Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,611
- 123,134
Kwahivyo barua inasema atakayeenda kununua toka kwa wakulima? msimu wa kuuza na kununua umeisha kule vijijini mkuu...
Loosen up huitaji hata ushuhuda ni common sense
Naona hujui nini kinaendelea, serekali imekusanya korosho toka kwa wakulima hilo ni kweli, lakini malipo hayajawafikia wakulima wote waliopeleka korosho zao. Kinachofanywa hapo ni kufanya utaratibu zinunuliwe ili wakawalipe hao wakulima wanaodai. Tena sio hiyo bei ya 3,300 bali chini ya hapo. Hili jambo naona unaniambia kwamba siasa itanipofua, lakini uko hapa Dar unapokea taarifa kwa wanasiasa tena waliovuruga hiyo biashara!!