Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Tanroads tunaomba sana wakati mnajenga barabara ya Kimara - Kibaha hakikisheni mnajenga kwa kiwango cha kimataifa, dar es salaam tunahitaji bypass roads, na sio mtuwekee taa za kuongozea magari.
Jifunzeni kenya , wameawezaje ?
Tunahitaji barabara ambayo mtu akitoka Kibaha, iwe ni none stop hadi bandarini.
Jengeni Highway ya kueleweka, mmebomoa na mna nafasi ya kutosha, hamna sababu ya kujenga vibarabara vya ajabu ajabu.
Bypass ya kwanza ni pale MBEZI MWISHO .