johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Hiyo ni kawaida cha muhimu wakulima wa korosho wameshalipwa fedha zao takribani sh 600 bilioni na juzi Rais Magufuli kaongeza sh 50 bilioni nyingine kuwamalizia kuwalipa wale wenye tani nyingi!Serikali ya Tanzania kupitia tantrade imetangaza zabuni jana kumtafuta mnunuzi wa korosho ghafi tani 220 000 na tani 240 za korosho iliyobanguliwa.
Hayo yamekuja baada ya makubaliano kati ya serikali na kampuni ya Indo Power solution kuota mbawa.
Chanzo:
The citizen
![]()
Tanzania government seeks cashews buyers
Tanzania government seeks cashews buyerswww.thecitizen.co.tz