taasisi ya juu kabisa inayotoa mafunzo ya huduma za ndege kupitia idara yake ya Centre for training and Development.Kwa kawaida taasisi hii ina tabia ya kufanya kazi kwa ushirikiano na vyuo vingine kote duniani.Chuo tajwa hapo juu kinadai kushirikiana na taasisi hii miongoni mwa zingine.Sasa cha kushangaza ni kwamba hawa IATA wenyewe hawana degree programme lakini hawa jamaa wa Tabata , wao ni university kabisa (natumai mnajua maana ya university).Hapo kazi ipo.
 
wadau na watu wenye mapenzi mema hata ukaguzi wa chuo hicho ulifanywa na afisa mmoja tu toka TCAA NA KUPEWA mlungula wa laki 3,kweli ipo haja waziri husika aende akajionee madudu haya na siyo kukaa tu ofisini huku watanzania wakiumizwa na matapeli wachache
 
Ni bora tukawa tunawasaidia wadogo/ndugu zetu katika kufanya tafiti za vyuo.Watoto waliotoka shuleni hawawezi kuelewa vizuri mambo haya.Ni bora mzazi au mlezi ukafanya utafiti wa kina juu ya chuo kabla ya kumpeleka mwanao na hasa kwenye kozi zinazohusiana na mambo ya anga ambazo ki msingi si kozi za kuvamia.Kwanza mamlaka ya juu kabisa inayoshungulika na kozi mbalimbali za huduma za ndege ni Intenational Air Transport Association (IATA).Hawa jamaa makao yao makuu yako Montreal Canada.Hawa jamaa ndio taasisi ya juu kabisa inayotoa mafunzo ya huduma za ndege kupitia idara yake ya Centre for training and Development.Kwa kawaida taasisi hii ina tabia ya kufanya kazi kwa ushirikiano na vyuo vingine kote duniani.Chuo tajwa hapo juu kinadai kushirikiana na taasisi hii miongoni mwa zingine.Sasa cha kushangaza ni kwamba hawa IATA wenyewe hawana degree programme lakini hawa jamaa wa Tabata , wao ni university kabisa (natumai mnajua maana ya university).Hapo kazi ipo.

Yani nyiee mm ndo ilikua nnamipango ya kumpeleka mdogo wng pale
 
aliyeuziwa cheni katoa hela bandia.....na aliyepokea hela katoa cheni bandia.....hii ndio bongo....
 
Ni bora tukawa tunawasaidia wadogo/ndugu zetu katika kufanya tafiti za vyuo.Watoto waliotoka shuleni hawawezi kuelewa vizuri mambo haya.Ni bora mzazi au mlezi ukafanya utafiti wa kina juu ya chuo kabla ya kumpeleka mwanao na hasa kwenye kozi zinazohusiana na mambo ya anga ambazo ki msingi si kozi za kuvamia.Kwanza mamlaka ya juu kabisa inayoshungulika na kozi mbalimbali za huduma za ndege ni Intenational Air Transport Association (IATA).Hawa jamaa makao yao makuu yako Montreal Canada.Hawa jamaa ndio taasisi ya juu kabisa inayotoa mafunzo ya huduma za ndege kupitia idara yake ya Centre for training and Development.Kwa kawaida taasisi hii ina tabia ya kufanya kazi kwa ushirikiano na vyuo vingine kote duniani.Chuo tajwa hapo juu kinadai kushirikiana na taasisi hii miongoni mwa zingine.Sasa cha kushangaza ni kwamba hawa IATA wenyewe hawana degree programme lakini hawa jamaa wa Tabata , wao ni university kabisa (natumai mnajua maana ya university).Hapo kazi ipo.

Mkuu orodha ya vyuo vya hapa nchini vinavyotoa degree zinazotambulika kitaifa na kimataifa zinapatikana TCU (Tanzania commission for Universities),Hata mtoa mada kama angeenda kuulizia TCU kama chuo kilichomtapeli dogo wake kinatambuliaka,nadhani angepata majibu kabla hata ya kulipa iyo ada aliyotapeliwa.
 
DAR ES SALAAM 25 APRIL 2014

TAARIFA YA UMMA KUHUSU KOZI YA URUBANI KATIKA CHUO CHA TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE (TAUC)

Hivi karibuni Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imebaini kuwa chuo cha Aviation University College (TAUC) kilichopo Tabata, Dares salaam, ambacho kimeidhinishwa na TCAA kutoa kozi ya maafisa wa kutoa huduma katika kampuni za ndege yaani Flight Operations Officers/Flight Dispatcher (FOO), kimekuwa kikiweka matangazo kuwa kinatoa kozi za urubani kwa ngazi ya PPL, taarifa ambazo sio sahihi.

TCAA imebaini suala hilo wakati ilipofanya ukaguzi katika chuo hicho cha TAUC. Tayari TCAA imewasiliana na chuo cha TAUC ambacho kimeondoa tangazo hilo katika tovuti yake.

Kwa taarifa hii, tunapenda kutahadharisha umma kuwa, chuo cha Tanzania Aviation University College (TAUC) hakijaidhinishwa na TCAA kutoa mafunzo ya urubani kama ambavyo kilikuwa kimeweka matangazo katika tovuti yake. Wanachi wanashauriwa kuchukua tahadhari kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza kutokana na matangazo kama hayo.

Imetolewa na
Ofisi ya Habari
MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA

SOURCE: http://www.tcaa.go.tz/news_detail.php?news=1924
 
Wadau msaada mdogo wangu katapeliwa na chuo feki cha anga cha tapeli Chalanga kipo tabata magengeni ambacho hakina usajili lakini mamlaka husika TCAA ikishindwa kumwajibisha jamaa mwenye chuo.

Nendeni CRDB Bank, Tabata mkajionee nanma utapeli unavyofanyika kwani watoto wa masikini wanatozwa dola elfu moja hadi elfu tatu huku vyeti wanavyopatiwa havitambuliwi na mamlaka yeyote hapa Tz, jamani aibu.

Eeehe, Leo nimejifunza kitu, Chuo kinatoa mafunzo kwa marubani halafu kiko Tabata Magengeni, mwanafunzi anakula gengeni atapata wapi akili na uwezo wa kupeleka ndege !!!! Ndio maana ajali za ndege zinaongezeka.
 
Nafurahi xoz naishi hapa jirani yaani n shidaaaaaa hilo genge jioni n ngono kwa sana hakuna elimu hapa
 
Back
Top Bottom