Tanroads makao makuu utaratibu wa ajira mkoa wa Njombe kuna harufu ya rushwa

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Tanroad mkoa wa Njombe kuna kila dalili ya kuwaweka watu kutokana na kufahamiana na sio ujuzi na uwezo wa kufanya kazi. Hivyo naomba makao makuu muingilia kati hili zoezi la kuajiri kabla halijachakachuliwa.
 
Back
Top Bottom